kwa hakika, Starz wanatakiwa kuwa makini na mashuti yanapigwa mbele: vilevile strikers inabidi waongeze juhudi na kucheza kwa kujiamini; all in all sijaona madhara makubwa kwa Starz.
Ya! Starz wametulia, lkn sina uhakika na mabeki kwani naona Kaseja yuko bize sana kuchomoa michomo inayochongwa na hawa wa-Arabu: kuna haja ya mabeki kujipanga sawasawa kuokoa baadhi ya hatari ili Kaseja asichoke sana.