Tanzania yakataa ombi la Kenya la kuomba msamaha kuhusu mzozo wa zuio la ndege za Kenya

Kuna vitu vingine ni vya kijinga sasa, kuendelea kulikumbatia limzozo la ajabu ajabu hamna mpango cha msingi maisha yarejee normal business should re operate again ma covid yenye ni janja ya waxungu na nampongeza Jaden ameweza kutumia fursa ametumbua pesa za wazungu vi deadly.

Yaan juzzi nimemtazama M7 kapungua mzee wa watu kweli alikuwa anawaza na kuwazua lkn nikimtazama Jaden ako amenenepa./QUOTE]

Mungu akusamehe
 
bidhaa zetu za kilimo kama mahindi, asali, mboga mboga etc hayajakosa soko, kumbuka tanzania inavutia wawekezaji wa aina mbalimbali kuja kujenga viwanda hivyo tunayahitaji kwa ajili ya kufeed viwanda vyetu, tz hatuna shida na ndege zenu kwani tuna za kwetu na tayari nafasi ya KQ imeshazibwa na ETHIOPIAN NA RWANDA AIR, WATOTO NA WAPUUZI WAKUBWA MSIOJIELEWA NI WAKENYA MNAESHINDANA NA UNAYEMTEGEMEA KWA KILA KITU! Hata mlipochinjana 2007 TANZANIA ndiyo ilikuwa wa kwanza kuwasaidia. kuna upendo zaidi ya huo? sasa tume amua ni kuwanyoosha tu
Hukuelewa nilichoandika.
 


MY TAKE: Yale matamshi ya Uhuru Kenyatta kwamba Kenya is a democratic country, our media are free we can't hide anything, not like ET other country which puts thing under the carpet", hayakufaa kabisa kusemwa na rais wa nchi tena hadharani, sitegemei kama Magufuli ataruhusi ndege za Kanya kuingia Tanzania hivi karibuni.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wewe ni kiherehere sana, utashangaa siku moja wakubwa wanskunywa chai pamoja ukaumbuka
 
Kwani kukataa kuruhusu hiyo biashara kunanufaisha wananchi wa Tzn na kuididimiza wananchi wa Kenya au? Maslahi na tabia binafsi za mtu zinapofanywa kuongoza maslahi ya nchi na wananchi.
 
Kwani kukataa kuruhusu hiyo biashara kunanufaisha wananchi wa Tzn na kuididimiza wananchi wa Kenya au? Maslahi na tabia binafsi za mtu zinapofanywa kuongoza maslahi ya nchi na wananchi.
 
Back
Top Bottom