Tanzania tuna tatizo la msingi sana la ujinga na upumbavu

So maendeleo huletwa na nani?Katika moja ya vitu ambavyo Baba wa taifa alisisitiza ili tupate maendeleo,alitaja vinne;
-Watu
-Ardhi
-Utawala bora
-Siasa safi

Hapo moja kwa moja utawala bora na siasa safi vinaungana kupinga uzi wako hapa!Unless unamuona mwalimu naye alikuwa kama hivyo ulivyotaja!
Unaweza ukawa na siasa safi na utawala bora lakini maendeleo yasipatikane kutokana na wananchi kugoma kushirikiana na viongozi, wananchi wakiamua wenyewe kuleta maendeleo wanaweza mfano mkoa wa Kilimanjaro maendeleo yalianza kabla ya Uhuru.
 
Ukisoma kingereza kwanzia vidudu..hakutakua na shida kuelewa ukiingia levels nyingine...ni lugha ya kimataifa,au unadhania ukiingia hizo nchi ulizozitaja utaongea lugha gani kama sio Kingereza??..au kisambaa?? lol
Kingereza hakina uhusiano kabisa na matatzo y kitanzania...
 
Unaweza ukawa na siasa safi na utawala bora lakini maendeleo yasipatikane kutokana na wananchi kugoma kushirikiana na viongozi, wananchi wakiamua wenyewe kuleta maendeleo wanaweza mfano mkoa wa Kilimanjaro maendeleo yalianza kabla ya Uhuru.
Hata wao walikuwa na viongozi wao wa kimila!
 
Kilimanjaro kila kaya ilishindana na nyingine kuendeleza kaya yake, hakuna ushahidi wa machifu kuendeleza maeneo.
Kwenye maendeleo ya kaya basi kiongozi wa kaya atahusika,kwenye maendeleo ya jamii fulani basi viongozi wa hiyo jamii wapo,kwenye maendeleo ya nchi basi kuna viongozi lazima wahusike!
Yaani watu wakusanye kodi halafu tuwaache tu?Lasivyo tusilipe kodi,vinginevyo lazima wanahusika na maendeleo!
 
Hivi kwa nini katiba haifundishwi kama somo au sehemu ya somo LA uraia mashuleni?
 
Nchi nyingi tu hapa duniani hayo matatizo yapo.

Ni matatizo ya kibinadamu.

Hivyo, watu wasidhani hayo matatizo ni mahsusi tu kwa Tanzania na Watanzania wake.
True, mfano ni USA. Kuna wajinga sana na wapumbavu sana huko. Mmojawapo ni toto ambalo ni kiongozi wao sasa, Donald nawenzie. Japo TULIANZA vizuri kwa MALEZI BORA ya kutupelekea TUJIELEWE chini ya DIRA ya Baba wa Taifa (RIP JKN) HUJUMA pamoja na U-SWAHILI na SIASA CHAFU are also culprits. Kiswahili kigumu sana. Chezea USWAHILI wewe utajikuta ni MPUMBAVU sana.
 
Lengo la elimu iliyoasisiwa na Mwalimu Nyerere ilikuwa kwanza kufuta ujinga...ni bahati mbaya sana serikali yenyewe imetupa pembeni lengo hilo na kutizama zaidi matokeo ya mitihani na uwingi wa vyeti, leo hii taifa lina idadi kubwa sana ya watu wenye vyeti na ufaulu mzuri lakini bado hawajafuta ujinga, na kwenye kundi hili wamo maprofesa, wanasheria na wengine wengi, hii ni moja ya sababu za kukwama kwetu kama taifa...!
 
Mtu ananyimwa urais na magufuli halafu baada ya miaka 5 anaitwa ikulu na kufanya kujichekesha na rais kama sio upumbavu ni ni?
 
Back
Top Bottom