Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,335
- 13,293
Kweli mipango siyo matumizi! Haya ni maneno ya wahenga!!
Badala yake:
* Hakuna mikutano ya kisiasa!
*Hakuna bunge live!
*Hakuna kushauri!
*Hakuna kukosoa serikali!
*Hakuna kuajiri!
*Hakuna kulipa madeni ya watumishi!
*Hakuna kupandisha vyeo!
*Hakuna! Hakuna!! Hakuna!!!
Kuteua na kutengua kwa kwenda mbele!
Vitisho kwa kwenda mbele! Matamko yasiyotekelezeka kwa kwenda mbele! Ziara feki za kushtukiza! Ili mradi vioja turn!!!
Watanzania mwafuaaaa!!!
Badala yake:
* Hakuna mikutano ya kisiasa!
*Hakuna bunge live!
*Hakuna kushauri!
*Hakuna kukosoa serikali!
*Hakuna kuajiri!
*Hakuna kulipa madeni ya watumishi!
*Hakuna kupandisha vyeo!
*Hakuna! Hakuna!! Hakuna!!!
Kuteua na kutengua kwa kwenda mbele!
Vitisho kwa kwenda mbele! Matamko yasiyotekelezeka kwa kwenda mbele! Ziara feki za kushtukiza! Ili mradi vioja turn!!!
Watanzania mwafuaaaa!!!