Tanzania Vs Morocco

Tanzania Vs Morocco

Tbc 2 wanaonyesha ila kibubu bubu! Wakiweka sauti inasikika ya kumpokea mchina! Picha za uwanja wa taifa sauti kutoka airport
 
Ndio shida ya kuingia ubia na mataifa makubwa tena wao wakiwa na hisa nyingi. Mpira umewekwa pembeni tunamuangalia rais wao sasa.
 
Mbona hawa tbc hawaonyeshi....wapuuzi sana.

tbc wapuuzi kabisa kuna watu wamekaa kwenye tv wanaadithiwa eti samatha kafunga nao wanatwambia.wajinga kabiwq..now wameenda kuonyesha mapokezi ya rais wa china....
 
Hehehe Livescore.com chai sana eti Kafunga ulimwengu

[TABLE="class: match-details match-ellipsis league-table mtn"]
[TR]
[TH="class: sts"]
flash.gif
65' [/TH]
[TH="class: home"] Tanzania [/TH]
[TH="class: sco"] 1 - 0 [/TH]
[TH="class: awy"] Morocco [/TH]
[/TR]
[TR="class: partials"]
[TH="class: sts"][/TH]
[TH="class: home"]half-time:[/TH]
[TH="class: sco"](0 - 0)[/TH]
[TH="class: awy"][/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: title, colspan: 4"]match details :[/TH]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: min"]46'[/TD]
[TD="class: ply"] Thomas Ulimwengu
[/TD]
[TD="class: sco"] 1 - 0 [/TD]
[TD="class: ply"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom