Tanzania: Urgent action needed to tackle poverty in old age!

Tanzania: Urgent action needed to tackle poverty in old age!

Labda aliyesain alikuwa mzee wa gombe ambae Genetically he is very close to us sasa akadhania anayowatendea Jane Goodal kule Gombe ndo alichosain.Ila msisahau CCM na serikali yao kwao wazee ni wale walioko pale Da salamu tu ndo maana kukiwa na jambo la kitaifa utasikia..leo ataongea na wazee wa da salam!
 
usijali kusaini mikataba mkuu , hawa wanasaini kila penye hela hata kama ni uongo !
 
mfano mkubwa uliowaharibia ni wale wazee waliowapiga ' puu ' wa east africa community .
 
bongo bora kufa ukiwa kijana,ukifika uzee shida sana
 
Nape si alisha toa tamko la ccm kuhusu wazee sasa mnalalamika nn au mmeisha sahau?
 
Sera ya kutibia wazee na wamama wajawazito bure ipo,
Kuna wakati nilifuatilia kipindi cha haba na haba cha bbc
waliingia ndani zaidi na kuongea na walengwa, wengi walikiri kutokupata hii
huduma ya matibabu bure;

Ukifuatilia kwenye mabohari ya madawa utakuta mgawo umepelekwa kwenye hayo makundi
lakini dawa hazifiki kwa walengwa.

Hapa tuone bila kuoneana aibu kuwa hata wale wahusika nao wanashiriki kuifanya serikali ionekane
haiwajali wazee. Bila kujali itikadi tukubaliane kuwa kuna mbinu chafu katika kuhudumia wazee na
wamama wajawazito. chama huko uliko tuambie kidogo kuhusu hii huduma ya wazee na wajawazito
ili Ritz aone kama itatekelezeka hapa home.

Naunga mkono hoja yako.
Ila naona tuanze kwa kile ambacho kipo tayari.
Serikali ina sera ya 'Matibabu bure kwa wazee'. Sera hii iko kwenye makaratasi tu.
Wazee wetu wanapata taabu sana na wananyanyasika sana wanapoenda kutibiwa kwenye hoapitali za serikali.
Wazee wanatakiwa watibiwe bure kwenye hospitali za serikali, na pia wanatakiwa wapewe kipaumbele wanapofika kwenye hospitali hizo kwa matibabu.
Naomba Ritz afuatilie jambo hili na kuhakikisha kuwa linatekelezwa.
 
Last edited by a moderator:
Wadau nimesikia kwa mstuko katika taarifa ya BBC asubuhi kwamba Tanzania ni among five countries zinazoongoza kwa huduma mbaya kwa wazee duniani.

Katika hilo kundi tunachuana na nchi kama Afghanistan na nyingine sikuzisikia vyema ambazo most of them zina matatizo ya kisiasa na kivita.

Mshangao wangu ni nchi yetu na kujitapa tuna utulivu na amani tumeshindwa kuwajali wazee wetu, hata malazi bora tu,tumeshindwa.

Wazee wetu na wao wana haki ya kupata faida ya mazao ya tembo (utalii),n.k. Genge la wachumia tumbo limedhulumu haki yetu wananchi alafu wanajitapa vipara ni vya kufikiria matatizo ya wananchi.

.....hii utasikia sasa hivi inapingwa vikali mno, muda si mrefu utasikia utafiti wa Synovate na data za kupikwa...

 
good analysis kiranga. and i tell you what...i can confirm aaaaall this, if you wanted first hand accounts...

Overview

Tanzania ranks 90 globally, the lowest in the Africa region. The country also has the lowest ranking, at 91, in the income security domain, reflecting its low pension coverage of 3.2% and high relative old age poverty rate of 33%.
In the health domain, however, Tanzania ranks third highest in the region, at 73, after
Best and worst places to be old: interactive map | News | theguardian.com

Best and worst places to be old: interactive map

Ever wondered where in the world it's best to be old? Where your psychological well-being and life expectancy would be maximised? Where you'd be at the lowest risk of poverty? Have the best access to public transport?HelpAge International has launched a new index that looks at quality of life for 89% of the world's older people in 91 countries. Click on the map below to find out why Sweden was the best place to live as an old person, and Afghanistan was the worst.

Tanzania, United Republic ofGlobal AgeWatch rank: 90
helpAge-icon-1income.png
Income security rank: 91
helpAge-icon-2health.png
Health status rank: 73
helpAge-icon-3emply-edu.png
Employment and education rank: 88
helpAge-icon-4enabling.png
Enabling environment rank: 79
See AgeWatch report card for Tanzania, United Republic
 
So bad!Kila kitu sisi tupo mwisho!!Kila mazuri sisi tupo mwisho!Aibu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
.....hii utasikia sasa hivi inapingwa vikali mno, muda si mrefu utasikia utafiti wa Synovate na data za kupikwa...

...i dont trust those guys anymore, maana huwa wanakuja wakati wa serikali inalemewa. hawna tofauti na shehe yahya naye alikuwa anatumika vilivyo kuficha uchakachuzi...
 
Chukua tanzania linganisha na marekani halafu jiulize marekani wamepata uhuru lini ndipo ujaji usijaji kwa hoja nyepesi mkuu.

Mbona ya viongozi wetu Africa ni ya ANASA kuliko hao wanaotupa misaada,ishu ikigusa wananchi,hamtaki kulinganisha na inchi za dunia ya kwanza,ikihusu maisha ya viongozi mnataka mfanane au kuwazidi viongozi wa dunia ya kwanza
 
...i dont trust those guys anymore, maana huwa wanakuja wakati wa serikali inalemewa. hawna tofauti na shehe yahya naye alikuwa anatumika vilivyo kuficha uchakachuzi...

Synavitu....nadhani wako kwenye payroll ya jamaa...
 
Back
Top Bottom