technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,843
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?
Au ile kwamba sisi ni donar country tayari imeshawafikia hata Marekani?