Tanzania tupo vizuri kwenye nini kati ya vitu 15 vifuatavyo?

Tanzania tupo vizuri kwenye nini kati ya vitu 15 vifuatavyo?

Luca Paguro

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
476
Reaction score
1,060
Hapa naongelea Tanzania nzima, sio tu Tanganyika
Yani naongelea hii nchi yetu yote (Tanganyika+Zanzibar) ambayo imebakiza miezi minne kusherehekea miaka 62 ya Muungano

Katika vitu vifuatavyo, ndani ya hii miaka yote 62 tuliyoungana nataka niulize Tanzania tupo vizuri kwenye nini kati ya vitu vifuatavyo

1. Afya

2. Elimu

3. Maji

4. Barabara

5. Uchimbaji madini

6. Viwanda

7. Biashara na uchumi

8. Kipato cha watu

9. Ujenzi wa miji

10. Umeme

11. Kilimo na Ufugaji

12. Matumizi ya nishati safi

13. Usafi wa mazingira yetu tunayoishi

14. Sayansi na Teknolojia

15. Uwekezaji

Kwa sababu hivi ndio mhimili wa nchi, naomba kuelewa kwa miaka yote hii 60+ ni kipi hata kimoja hapo tupo vizuri sisi kama taifa?
 
Uchawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom