mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Unajua wale wajinga darasani huwaga na tabia moja ya kumbeza mwenye akili au anayewaongoza darasani .. Usiwe mmoja wa hao wanaouliza nani alimpa degree
sasa mfano wako una uhusiano gani!!!
nakuelekeza,elimu haihusiani na akili za mtu,labda kama hujui akili ni nini. zilikuwako kwao binaadamu kabla elimu za kidishwa darasani hazijaanza kutolewa mpaka kufikia hatua ya kupewa vyeti.
kwahiyo kupata elimu sio kupata akili.
