Majitu yanashangilia ajira kama vile Tanzania in kampuni ya familia ya Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kwanza ni kweli vipo vyuo katika nchi hizo vya kiingereza lakini tambua kwamba vipo vyuo vingi zaidi vinavyofundisha kwa lugha ya asili za nchi husika.Mnhhhhhhhh
kuna vyuo kibao vinafunsisha kwa kingereza kwenye nchi hizo ulizozitaja...
Kwa nini tuwa limit wasomi wetu..
Wakitaka kufanya kazi nje ya nchi...???????
Halafu kuja na data,specific kuonyesha tatizo la lugha ya Swahili kwenye nchi yetu limechangia/kutochangia maendeleo...
Ni kweli ss ni wajinga tunapelekeshwa na wanasiasa Kama matreka.wabunge wanahaka chama hiki kwenda kule na tunawachagua Tena hiyo ni akili au matope.tunachezewa Kama mpira wa Kona na wanasiasa.Nchi nyingi tu hapa duniani hayo matatizo yapo.
Ni matatizo ya kibinadamu.
Hivyo, watu wasidhani hayo matatizo ni mahsusi tu kwa Tanzania na Watanzania wake.
100%Tuna tatizo la kusona na kutoelimika, Tuna tatizo la upumbavu ambalo unakuta mtu ana mpaka degree lakini bado ni mpumbavu. Tuna Tatizo la kutokuwa na elimu ya uraia, Tuna tatizo la kuamini ccm chadema au ACT watatuletea maendele. hakuna mwanasiasa ambaye anaweza kuwaletea maendeleo sababu yupo chama fulani.
Miaka 58 ya uhuru bado nchi haina barabara nzuri, maji, umeme, madawati, madarasa ya kutosha sisi tunashangilia siasa na wanasiasa wanakimbia vyama. watanzania wengi bado ni wapumbavu na wajinga na inawezekana hata viongozi wengi wanaotawala ni wajinga na wapumbavu ndio maana hatuna chochote cha kujivunia zaidi ujinga maradhi(ukimwi) na umaskini.
ndio mtaji wa watawala wetu ila hata wao wanatawaliwa nawale wenye uwezo mkubwa zaidi kama wale tunaosema ni mabeberuTuna tatizo la kusona na kutoelimika, Tuna tatizo la upumbavu ambalo unakuta mtu ana mpaka degree lakini bado ni mpumbavu. Tuna Tatizo la kutokuwa na elimu ya uraia, Tuna tatizo la kuamini ccm chadema au ACT watatuletea maendele. hakuna mwanasiasa ambaye anaweza kuwaletea maendeleo sababu yupo chama fulani.
Miaka 58 ya uhuru bado nchi haina barabara nzuri, maji, umeme, madawati, madarasa ya kutosha sisi tunashangilia siasa na wanasiasa wanakimbia vyama. watanzania wengi bado ni wapumbavu na wajinga na inawezekana hata viongozi wengi wanaotawala ni wajinga na wapumbavu ndio maana hatuna chochote cha kujivunia zaidi ujinga maradhi(ukimwi) na umaskini.
Tembea hii dunia ujionee mwenyewe nchi zenye mambulula. Sisi by far tuna afadhali sana.
Naunga mkono hoja.Umeongea jambo la muhimu na la ukweli sana. Mungu akubariki. Watanzania tunaona siasa ni kama oxygen ya nchi kumbe ndo tunapotea.
Inabidi tuache kuawaamini wanasiasa wote wa chama tawala na upinzani kwa kuwa wote wanapigania matumbo yao.
Tatizo ni elimu yetu ya mkoloni na ya kukariri madude inatufanya tuwe na akilindogosana inabidi angalau tusome kwa kiswahili kuanzia vidudu mpaka phd.
Uwongo sisi tumezidi mpaka tunakuwa na rais anayeogopa kusafiri nje ya nchi sababu ya lugha kugomaNchi nyingi tu hapa duniani hayo matatizo yapo.
Ni matatizo ya kibinadamu.
Hivyo, watu wasidhani hayo matatizo ni mahsusi tu kwa Tanzania na Watanzania wake.
Nakuomba unitajie nchi yoyote duniani iliyoendelea, ambayo haitumii lugha yake ya asili kama lugha ya kufundishia.
Hadi Prof wa mifupa kuwa mwanasiasaDegree haziko relevant na mazingira yetu,hivyo usishangae wakawa na mawazo ya ajabu..
Umeongea kweli kabisa brother na tatizo kubwa tunapigana na ujinga bila kuwa na uelekeo kumbe tunatoka kwenye ujinga tunaelekea kwenye upumbavuTuna tatizo la kusona na kutoelimika, Tuna tatizo la upumbavu ambalo unakuta mtu ana mpaka degree lakini bado ni mpumbavu. Tuna Tatizo la kutokuwa na elimu ya uraia, Tuna tatizo la kuamini ccm chadema au ACT watatuletea maendele. hakuna mwanasiasa ambaye anaweza kuwaletea maendeleo sababu yupo chama fulani.
Miaka 58 ya uhuru bado nchi haina barabara nzuri, maji, umeme, madawati, madarasa ya kutosha sisi tunashangilia siasa na wanasiasa wanakimbia vyama. watanzania wengi bado ni wapumbavu na wajinga na inawezekana hata viongozi wengi wanaotawala ni wajinga na wapumbavu ndio maana hatuna chochote cha kujivunia zaidi ujinga maradhi(ukimwi) na umaskini.
Toa sasa hayo mawazo kinzani!maendeleo yanaletwa na mawazo kinzani ambayo yanazaa mawazo chanya,ananchomanisha mtoa mada!
Lakini majority ya wapumbavu wapo huku we are still evolving!!Nchi nyingi tu hapa duniani hayo matatizo yapo.
Ni matatizo ya kibinadamu.
Hivyo, watu wasidhani hayo matatizo ni mahsusi tu kwa Tanzania na Watanzania wake.
Lakini majority ya wapumbavu wapo huku we are still evolving!!