Nimekupata.... by the way, niliwahi kuona habari kwamba Urusi wana internet yao.... sikuelewa kama manake wanataka kuwa cut off na grid za nje na wawe wanatumia mitandao yao tuKwa Nchi kama Zetu possibility hio ni kubwa sababu ya ukosefu wa miundombinu ikawa inazungushwa kupitia nchi mbalimbali mpaka kufikia destination, ila sio lazima iwe hivyo sababu hizi cable zinatembea Baharini, inaweza ikatoka moja kwa Moja Toka Tanzania hadi China bila kupitia popote.
Kuna concept ya Intranet mkuu ambayo inakuwa ni internet inayojitegemea, inakuwa haijaunganishwa na Internet ya dunia. Inatumika sana kwenye makampuni makubwa.Nimekupata.... by the way, niliwahi kuona habari kwamba Urusi wana internet yao.... sikuelewa kama manake wanataka kuwa cut off na grid za nje na wawe wanatumia mitandao yao tu
Mbona zimechimbiwa kitambo mkuu huonagi vitofali vya njano pembeni ya barabara kuu zote ukitoka dar ndo mkonga/FIBRE zmetembea humo .kama nguzo za umeme vile ikifika kwenye mji wanasambaza kwenye minara michache ya karibu na town alafu wanaboost signal kwenda mingine ya pembeni. Huo waya ukizingua mnajikuta mtandao flan unasumbua kwa wote siku hiyo. Na ukiwa kwa juu utaona minara imefatana kama nguzo tu kuingia interior kutokea main road.Sasa hizo nyaya uchimbe kutoka Dar mpaka tunduma ,kahama, mwanza etc mbona gharama
hio speed ni ndogo sana, ni bundle tu ya kawaida inauzwa na isp kibao, zuku na raha ni around laki 1 ama 1 na ishirini kwa 50mbpshivi inacost kiasi gani kununua direct kutoka kwa ao ISP mfano TTCL au Telnet na wengineo (kama 100 au 50mbps)
Cjakupata hapo mkuu umemaanisha 100/50Mbps Ni speed ndogo sana... why? maana naona ni 4g iliyoiva kabisa hiyo..hio speed ni ndogo sana, ni bundle tu ya kawaida inauzwa na isp kibao, zuku na raha ni around laki 1 ama 1 na ishirini kwa 50mbps
namaanisha kwao isp, kwetu sisi ni speed nzuri ila wewe kwenda kwa isp na wakutengenezee kifurushi chako cha hio speed ni kazi ndogo ambayo kuna asilimia kubwa hawataifanya.Cjakupata hapo mkuu umemaanisha 100/50Mbps Ni speed ndogo sana... why? maana naona ni 4g iliyoiva kabisa hiyo..
wananunua bundle na wao,Mkuu mm naomba ufafanuzi
Kwa mfano,youtube,facebook,yahoo,au mtandao wowote wenye saver ni lazima wawe na fibre cable yao kuzunguka duniani kote?au wao wanaingizaje mitandao yao kwenye hizo cable?
Na vipi simu zetu hizi za saut nazoo zinatumia muunganiko wa waya baada ya signal kuwaa zimefika kwenye mnara tayari kwenda eneo husika ambalo mpiga simu anataka mawasiliano yake yaendewananunua bundle na wao,
server zinanunua internet, ndio maana kama umewahi kununua webhosting utaona wanakuwekea limit fulani ya bandwidth ili usimalize sana mb za watu.
mambo ya digitali ndio hadi simu zetu tunazopiga zinapita kwenye hizo fiber, kwenye analog zilikuwa zinapita kwenye zile nyanya za shabaNa vipi simu zetu hizi za saut nazoo zinatumia muunganiko wa waya baada ya signal kuwaa zimefika kwenye mnara tayari kwenda eneo husika ambalo mpiga simu anataka mawasiliano yake yaende
Mkuu kwenye moja ya comments zako, umesema kwamba meli iligonga cable. Swali ni kwa vipi hilo lilitokea wakati hizo cables huwa zinachimbiwa sakafuni.mambo ya digitali ndio hadi simu zetu tunazopiga zinapita kwenye hizo fiber, kwenye analog zilikuwa zinapita kwenye zile nyanya za shaba
West Africans wamejimilikisha cable za maana.Wanaweza tumia njia kama
1. Satelite Internet, sema hii haitumiki sana ni kama backup tu.
2. Cable za Chini ya Bahari ama Nchi kavu, angalia hii picha kwa list ya provider
View attachment 1523682
Ukisikia mkonga wa Taifa ndio hizo cable, zinakuwa na bandwidth za maana, zaidi ya Terabyte kwa sekunde, kuna moja hapo inaenda hadi terabit 100. Hizo cable ndio isp wanatumia kuunganisha na nje ya Bara la Africa.
Bado internet Tz ni gharama sana kulinganisha na vipato vyeti pamoja na kusambaa kwa hizo waya.Hapana Aisee, na waya Ndio rahisi zaidi kuliko wireless, zikitandazwa hizo kila eneo internet inakuwa bei ya maandazi,
Sababu kubwa ni Nanga mkuu, japo inawezekana pia kugongwa incase sehemu ni deep sana na waya hauwezi kwenda chini.Mkuu kwenye moja ya comments zako, umesema kwamba meli iligonga cable. Swali ni kwa vipi hilo lilitokea wakati hizo cables huwa zinachimbiwa sakafuni.
Yah wanapakana na America ndio maana, sisi huku Australia ipo mbali sana hakuna umuhimu kivileWest Africans wamejimilikisha cable za maana.
Kulinganisha Na vipato ni kweli Internet ni gharama kuliko vipato vyetu, ila ukilinganisha Na nchi nyengine bei zetu ni Rahisi sana.Bado internet Tz ni gharama sana kulinganisha na vipato vyeti pamoja na kusambaa kwa hizo waya.
Sema ubishi wetu.