Tanzania Vs Morocco

Tanzania Vs Morocco

Kuna watu wengine wana damu ya kunguni. Kaseja kazi aliyofanya jana ni kubwa kuliko wengi tunavyoweza kujua. Hata goli alilofungwa ukiangalia vizuri, mpira ulikuwa ni shuti la kushtukiza, la chini tena liliokwenda pembeni kiasi ilikuwa n ni ngumu kuukamata vizuri.

Kiufundi na utekelezaji wa majukumu yake, he is by far the best goalie we have in Tz currently.

Damu ya kunguni k......... We ms..... Xxxuyy nn? Umeamua kuleta unazi ee. Haya nampongeza kwa kaz nzur ila matusi marufuku mbuz we
 
Back
Top Bottom