barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Sababu ni simple, we dont support the the called human rights aka GAYHOOD/ LESBIANISM.Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo uku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo uku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
I hope this is sarcasmHii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P
Hivi mnamuelewa marekani kajitoa who anakuja na sanaa ingine, ila wakenya ni historia yao kuside na mabeberu
P mbona Zitto aliposhadidia zizuiwe zile za elimu hadi watu walitamani afe? Sasa hivi hizi mlizokinga mkono mkarukwa akapewa jirani zinanuka tena? Ikija round ya pili mkapewa zitakuwa na harufu mbayà tena au zitakuwa zimetakaswa na sanitizer?Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P
Unaelewa vizur kabisa unachokisema mkuu... au na wewe emotions zinakupelekesha....Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P
Wewe acha upuuzi! Ni nyie na kug’ang’ania kupinga kila akifanyacho JPM mnaendesha kampeni dhidi ya Tanzania kwaMarekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo uku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Msaada wenyewe sasa. Nchi kama Kenya ni ya kupiga magoti wapewe 1.2B kweli?Hii ni hatua ya kubwa la mabeberu, kuonyesha kuwa atatuadhibu kwa kutunyima vimisaada mbuzi vyake ili tumpigie magoti!.
We don't want ubeberu, uwe ni wa Americans, UK, UE or whoever with their blood stinking money!.
P
Source ya hii habari ni wewe?Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Leo umejitahidi kufikiri kidogoSource ya hii habari ni wewe?
Na majuha wenzako wengine wanashangilia!
Ur the true son of ur father. This is my best comment of this yearUnataka kila siku uwe nchi masikini?
Yaani unalalamika kukosa msaada wa kimaskini!! Kuna watanzania ni nyumbu watembeao na miguu miwili.
Na Hilo hi tatizo kwako?Viongozi wanaodhulumu haki za kuishi za watz ndiyo wamesababisha USA imetutenga.