Tanzania Vs Morocco

Tanzania Vs Morocco

uzuri wa huyu Kocha wetu hana makeke..hongera babu.!!
 
Show game time, naona vijana sasa wanamiliki mpira wanaenda mbele na kurudisha kwa Kaseja. Vizuri sana Stars.
 
watoto wanakipiga kama enzi za invincibles.
 
Najua dawa ya timu za Afrika Kaskazin na Magharib ipo kule kwa wakongo,good enough tunavijana wetu wako pande zile cku hizi hivyo ndio matunda tunaoyaona leo hapa......
Heroeezzzz Taifa Starzzzz.
 
Mbona wale wasaliti siwaoni tena? Oooh! Tunafungwa, sijui nini! Mnakosa uzalendo, mnabaki kuchonga tu.
 
Back
Top Bottom