Kilakshari
JF-Expert Member
- Dec 13, 2008
- 350
- 20
Naipenda Offside tric wanaoicheza Stars. Waarabu wanajikuta peke yao peupee!
Hii ni habari kubwa ... keep on Taifa StarsHehehe Livescore.com chai sana eti Kafunga ulimwengu[TABLE="class: match-details match-ellipsis league-table mtn"][TR][TH="class: sts"]65' [/TH] [TH="class: home"] Tanzania [/TH] [TH="class: sco"] 1 - 0 [/TH] [TH="class: awy"] Morocco [/TH] [/TR] [TR="class: partials"] [TH="class: sts"][/TH] [TH="class: home"]half-time:[/TH] [TH="class: sco"](0 - 0)[/TH] [TH="class: awy"][/TH] [/TR] [TR] [TH="class: title, colspan: 4"]match details :[/TH] [/TR] [TR="class: even"] [TD="class: min"]46'[/TD] [TD="class: ply"] Thomas Ulimwengu [/TD] [TD="class: sco"] 1 - 0 [/TD] [TD="class: ply"] [/TD][/TR][/TABLE]![]()
wasiendekeze sana,refa akisahau kidogo tunalia!!Naipenda Offside tric wanaoicheza Stars. Waarabu wanajikuta peke yao peupee!
Mkuu China walijenga ule uwanja!! Acha watuchungulie hadi uvunguni. Na safari anakuja kutia sahihi 17, hadi zile barabara kuu mtakuwa mnalipia ushuru. Mbaya zaidi tunajizidi kujifunga kiasi kwamba kuchomoka itatubidi kusacrifice baadhi ya vitu.Yaani TBC kweli ni matatizo mtupu...yaani hawawezi kabisa kusoma alama za nyakati...na kutoa uamuzi wa maana. Rais wa China wapi na wapi !
wadau nauliza swali la kizushi hivi hizi TV zingine kama star tv na ITV huwa haziruhusiwi kuonesha mechi za timu ya taifa mpaka hao tu TBC au utaratibu ukoje mwenye ufahamu anijuze maana naona mizengwe imekuwa mingi sanayaani hakuna hata sababu ya kuwa na TBC1 na TBC2!!!kwanini moja isiende kumlaki huyo rais nyingine ikabaki na soka!!
Tunampokea Rais wa China kwanza mpira baadaeDah pumbav tbc