🗣️ Nimekubali!!hahahahahahaha unauliza au umekubalii
sema unaizungumzia ya simba day🗣️ Nimekubali!!
alikuwa na ishu zake za uraia ndo maana alikuwa hatumikiWewe unaonaje mkuu?
mda bado upoTumeshindwa wenyewe kutumia nafasi nyingi sana
Jamaa aliyefunga ni strikermda bado upo
typicallyJamaa aliyefunga ni striker
anatwa Steve Mounie anacheza Brest ligi kuu ya Ufaransa na kina PSG,,amewahi pia chezea Huddersfield ya England bila kusahau Nimes na Montpellier zote za France,,ni bonge striker hacheki na kima kama ndugu zetu wanaopoteza nafasi za hovyohovyo tu saizi wanajilaumuJamaa aliyefunga ni striker