Tanzania: Urgent action needed to tackle poverty in old age!

Tanzania: Urgent action needed to tackle poverty in old age!

Unashangaa nchi kuwa ya 91 kati ya 92,Wakati duniani kuna nchi zaidi ya 270??
 
Nimeona bbc, wanasema global ageing index( umri wa kuishi) Tanzania ni ya 91 kati ya 92. Nchi ya mwisho ni Afghanistan, sasa hii ina maana maisha bora kwa mtanzania yako wapi? Nchi zinazoongoza ni 1. Sweden 2. Norway 3. German, swali la kujiuliza hata nchi za vita iraq, syria? Hii ni report kutoka UN

Mkuu ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Majukwaani wanapayuka mpaka mishipa inawatoka. Wanalaani na kuwabeza watu wanaoeleza Ukweli ya kuwa serikali ya ccm imeshindwa kumkomboa mtanzania wa kawaida kutoka kwenye dimbwi la ufukara, licha ya kwamba kuna utajiri was rasilmali nyingi. Maisha bora wanayafaidi wachache walio madarakani pamoja na maswahiba wao. Ukiuliza watakuonyesha vikwangua anga na magari ya fahari wanayoendesha wao wakati watu wengi hawana hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku!
 
Halafu watu wapo busy na ya nje ya mipaka yetu!!!!!!!
 
Mchangiaji wa kwanza hadi watatu mrengo wenu umekaa kimagamba zaidi. Takwimu hizo ziko wazi kabisa sijui mnataka nini hapo
 
Tanzania nchi yenye amani, mito, bahari na maziwa, misitu, mbuga za wanyama, bandari, dhahabu, almasi, uranium, tanzanite, gesi etc.
Tatizo kubwa ni siasa safi na uongozi bora ndio maana tunalinganishwa na Afghanistan, Pakistan, Somalia
 
Wewe baba yako na mama yako unawatunzaje siyo unakimbilia kulaum serikali pasipo kujua jukumu lako dhidi ya wazee.
 
Siku si nyingi watakusanyika diamond jubilee kukipongeza chama na serikali kwa kazi nzuri pamoja na kuwa watatu kutoka chini!
Chukua tanzania linganisha na marekani halafu jiulize marekani wamepata uhuru lini ndipo ujaji usijaji kwa hoja nyepesi mkuu.
 
umewahi ona huduma wanazopewa wazee katika ile kambi ya serikali ya Funga Funga, au uwezo wako wa kufikiri ndiyo tatizo. Try to think out of the box. Sio kila kitu ni ushabiki. Nani anayewajali wazee ktk nchi hii aseme sasa na atoe na mifano halisi. UKWELI USEMWE na USIUDHIHAKI
 
Na Kenya,Malawi,Msumbiji, Angola,Zimbabwe,etc zilipata uhuru lini? achilia mbali Iraq,Afghastan,Somalia ambazo hazina amani hata chembe
Chukua tanzania linganisha na marekani halafu jiulize marekani wamepata uhuru lini ndipo ujaji usijaji kwa hoja nyepesi mkuu.
 
Nani mwenye wajibu wa kutoa huduma, ni vichekesho sana mimi nijenge hospitali ili nimtibu baba na mama yangu
Wewe baba yako na mama yako unawatunzaje siyo unakimbilia kulaum serikali pasipo kujua jukumu lako dhidi ya wazee.
 
chama sio kibovu ila ubovu unaletwa na viongozi wao wenyewe kwa kupenda madaraka kwaajili ya maslah yao wenyewe.uzalendo uko wapi.Taifa libazid kuangamia leo imekuwa ya tatu kutoka mwisho.Chukuwa chako mapemaaa
 
Chukua tanzania linganisha na marekani halafu jiulize marekani wamepata uhuru lini ndipo ujaji usijaji kwa hoja nyepesi mkuu.
kwa hiyo wewe unafurahia tunaporinganisha afgh na Pakst, ikiwa hivyo roho yako kwatu. Anyway may uko kwenye kundi lile linalofurahia hali tuliyo nayo. Kumbe ndivyo ulivyo
 
Leo ni siku ya wazee duniani,na nchi yetu imeonekana Si salama kwa wazee,salamu kwa wazee na sie wazee tarajiwa,twende Swedeni au Rwanda sababu hizi zina jali wazee
Salamu kwa wazee
CC Mzee Mwanakijiji FaizaFoxy@BABU DC@Edwin Mtei@MAMNDENYI@Madame B@MZIZIMKAVU
Salamu kwa wazee tarajiwa
CC Adharusi@TASLIMU@MALICK MUSSA@MAMAYAKE B@MWITA MARANYA@The Secretary@Watu8@Lara 1
 
Last edited by a moderator:
Tunahitaj vita angalau akil zichangamke, cz hivi milele hatufikii..
 
Leo nikiwa natazama kipindi cha bbc- Swahili saa tatu usiku, nimesikia Habari ya Tanzania yashika nafasi ya mwisho katika kuwatunza wazee Duniani. Nafasi ya mwisho imeshikwa na Afighastani na nafasi ya kwanza Duniani imeshikwa na Swedeni. Swali kwa serikali, Serikali ya tz imesaini mikataba mbalimbali ya kimataifa kwa ajili ya utunzaji wa wazee sasa kwann leo tumekua wa pili kutoka mwisho je mikataba hiyo tumesaini kwa ajili faida ya nani?

Na hata makamu wa Rais amekiri kuwa kweli tz imesaini mikataba mbalimabli ya kimataifa.

source: BBC-SWAHILI
 
Back
Top Bottom