Tanzania tuna tatizo la msingi sana la ujinga na upumbavu

Kwa mfano wewe ukia kiongozi ni lipi la msingi utalifanya kuuondoa huo upumbavu tuanzie hapo
 
Tuanze na wewe mkuu. Umechukua hatua gani baada ya kuliona hili?. Tunaweza kuwanyooshea wengine kidole kumbe na sisi tuna fanya kitu hicho hicho kwa namna ile ile.
[/QU
Technically amechukua hatua ya kujificha nyuma ya keyboard na jina feki na kuanza kuwalalamikia waliojitoa hadharani kuisadia nchi hii kutoka huko anakokulalamikia.
 
Tuna tatizo la kusona na kutoelimika, Tuna tatizo la upumbavu ambalo unakuta mtu ana mpaka degree lakini bado ni mpumbavu. Tuna Tatizo la kutokuwa na elimu ya uraia, Tuna tatizo la kuamini CCM CHADEMA au ACT watatuletea maendele. hakuna mwanasiasa ambaye anaweza kuwaletea maendeleo sababu yupo chama fulani.

Miaka 58 ya uhuru bado nchi haina barabara nzuri, maji, umeme, madawati, madarasa ya kutosha sisi tunashangilia siasa na wanasiasa wanakimbia vyama. watanzania wengi bado ni wapumbavu na wajinga na inawezekana hata viongozi wengi wanaotawala ni wajinga na wapumbavu ndio maana hatuna chochote cha kujivunia zaidi ujinga maradhi(ukimwi) na umaskini.
Ki msingi sababu Kuu ya CCM kuendelea kutawala milele na milele ni Ujinga wa Tanzania. Ila Mkuu ungeweza basi kuweka na Solution(s) what to do.
 
So maendeleo huletwa na nani?Katika moja ya vitu ambavyo Baba wa taifa alisisitiza ili tupate maendeleo,alitaja vinne;
-Watu
-Ardhi
-Utawala bora
-Siasa safi

Hapo moja kwa moja utawala bora na siasa safi vinaungana kupinga uzi wako hapa!Unless unamuona mwalimu naye alikuwa kama hivyo ulivyotaja!
-Watu ✔️
-Ardhi✔️
-Utawala bora✖️
-Sasa safi ✖️
Kwa hiyo unategemea kupata alama ngapi kwa maswali hayo? na bado tunapiga makofi.
 
Has a miccm inajiona kama bile ndio imefikaga

Don't make a promise you can't fulfill...
 
-Watu ✔️
-Ardhi✔️
-Utawala bora✖️
-Sasa safi ✖️
Kwa hiyo unategemea kupata alama ngapi kwa maswali hayo? na bado tunapiga makofi.
Ndio nasema lazima tuwawajibishe viongozi ili watende ambayo tunayataka!Wakishindwa tuwape kazi watu wengine,si vema kukata tamaa kabisa kwamba hakuna kabisa ambaye anaweza kuongoza vyema!
 
Ndio nasema lazima tuwawajibishe viongozi ili watende ambayo tunayataka!Wakishindwa tuwape kazi watu wengine,si vema kukata tamaa kabisa kwamba hakuna kabisa ambaye anaweza kuongoza vyema!
Mkuu hatujakata tamaa,lakini tunao uthubutu wa kuwawajibisha viongozi tuliowapa kazi,na je sisi tunatambua kuwa hao viongozi sisi wananchi ndiyo mabosi wao? Uliona wapi mfanyakazi uliyemwajili au kumpa kibalua akufanyie,na akamwita Mheshiwa kibalua?kifupi bado tuna safari ndefu sana.
 
Kingereza tusikitumie kabisa, huoni wakenya wanatumia kingereza ila na wao ni maboya tu.

