Tanzania yakataa ombi la Kenya la kuomba msamaha kuhusu mzozo wa zuio la ndege za Kenya

Lazima tujue nani ndio mkuu hapa EA, lazima kuwepo na nidhamu ndani ya East Africa, kama ambavyo Ujerumani ndiyo yenye sauti ya mwisho katika EU, ndio sababu EU imetulia hakuna mizozo ya kijinga, kama ambavyo USA ana sauti ya mwisho ndani ya G7, vinginevyo mizozo haitokwisha hapa East Africa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tuwa-ignore kwa mwaka hivi!
 
118730254_1230019300688584_1846053838955916346_n.jpg
 

MY TAKE: Yale matamshi ya Uhuru Kenyatta kwamba Kenya is a democratic country, our media are free we can't hide anything, not like ET other country which puts thing under the carpet", hayakufaa kabisa kusemwa na rais wa nchi tena hadharani, sitegemei kama Magufuli ataruhusi ndege za Kanya kuingia Tanzania hivi karibuni.


Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hapo sasa wamekamatwa kwenyewe wanaomba poo mpaka uchaguzi upite ndio tutaangalia mambo mengine maana hatuna cha kupoteza
 
T
Wakenya bwana na demokrasia yao ya kuiga! Walichosahau Africa tuna utaratibu wetu wa kuishi! Viva magu viva tulichelewa sana! Haiwezekani korona ilipo anzia eti wako vizuri, sisi majirani eti tuna korona, hiyo akili ni sawa na matope!
Kwanza mi naona ni bora tuendelee hivi hiv maana kuna msemo unasema akusaidiae Kwa dhiki ndie rafiki sasa tukiwaruhusu hawa tutakua tumetoa pigo kwa waliotusaidia kwenye dhiki ambao ni Ethiopia na Rwanda kwahiyo mimi naona sasa hivi kila mtu angalie maslahi yake, tukiendelea hivi kwa TANZANIA kunafaida zaidi kuliko kurudisha ruti za KQ. Kama malipo ya kutua ndege yapo pale pale hamna tulichokosa
 
U knuckleheads keep focussing on Kenya Instead of issues affecting ua own nation. Is Kenya ua agenda. You're all just mere losers
 
Kuna vitu vingine ni vya kijinga sasa, kuendelea kulikumbatia limzozo la ajabu ajabu hamna mpango cha msingi maisha yarejee normal business should re operate again ma covid yenye ni janja ya waxungu na nampongeza Jaden ameweza kutumia fursa ametumbua pesa za wazungu vi deadly

Yaan juzzi nimemtazama M7 kapungua mzee wa watu kweli alikuwa anawaza na kuwazua lkn nikimtazama Jaden ako amenenepa
Hakuna Cha normal business na Kenya. Wakenya ni washenzi kabisa they can go to hell. Ikibidi tutajenga ukuta au kuweka waya katika mpaka wote wa Kenya na Tanzania Kama USA ilivyofanya na Mexico.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom