View attachment 88012
TZ haooooooooooooo Brazil. Lol
Samagooooal ....3-0
... Watu wachache sana siku hizi wakuiletea sifa Tanzania ... sioni hata mbunge mmoja mwenye sifa za huyu ... nani?ni mchezaji kama walivyo wachezaji wengine!labda added advantage kwake ni kuwa anacheza mpira wa kulipea TP Mazembe!!