Inatakiwa kitu ili ukielewe unapaswa usome kwa lugha yako ya asili unayoitumia kila siku za maisha yako. Nchi zote zilizoendelea wanasoma kwa lugha zao toka vidudu mpaka phd.
Mchina anasoma kwa kichina
Muingereza anasoma kwa kiingereza
Mfaransa anasoma kwa kifaransa
Mjerumani anasoma kwa kijerumani
Mrusi anasoma kwa kirusi
Mjapan anasoma kwa kijapan
Mkorea anasoma kwa kikorea
Sasa kwanini Mswahili asisome kwa kiswahili?
Kwa nini mjerumani muda wa ukoloni alifundisha kwa kiswahili?alitaka watu wake waelewe, ila muingereza alifundisha kwa kingereza ili tuwe wajinga.
Kwa nini biblia wameitafsiri kwa kiswahili?ili tuielewe biblia kwelikweli.
Fungukeni akili chanzo cha matatizo ya Tanzania ni kusoma kwa kingereza.
Unaongelea lugha ya asili halafu unataka tusome kiswahili. Wengine kiwahili tunajifunza shuleni kama tunavyo jifunza kiingereza. Lugha zetu za asili ni kisukuma, kijita, kinyamwezi...nk. Kama tunaweza kujifunza kiswahili mambo yakaenda kwanini tunashidwa kujifunza kiingereza. Wachina wanaongea kichina kama wanyaturu wanavyoongea kinyaturu.
 
Tuna tatizo la kusona na kutoelimika, Tuna tatizo la upumbavu ambalo unakuta mtu ana mpaka degree lakini bado ni mpumbavu. Tuna Tatizo la kutokuwa na elimu ya uraia, Tuna tatizo la kuamini CCM CHADEMA au ACT watatuletea maendele. hakuna mwanasiasa ambaye anaweza kuwaletea maendeleo sababu yupo chama fulani.

Miaka 58 ya uhuru bado nchi haina barabara nzuri, maji, umeme, madawati, madarasa ya kutosha sisi tunashangilia siasa na wanasiasa wanakimbia vyama. watanzania wengi bado ni wapumbavu na wajinga na inawezekana hata viongozi wengi wanaotawala ni wajinga na wapumbavu ndio maana hatuna chochote cha kujivunia zaidi ujinga maradhi(ukimwi) na umaskini.
Suluhisho, tufanye nini basi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi nyingi tu hapa duniani hayo matatizo yapo.

Ni matatizo ya kibinadamu.

Hivyo, watu wasidhani hayo matatizo ni mahsusi tu kwa Tanzania na Watanzania wake.
Rate inatofautiana lakini kati ya hapa USA na kule nyumbani Tanzania
 
So maendeleo huletwa na nani?Katika moja ya vitu ambavyo Baba wa taifa alisisitiza ili tupate maendeleo,alitaja vinne;
-Watu
-Ardhi
-Utawala bora
-Siasa safi

Hapo moja kwa moja utawala bora na siasa safi vinaungana kupinga uzi wako hapa!Unless unamuona mwalimu naye alikuwa kama hivyo ulivyotaja!
Nchi hii haina watu ndilo tatizo tulilonalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna tatizo la kusona na kutoelimika, Tuna tatizo la upumbavu ambalo unakuta mtu ana mpaka degree lakini bado ni mpumbavu. Tuna Tatizo la kutokuwa na elimu ya uraia, Tuna tatizo la kuamini CCM CHADEMA au ACT watatuletea maendele. hakuna mwanasiasa ambaye anaweza kuwaletea maendeleo sababu yupo chama fulani.

Miaka 58 ya uhuru bado nchi haina barabara nzuri, maji, umeme, madawati, madarasa ya kutosha sisi tunashangilia siasa na wanasiasa wanakimbia vyama. watanzania wengi bado ni wapumbavu na wajinga na inawezekana hata viongozi wengi wanaotawala ni wajinga na wapumbavu ndio maana hatuna chochote cha kujivunia zaidi ujinga maradhi(ukimwi) na umaskini.
Mtu unakuta anasema "baraza la madiwani" badala ya mkutano wa Halmashauri..sasa huyu ndio anajifanya kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.

Hatujui vitu vidogo kabisa vya msingi ndio tutaweza hivyo vikubwa??

Suluhisho ni kuanza kufundisha uraia kuanzia darasa la kwanza, na katiba isomwe shuleni kama somo, tukijua haki zetu kikatiba hatutaogopa kuzidai na tutazidai huku tunajua kwa ukamilifu tunachokidai.
 
Back
Top Bottom