Tanzania tulikosea wapi na Kenya walipatia wapi?

ngalia huyu askari anaua raia makusudi zaidi ya mara moja, Kenya huko
 
Attachments

  • Untitled.jpg
    Untitled.jpg
    57.2 KB · Views: 7
Tanzania na Kenya zilipata uhuru mapema miaka ya 1960s. Leo zinakaribia miaka 60 tangu zipate uhuru.

Nchi hizi mbili ni kama makaka wawili waliozaliwa tumbo moja ila kila mmoja kachukuwa njia tafauti katika kutafuta maisha. Na kwa mtazamo wa haraka Tanzania imefeli vibaya sana katika miaka yote 60 wakati Kenya angarau anapigia hatuwa kwenda mbele japo kuwa kwa mwendo wa ponda.

Tanzania imeshindwa hata kuinuka bado inapiga usigizi wa mtoto mchanga. sasa swali la kujiuliza Tanzania tumekosea wapi na kenya wamepatia wapi? Swali hili nitalijibu simple sana kenya pamoja na makosa mengi lakini kwenye upande wa elimu walipatia kwa kiwango kikubwa.

Mkenya wa darasa la saba anaweza kumzidi marifa mtanzania wa form six. Tanzania elimu yetu ni zero tangu enzi za Nyerere. Yaani elimu yetu sio ya kuelimisha bali ni ya kufaulu mitihani. Ndio maana tuna watu wenye PHD lakini matendo yao na fikira zao ni kama mtu ambaye hajaenda shule kabisa.

Kwa mfano ukiangalia PHD holders wa Tanzania wengi wanafanya kazi za kuteuliwa na watawala kama wa kuu wa mikowa au mawaziri. na ukiangalia performances zao ni ziro. Kwanini? Kwasababu wao kitu mhimu kwao ni cheo sio matokeo. Kwasababu tangu wakiwa mashuleni walifundishwa kufaulu mtihani mwisho wa muhula ndio mhim kuliko kuelewa.
Tatizo sio hilo unalolifikiria, bali ni mchanganyiko wa vitu viwili vya msingi
Pre independence hatukuwa settler colony , hivyo tulikosa ulemwamko wa kimaendeleoa kiurahisi tulikosa exposure,
Post independence Tz kwa kufuata ujamaa iliendeleza ile dhima ya watu kukosa mwamuko au kiu cha kimaendeleo, ilivyokuja Awamu ya pili kwa conservative walikuwa ktk hali ya denial kwa sababu ya mazoe ya muda mrefu kuna wengine hawakuweza kuona hayo mabadiliko au kuyakubali
 
Tanzania na Kenya zilipata uhuru mapema miaka ya 1960s. Leo zinakaribia miaka 60 tangu zipate uhuru.

Nchi hizi mbili ni kama makaka wawili waliozaliwa tumbo moja ila kila mmoja kachukuwa njia tafauti katika kutafuta maisha. Na kwa mtazamo wa haraka Tanzania imefeli vibaya sana katika miaka yote 60 wakati Kenya angarau anapigia hatuwa kwenda mbele japo kuwa kwa mwendo wa ponda.

Tanzania imeshindwa hata kuinuka bado inapiga usigizi wa mtoto mchanga. sasa swali la kujiuliza Tanzania tumekosea wapi na kenya wamepatia wapi? Swali hili nitalijibu simple sana kenya pamoja na makosa mengi lakini kwenye upande wa elimu walipatia kwa kiwango kikubwa.

Mkenya wa darasa la saba anaweza kumzidi marifa mtanzania wa form six. Tanzania elimu yetu ni zero tangu enzi za Nyerere. Yaani elimu yetu sio ya kuelimisha bali ni ya kufaulu mitihani. Ndio maana tuna watu wenye PHD lakini matendo yao na fikira zao ni kama mtu ambaye hajaenda shule kabisa.

Kwa mfano ukiangalia PHD holders wa Tanzania wengi wanafanya kazi za kuteuliwa na watawala kama wa kuu wa mikowa au mawaziri. na ukiangalia performances zao ni ziro. Kwanini? Kwasababu wao kitu mhimu kwao ni cheo sio matokeo. Kwasababu tangu wakiwa mashuleni walifundishwa kufaulu mtihani mwisho wa muhula ndio mhim kuliko kuelewa.
Mkuu,

Uzi wako ni wa swali, lakini cha ajabu umetoa majibu mwenyewe, sasa kwanini ulete kwenye jukwaa la wenye akili kubwa? Uzi wako ulikuwa na sura ya kutaka kujua lakini kwa makusudi umewazuia wajuzi kukuelewesha uelimike.

Mtazamo wako ndio majibu uliyotoa ndio maana hueleweki na ndio maana unaishusha hadhi elimu ya Tanzania ukiwemo wewe kama ulivyojidhihirisha. Your thread is too biased and it does not provide room for brainstorming to streamline on the facts such that where we failed as a country to structure the strategic policies including quality education, industrialization etc we can collectively chip to make a difference for teh current and future generation.

Pili, Kenya ilikuwa chini ya koloni la Uingereza ambapo wazungu waliwekeza na kuweka makazi ya kudumu hivyo kile kilichokuwa kinafanyika au kupatikana kikatengezewa mazingira ya upatikanaji wenye ubora unaowafaa. Nyongeza katika hilo ni kwamba siasa za ubepari na soko huru zimechangia kwa Kenya kuonekana uchumi wake uko imara ukilinganisha na Tanzania ambayo tangu kuasisiwa kwake siasa zake ni za ujmaa na kujitegemea kwamba utajiri wa maliasili zake zinufaishe wote badala ya wenye nacho pekee kama ilivyo kwa Kenya. Hata hivyo, umedai elimu ya Kenya ni bora zaidi sijui umezingatia kitu gani ila kama ni kwa matumizi ya lugha ya kiingereza hapo sawa lakini sio ufahamu wa mambo. Laiti kama mfumo wa elimu aliyoiasisi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere usingebadilishwa na kuathiriwa na soko huru la utoaji elimu basi Tanzania ingeshikilia ngazi ya juu sana maana miaka hiyo, vyuo vilivyokuwa vikitamba kwa kutoa elimu bora afrika, chuo kikuu cha Dar Es Salaam na Makerere Uganda ndio ilikuwa tegemezi sana. Baada ya Tanzania kuanza soko huru kila kitu kiliingiliwa kibiashara badala ya huduma ya maarifa hasa kuanzia miaka ya 1989- hadi sasa.

Ili kukuza elimu ni sharti mfumo wa ubora , ujuzi na maarifa utizamwe upya maana ndipo shida ilipo maana unamkuta kijana kahitimu shahada katika fani tofauti lakini hajui matumizi yake kwa uzalishaji wenye tija, hajui kujieleza kwa ufasaha, hajiamini na sio mbunifu hivyo kushindwa kuthibitisha unauwezo wa kuyatawala mazingira yanayokuzunguka kwa manufaa yako na watu wanaokuzunguka.

Tanzania hakuna sera thabiti na imara ya kitaifa inayohusu elimu maana kila utawala unaoingia madarakani unakuja na mifumo yenye sura za kisiasa kulaghai wananchi.

Taifa linatakiwa likae kwa kujumuisha kada zote (wasomi, wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara, matajiri, masikini, vijana, wazee, jinsia zote) kujadili na kukubaliano mifumo sahihi yenye kutoa elimu kwa watoto ambayo inatija isiyotegemea kusubiri kuajiriiwa na serikali, mashirika ya umma au makampuni makubwa binafsi kwa kuwa siku hizi uendeshaji wa shughuli mbalimbali umerahisishwa na teknolojia hivyo kupunguza uhitaji wa watu wengi.

Ndugu yangu unatakiwa kutoa mchango wa mawazo yenye tija kuboresha utoaji wa elimu bora Tanzania ambayo inamnufaisha mmiliki na anayehudumiwa na msoni huyo. Kudharau cha kwako na kutukuza cha mwingine ni utumwa unaokudumisha kwenye ujinga siku zote.

Mawaziri wa elimu waliosimamia kati ya 1965-1987 walijitahidi ila baada ya hapo soko huru liliharibu sana hadi sasa.
 
Tanzania na Kenya zilipata uhuru mapema miaka ya 1960s. Leo zinakaribia miaka 60 tangu zipate uhuru.

Nchi hizi mbili ni kama makaka wawili waliozaliwa tumbo moja ila kila mmoja kachukuwa njia tafauti katika kutafuta maisha. Na kwa mtazamo wa haraka Tanzania imefeli vibaya sana katika miaka yote 60 wakati Kenya angarau anapigia hatuwa kwenda mbele japo kuwa kwa mwendo wa ponda.

Tanzania imeshindwa hata kuinuka bado inapiga usigizi wa mtoto mchanga. sasa swali la kujiuliza Tanzania tumekosea wapi na kenya wamepatia wapi? Swali hili nitalijibu simple sana kenya pamoja na makosa mengi lakini kwenye upande wa elimu walipatia kwa kiwango kikubwa.

Mkenya wa darasa la saba anaweza kumzidi marifa mtanzania wa form six. Tanzania elimu yetu ni zero tangu enzi za Nyerere. Yaani elimu yetu sio ya kuelimisha bali ni ya kufaulu mitihani. Ndio maana tuna watu wenye PHD lakini matendo yao na fikira zao ni kama mtu ambaye hajaenda shule kabisa.

