Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

Kwa wanaoangalia mpira,vipi dimba letu liko salama chini ya mzamiru,cosma na feisal?
 
1633615403298.png
 
ifike pahala mzamiru apewe heshima yake
Ni basi tu atuthamini vya kwetu sijui niseme hivyo,lakini Mzamiru Yassin ni kiungo solid aliyetakiwa kuanza kikosi cha kwanza timu ya taifa mpaka club.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom