Tanzania: Urgent action needed to tackle poverty in old age!

Tanzania: Urgent action needed to tackle poverty in old age!

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,929
Reaction score
2,567
Wadau nimesikia kwa mstuko katika taarifa ya BBC asubuhi kwamba Tanzania ni among five countries zinazoongoza kwa huduma mbaya kwa wazee duniani.

Katika hilo kundi tunachuana na nchi kama Afghanistan na nyingine sikuzisikia vyema ambazo most of them zina matatizo ya kisiasa na kivita.

Mshangao wangu ni nchi yetu na kujitapa tuna utulivu na amani tumeshindwa kuwajali wazee wetu, hata malazi bora tu,tumeshindwa.

Wazee wetu na wao wana haki ya kupata faida ya mazao ya tembo (utalii),n.k. Genge la wachumia tumbo limedhulumu haki yetu wananchi alafu wanajitapa vipara ni vya kufikiria matatizo ya wananchi.

===============

Overview

Tanzania ranks 90 globally, the lowest in the Africa region. The country also has the lowest ranking, at 91, in the income security domain, reflecting its low pension coverage of 3.2% and high relative old age poverty rate of 33%.

In the health domain, however, Tanzania ranks third highest in the region, at 73, after Mauritius and Ghana, with a life expectancy and healthy life expectancy at age 60 of 17 and 14 years, respectively.

For employment and education, Tanzania ranks 88. This reflects the very low share of older people, 3.1%, who have secondary or higher education. However, 94% of older Tanzanians remain employed.

This year as part of our Age Demands Action campaign, older Tanzanians are calling for a universal social pension and free medical services.


attachment.php


Source: Country ageing data | Data | Global Agewatch Index
 
We fikiria katika suala la katiba mpya tu katibu mwenezi wa CCM alisema ''wazee ni watu wanaosubiri kufa''

Ukiongozwa na serikali yenye mtizamo wa kuwa wazee wanasubiri kufa kamwe usitegemee huduma bora kwa wazee. Cha kufanya kila mtanzania amtunze mzee wake, na tusishangae kuona wazee wanavyoongezeka kutembeza mabakuli ya ombaomba barabarani.
 
iko busy na operation kimbunga itakujibu baadae,sababu za kuwa hivyo.
 
We fikiria katika suala la katiba mpya tu katibu mwenezi wa CCM alisema ''wazee ni watu wanaosubiri kufa''

Ukiongozwa na serikali yenye mtizamo wa kuwa wazee wanasubiri kufa kamwe usitegemee huduma bora kwa wazee. Cha kufanya kila mtanzania amtunze mzee wake, na tusishangae kuona wazee wanavyoongezeka kutembeza mabakuli ya ombaomba barabarani.

Leo ni siku ya Wazee Duniani (International Day for Older Persons).
Tanzania tumekera tena..!!!!
Katika list hiyo iliyotajwa na BBC kwa kutowajali wazee, Tanzania ni nchi pekee toka Afrika !!!
Yaani Tanzania tunashindwa na nchi kama Rwanda na Burundi !!!
Nchi ndogo kabisa hapa Afrika zinaweza kuwahudumia wazee wao kuishinda Tanzania !!!

Maisha 'bora' kwa kila m-Tanzania !??????


Copy:-
Ritz, chama, Mamndenyi, na ZeMarcopolo.
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka mzee Timoth Apiyoh katibu mkuu ofisi ya rais alivyokufa kwa kuaabika sana. Mi naona wao wakiwa madarakani wanasahau kama watezeeka. Wanapozeeka ndo wanakumbuka wakati hawana tena maamuzi. Hiyo ni laana na itaendelea kuwatesa. Kama wakikumbuka kuwa kuna umuhimu wa kuwajali wazee na ndipo Rushwa na ufidadi wa kila aina utapungua.
 
Leo ni siku ya Wazee Duniani (International Day for Older Persons).
Tanzania tumekera tena..!!!!
Katika list hiyo iliyotajwa na BBC kwa kutowajali wazee, Tanzania ni nchi pekee toka Afrika !!!
Yaani Tanzania tunashindwa na nchi kama Rwanda na Burundi !!!
Nchi ndogo kabisa hapa Afrika zinaweza kuwahudumia wazee wao kuishinda Tanzania !!!

Maisha 'bora' kwa kila m-Tanzania !??????


Copy:-
Ritz, chama, Mamndenyi, na ZeMarcopolo.

Inamaana hata wale wazee walio ma kazi toka TANU hadi leo,hawana maisha bora!?
Sishangai saana kwani Mwezi uliopita tuliingia katika 10 bora ya Nchi zenye raia wenye huzuni zaidi Duniani..
Tanzania iko namba 5...
 
Last edited by a moderator:
Inamaana hata wale wazee walio ma kazi toka TANU hadi leo,hawana maisha bora!?
Sishangai saana kwani Mwezi uliopita tuliingia katika 10 bora ya Nchi zenye raia wenye huzuni zaidi Duniani..
Tanzania iko namba 5...

Nape Nnauye alishawaponda wazee wa Tanzania.
Uongozi wa nchi hii ni zaidi ya janga.
Serikali haijali wazee waka ambao ndio waliotumikia nchi hii kwa juhudi kubwa.
Wazee wanatakiwa wapate huduma za kijamii (afya, maji, pensheni, n.k) lakini hapa Tanzania zote hizo ni ndoto.
Ngoaj tuwaulize 'watetezi' wa uongozi huu mbovu wanasemaje..!!
Eti Ritz na wengineo, vipi wazee wa Tanzania ?? Mmewatelekeza ???
Labda ZeMarcopolo na chama watujibu pia.
Mamndenyi upo hapo ????
 
Last edited by a moderator:
We fikiria katika suala la katiba mpya tu katibu mwenezi wa CCM alisema ''wazee ni watu wanaosubiri kufa''

Ukiongozwa na serikali yenye mtizamo wa kuwa wazee wanasubiri kufa kamwe usitegemee huduma bora kwa wazee. Cha kufanya kila mtanzania amtunze mzee wake, na tusishangae kuona wazee wanavyoongezeka kutembeza mabakuli ya ombaomba barabarani.

...cha kutia aibu wanajifanya matatizo yetu yanawakosesha usingizi,sasa napata maana ya kauli ya pinda kwamba serikali imechoka...
 
Mbaya sana hii,tunasahau kabisa hata wazee nao walikua vijana,na mwisho wa siku nasi pia tutakua wazee..lazima tubadilike.
 
Mu-Israeli
Utanisamehi pengine nimechelewa kidogo kuona huu uzi,
Tanzania wazee wanatunzwa kwa kadri ya uwezo wa nchi yetu japo haijapewa kipaumbele sana,

Najua pale kwetu marangu hospitali ya kitemboni na kilema pana vituo vya kutunzia wazee,
sijaweza kutembelea huko siku za karibuni nikaona hali ikoje kwa miaka hii Mkirua anaweza kusema kidogo,

Hata hivyo kwa upande wangu bila kujali itikazi zetu ninapenda nilete
maombi yangu kupitia huu uzi kuona uwezekano wa kuwa na bima ya afya
kwa watanzania wote.

Naamani uwezo wa kupata fungu la kugharamia matibabu lipo ndani ya uwezo wetu.

Naomba Ritz, ZeMarcopolo na mpiganaji mwenzetu chama walitolee maelezo zaidi.

Nape Nnauye alishawaponda wazee wa Tanzania.
Uongozi wa nchi hii ni zaidi ya janga.
Serikali haijali wazee waka ambao ndio waliotumikia nchi hii kwa juhudi kubwa.
Wazee wanatakiwa wapate huduma za kijamii (afya, maji, pensheni, n.k) lakini hapa Tanzania zote hizo ni ndoto.
Ngoaj tuwaulize 'watetezi' wa uongozi huu mbovu wanasemaje..!!
Eti Ritz na wengineo, vipi wazee wa Tanzania ?? Mmewatelekeza ???
Labda ZeMarcopolo na chama watujibu pia.
Mamndenyi upo hapo ????
 
Last edited by a moderator:
Mu-Israeli
Utanisamehi pengine nimechelewa kidogo kuona huu uzi,
Tanzania wazee wanatunzwa kwa kadri ya uwezo wa nchi yetu japo haijapewa kipaumbele sana,

Najua pale kwetu marangu hospitali ya kitemboni na kilema pana vituo vya kutunzia wazee,
sijaweza kutembelea huko siku za karibuni nikaona hali ikoje kwa miaka hii Mkirua anaweza kusema kidogo,

Hata hivyo kwa upande wangu bila kujali itikazi zetu ninapenda nilete
maombi yangu kupitia huu uzi kuona uwezekano wa kuwa na bima ya afya
kwa watanzania wote.

Naamani uwezo wa kupata fungu la kugharamia matibabu lipo ndani ya uwezo wetu.

Naomba Ritz, ZeMarcopolo na mpiganaji mwenzetu chama walitolee maelezo zaidi.

Naunga mkono hoja yako.
Ila naona tuanze kwa kile ambacho kipo tayari.
Serikali ina sera ya 'Matibabu bure kwa wazee'. Sera hii iko kwenye makaratasi tu.
Wazee wetu wanapata taabu sana na wananyanyasika sana wanapoenda kutibiwa kwenye hoapitali za serikali.
Wazee wanatakiwa watibiwe bure kwenye hospitali za serikali, na pia wanatakiwa wapewe kipaumbele wanapofika kwenye hospitali hizo kwa matibabu.
Naomba Ritz afuatilie jambo hili na kuhakikisha kuwa linatekelezwa.
 
Last edited by a moderator:
Overview

Tanzania ranks 90 globally, the lowest in the Africa region. The country also has the lowest ranking, at 91, in the income security domain, reflecting its low pension coverage of 3.2% and high relative old age poverty rate of 33%.
In the health domain, however, Tanzania ranks third highest in the region, at 73, after
Best and worst places to be old: interactive map | News | theguardian.com

Best and worst places to be old: interactive map

Ever wondered where in the world it's best to be old? Where your psychological well-being and life expectancy would be maximised? Where you'd be at the lowest risk of poverty? Have the best access to public transport?HelpAge International has launched a new index that looks at quality of life for 89% of the world's older people in 91 countries. Click on the map below to find out why Sweden was the best place to live as an old person, and Afghanistan was the worst.

Tanzania, United Republic ofGlobal AgeWatch rank: 90
helpAge-icon-1income.png
Income security rank: 91
helpAge-icon-2health.png
Health status rank: 73
helpAge-icon-3emply-edu.png
Employment and education rank: 88
helpAge-icon-4enabling.png
Enabling environment rank: 79
See AgeWatch report card for Tanzania, United Republic
 
Nchi hii ukiitegemea serikali hii vilaza utakufa kabla ya wakati ni bora unapopata nafasi ukajiandalia mwenyewe hatma yako.
 
Kwa mujibu wa utafiti kuhusu huduma kwa wazee duniani imebaini Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye hali duni kabisa kati ya nchi 91 zilizofanyiwa uchunguzi TZ iweshika nafasi ya 3 toka mwisho huku ikitanguliwa na Afghanistan na pakistan

Hichi ndicho kiini macho cha serikali ya magamba ya kuwa inawajali wazee. Kila kukicha ni ahadi kibao na matamko yasiyo na mashiko mf. matibabu kwa wazee ni bure, malipo ya pension n.k kumbe ni changa la macho. wakielezwa ukweli wanatoa povu huku wakiendeleza danganya toto.

Wazee ni muda wa kubadilika na kutowachagua tena maCCM ni bora mkachagua chama kingine kwani bila shaka wataboresha mara dufu maisha yenu

Source: BBC swahili
 
Siku si nyingi watakusanyika diamond jubilee kukipongeza chama na serikali kwa kazi nzuri pamoja na kuwa watatu kutoka chini!
 
Siku si nyingi watakusanyika diamond jubilee kukipongeza chama na serikali kwa nzuri pamoja na kuwa watatu kutoka chini!

wanapelekwa kulishwa sumu na maCCM na kusikiliza porojo na mwishowe wanakipigia kura then baada wanatelekezwa
ila kwa sasa hili vuguvugu la mabadiliko bila shaka wataelewa somo
 
Nimeona bbc, wanasema global ageing index ( umri wa kuishi) Tanzania ni ya 91 kati ya 92. Nchi ya mwisho ni Afghanistan, sasa hii ina maana maisha bora kwa mtanzania yako wapi? Nchi zinazoongoza ni 1. Sweden 2. Norway 3. German, swali la kujiuliza hata nchi za vita iraq, syria? Hii ni report kutoka UN
 

Attachments

  • age-index.jpg
    age-index.jpg
    28.1 KB · Views: 398
Back
Top Bottom