10 September 2021
Kigali, Rwanda
Tanzania imeshindwa kulipia ada ya dola za kimarekani US$ 1,000 zilizotakiwa kulipwa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano makubwa ya Afrika ya mchezo wa volleyball.
Pia nchi ya Tanzania ilishindwa kulipia US$ 50 kwa kila mtu aliyetarajiwa kuwepo ktk msafara wa wachezaji na viongozi, kiasi hicho kingetumika kama malipo ya malazi kwa timu ya Tanzania.
Michezo ni diplomasia, ni siasa, ni eneo la kujijenga kishawishi kimataifa n.k ni eneo lingine linaloweza kutumika kama njia ya kuitangaza nchi kikanda na kimataifa, na ndiyo maana nchi nyingi hutumia fedha kuhakikisha nchi zao zinashiriki ktk michezo na michuano mbalimbali ya kikanda na kimataifa.
======
Published : September 10, 2021
The African Volleyball Federation has removed Tanzania from the ongoing CAVB Men's Africa Nations Volleyball Championship for failure to comply with their financial obligations.
Tanzania is understood to have failed to pay $1,000 participation fee and $50 per person per day for the 12 days meant for accommodation.
A statement from CAVB said that the team's removal is in accordance with the Africa volleyball confederation CAVB regulations.
As a result, Tanzania has lost their Group D game against Kenya by forfeiture, and will also not continue playing in the tournament.
The victory will be awarded to Kenya with a 3-0 score.

Tanzania removed from African Volleyball Championship
By Damas SikubwaboPublished : September 10, 2021