Sasa si Mwambie Awashawishi Makanda Wenzake Waanze Kuichapa Rwanda!!!!!!!!!!!!!!!! TUSIJIDANGANYE KWA PROPAGANDA YA KIJINGA, KISHAMBA NA YA KITOTO. Hivi Wewe Unadhani Hao Rwanda na Wao hawana Majasusi Wao Tanzania? Kwa Taarifa Yako tu Hata huko TPDF, Serikalini Kwenyewe, ktk Taasisi Binafsi na Hata Kwa Wafanyabishara Rwanda Imepenyeza Watu Wake wa Kutosha na Kila Siku Taarifa Zinapelekwa Kigali. Unapojipanga Kwa Rwanda na Wao Pia Wanajipanga Vilivyo Kwa Tanzania na Tukithubutu tu TUTAUMBUKA. Bado Nasisitiza Tuache Diplomasia Itawale na Tusifike huko ktk Kutaka Kupigana Kwani bado Tunahangaika Mno Kujenga Uchumi wa Nchi Yetu Uliyoharibika Sana Wakati wa Vita Vya Nduli Amin 1978 - 1979. Sisi Sote ni Afrika Kwanini Tugombane? Na Tunagombania Nini? Tunamuenzi Vipi Hayati Baba wa Taifa ambaye Ndiyo Mlezi Mkubwa wa Kikwete, Kagame, Museveni, Kabila Kupitia Kwa Marehemu Baba Yake na Wengineo Wengi. Wao Wametuolea na Sisi Pia Tumeoa Kwao Je Leo Tukionyeshana Ubabe tutakuwa Tunamfaidisha Nani? Hebu Tubadilishe Mindset Zetu Jamani.
ujasusi kwenye vita ni msaada mkubwa lakin siyo kilakitu, si uliona m23 ilivyopigwa kwa week mbili tu!!!unadhani walikuwa hawana msaada wa kijasusi wa rwanda!!!ukiona nchi au mtu kabla ya ugomvi kuanza anapiga kelele nyingi ujue ni mwoga anajua atapigwa tu!!!hata idd amin alijisifia sana kwa propaganda oh mimi field marshall oh mimi nani!!lakini kibano kilivyoanza alivyokurupuka je!!!!!