Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

Chini ya Karia ligi kuu imepeleka timu 4 mashindano ya caf, nikumbushe raisi yupi wa tff aliyefikia hayo mafanikio.
Karia karia karia ndio tatizo...unasemaje wewe dogo...haya ni mawazo yangu Mimi..
Karia ndio tatizo...kwako wewe Karia ameleta mafanikio kupeleka timu nne caf...ni mawazo yako wewe..
 
Kwani haya mashindano ya Fifa kuelekea kombe la dunia ni lazima kushiriki nchi kama nchi ama ni hiari ya nchi ? Nashauri tu watanzania wenzangu bora tutafute tu michezo mingine ya kucheza mpira tuwaachie wenye wengine wenye kuweza kucheza
 
Nafikiri kuna haja ya team ya taifa kuzuiwa kushiriki game yeyote mpaka hapo tutakapokuwa tayari.inasikitisha kuona team ya Taifa performance Yao hata game za home ground kazi kushinda.benin hawako wazima kama miaka iliyopita ndio maana wana struggle sana uwanjani kama vipi vunja team ya taifa tuanze upya after 15yrs from now period 🙈🤞
 
Yani unategemea Nini kwa mtu mbaya kama yule striker akimbie na mpira vile,aingie vile then Kama kawaida ya wachezaji waliokomaa , jamaa na aka 'kevu' ule mpira Safi kabisa, Yani li shambuliaji Kama lile lililozoea kufunga na tayari lishafunga Sana magoli kwenye nchi zenye ligi kubwa duniani,hivi unategemea nn?,akuache maeneo Yale?...
 
Shida sio Povu, tatizo linaanzia kwenye hadi kumuombea uraia ili aisaidie Taifa stars halafu ni mediocre player
Ukijiondoa ushabiki wa Yanga na kunisikia kidogo, pengine unaweza kuondoka hata na kitu walau kidogo.
Madagascar, Guinea ya Ikweta na Cape Verde ni mifano michache ya nchi zilizokuwa chini sana kisoka barani Africa, lakini ziliamua kutafuta wachezaji popote pale duniani wenye chembechembe ya nchi zao na kuwashawishi wachukue uraia ili wazichezee nchi zao, na jambo hili limewasaidia sana hadi Madagascar na Cape Verde zimekuwa zikikata tiketi ya AFCON na hata Guinea ya Ikweta ilikuwa mwenyeji wa AFCON 2015 na kufika nusu fainali, hatua ambayo ni kubwa sana

Sasa sisi badala ya kuwashawishi wanaoweza kutusaidia eti tunashika bango tena kwa uchungu sana. Kisiasa ni jambo la kawaida sana kwa Waziri kutoa uraia kwa mkimbizi au mgeni mwingine, tena hata kama hasaidii lolote nchini. Tuache povu, waziri ametoa uraia kwa Kibu, na yeye aliyepewa ameukubali

1633620602341.png

View attachment 1967069

Sasa sisi tunafeli wapi kutafuta wachezaji wenye quality ambao ni wenye Origin ya Tanzania na sio hawa mediocre player
 
Yaani wachezaji wenyewe ndiyo Kibu? Naona unachangia bila kichwa
Huyo Kibu angeweza kupewa uraia hata kama sio mchezaji, yaani hata kama angekuwa mkulima tu, sheria inampa uwezo waziri kufanya hivyo na wala hakuna mtu wa kuhoji. Kwa hiyo povu la kusajiliwa Kibu kama Mtanzania lisihamishe mjadala.

Badala ya kuangalia wanaopewa uraia, hebu tuangalie mabeki wetu ambao wana uraia halali usio wa kupewa, akina Dickson na Mwamnyeto. Ni wa viwango vya kutupeleka WC? Wamewahi kucheza mechi ngapi za kimataifa? Kama sio kucheza, basi walau wana uwezo gani uwanjani?
 
Leta sasa wakwenu munao waamini mikia, uanalalamika wakati timu yako hizo namba huna wazawa akina kenned juma? Tupe namba tano na nne mzawa aliyepo juu ya Mwamnyeto na Job kutoka Simba ambao wamecheza mech kubwa. Tusilaumu kwani washambuliaji hawajapata mipira kwa nini hawajafunga.
Kwamza beki wamejitahidi. Golikipa yule ni tz1 anaitwa.
 
Nadhani hujasoma tangu mwanzo, umekimbilia kujibu hii post kama ilivyo
 
Tanzania wamebaki kupambana na magaidi hewa wasiokuwepo, mpira imewashinda hawawezi.

They've been beaten well and proper, thorough and square ⬛⬜. After all, nothing to worry about, Tanzania is not a footballing country.
 
Back
Top Bottom