Tanzania Vs Morocco

Tanzania Vs Morocco

wadau nauliza swali la kizushi hivi hizi TV zingine kama star tv na ITV huwa haziruhusiwi kuonesha mechi za timu ya taifa mpaka hao tu TBC au utaratibu ukoje mwenye ufahamu anijuze maana naona mizengwe imekuwa mingi sana
sina ufahamu sana ila kinacho ongelewa hapa ni TV ya taifa!!!hizi zingine haziongelewi sana kwa sababu ni watu binafsi !!!
 
huyu jamaa wa morocco namba 18 ni mbaya inabidi jamaa wamuangalie sana!!
 
tm.JPG
TZ haooooooooooooo Brazil. Lol
 
... Real wonderful ... cant believe dis!! By the way ...Huyu samata ni nani katika taifa la Tz
ni mchezaji kama walivyo wachezaji wengine!labda added advantage kwake ni kuwa anacheza mpira wa kulipea TP Mazembe!!
 
Hehehe Livescore.com chai sana eti Kafunga ulimwengu

[TABLE="class: match-details match-ellipsis league-table mtn"]
[TR]
[TH="class: sts"]
flash.gif
65'
[/TH]
[TH="class: home"] Tanzania
[/TH]
[TH="class: sco"] 1 - 0
[/TH]
[TH="class: awy"] Morocco
[/TH]
[/TR]
[TR="class: partials"]
[TH="class: sts"][/TH]
[TH="class: home"]half-time:
[/TH]
[TH="class: sco"](0 - 0)
[/TH]
[TH="class: awy"][/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: title, colspan: 4"]match details :
[/TH]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: min"]46'
[/TD]
[TD="class: ply"] Thomas Ulimwengu

[/TD]
[TD="class: sco"] 1 - 0
[/TD]
[TD="class: ply"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

I really missed a lot this comrade: Mphamvu. I wish all the best to Tanzania Bafana Bafana to win these Morrocans.
 
Last edited by a moderator:
Bahati yenu huyo Rais wa China ametia timu nchini mwenu ama sivyo Vasco Dagama wenu angetia mguu wake hapo kiwanjani lazima mgefungwa!! Nani anabisha?
 
Back
Top Bottom