Kwa mfano ukiangalia PHD holders wa Tanzania wengi wanafanya kazi za kuteuliwa na watawala kama wa kuu wa mikowa au mawaziri. na ukiangalia performances zao ni ziro. Kwanini? Kwasababu wao kitu mhimu kwao ni cheo sio matokeo. Kwasababu tangu wakiwa mashuleni walifundishwa kufaulu mtihani mwisho wa muhula ndio mhim kuliko kuelewa.
Kuna sababu nyingi zilizoleta tofauti kubwa katika nyanza nyingi kati ya Tanzania na Kenya iliyopata Uhuru miaka miwili baada ya sisi. Sababu kubwa kabisa ni elimu iliyoharibiwa toka Awamu ya Kwanza muda mfupi tu baada ya Uhuru katika juhudi ya kuleta elimu nzuri ya Kitanganyika tofauti na ile ya Kikoloni. Elimu hiyo mpya ilikuwa na makosa mengi yaliyoadhiri ubora lakini kosa kubwa kabisa ilikuwa kuondoa kabisa Darasa la Nane ambalo lilikuwa la mwisho Shule za Msingi. Hii ikawa sawa na kubomoa msingi wa nyumba ukaendelea kujenga nyumba ukitegemea itakuwa imara ya kudumu. Kenya nao waliiga mtindo huo lakini waligundua kosa hilo mapema na kurekabisha miaka michache tu baadaye na kurudisha Darasa la Nane hadi leo badala yake waliondoa kabisa Form Six. Wakenya wakaja na mfumo wa 8-4-4 ikiwa na maana ya miaka 8 Msingi, miaka 4 Sekondari na miaka 4 Chuo Kikuu digrii ya kwanza. Hii ina maana Form Five ilihamishiwa Chuo Kikuu kumuandaa mwanafunzi kuingia Chuoni. Huu ndo mfumo uliokuwapo Chuo Kikuu cha Makerere kabla ya Uhuru wa nchi zote tatu za Afrika Mashariki. Zambia wao walifutilia mbali Form Five na Six wakabaki na Form Four tu na wanafunzi wao wanapokelewa vyuo vyote duniani wa kwetu wa Form Six wakikataliwa. Bahati mbaya sana toka Awamu ya Kwanza kila Waziri anayeteuliwa kuongoza Wizara ya Elimu alikuja na mbinu zake za kuboresha elimu lakini amekuwa akimaliza kwa kuharibu zaidi. Matokeo yake sasa hivi kila kiongozi Serikalini, Bungeni na Mahakamani ana PhD ambayo haijulikani ni ya Chuo gani wala fani gani ikileta hisia tofautitofauti juu ya elimu ya viongozi wetu.
 
Lakini imekatiliwa na watz we uoni walipiga Hadi magoti kuomba kura bila wasanii hawajazi jukwaa.Ushindi wamepora kwa bunduki.
Chama kinachobebwa na dola badala ya hoja ya ushawishi utasema vipi kinapendwa na watz.Wanachama wa ccm wengi ni wazee Hawa idadi yao upungua, wanawake kula kulala,na wadangaji wa hili kundi alioni ugumu wa maisha sababu wao ni wa kuletewa shibe.
Mkuu wewe ni mzaliwa au mkazi wa Mkoa wa Kilimanjaro? Nataka mtu ambaye anayaishi mahaba ya chama chao au kuyaona kwa macho.

Sihitaji mchango wa mawazo wa mwenye kuhadithiwa au kufikiria.

Nina sababu kwa kuwa uchaguzi huu mimi nilikuwa Hai na niliishi kijijini kwa Bi Mkubwa, Lyamungo Sinde.
 
Tanzania na Kenya zilipata uhuru mapema miaka ya 1960s. Leo zinakaribia miaka 60 tangu zipate uhuru.

Nchi hizi mbili ni kama makaka wawili waliozaliwa tumbo moja ila kila mmoja kachukuwa njia tafauti katika kutafuta maisha. Na kwa mtazamo wa haraka Tanzania imefeli vibaya sana katika miaka yote 60 wakati Kenya angarau anapigia hatuwa kwenda mbele japo kuwa kwa mwendo wa ponda.

Tanzania imeshindwa hata kuinuka bado inapiga usigizi wa mtoto mchanga. sasa swali la kujiuliza Tanzania tumekosea wapi na kenya wamepatia wapi? Swali hili nitalijibu simple sana kenya pamoja na makosa mengi lakini kwenye upande wa elimu walipatia kwa kiwango kikubwa.

Mkenya wa darasa la saba anaweza kumzidi marifa mtanzania wa form six. Tanzania elimu yetu ni zero tangu enzi za Nyerere. Yaani elimu yetu sio ya kuelimisha bali ni ya kufaulu mitihani. Ndio maana tuna watu wenye PHD lakini matendo yao na fikira zao ni kama mtu ambaye hajaenda shule kabisa.

Kwa mfano ukiangalia PHD holders wa Tanzania wengi wanafanya kazi za kuteuliwa na watawala kama wa kuu wa mikowa au mawaziri. na ukiangalia performances zao ni ziro. Kwanini? Kwasababu wao kitu mhimu kwao ni cheo sio matokeo. Kwasababu tangu wakiwa mashuleni walifundishwa kufaulu mtihani mwisho wa muhula ndio mhim kuliko kuelewa.
Tatizo la tz ni ccm kuna mambo yanatakiwa yabadilishwe...lkn kwakuwa yanawasaidia wao kuibia Nchi hawataki
 
Kenya was British colony while Tanganyika was a prectorate.
Investment center ya Africa Mashariki iliwekwa Kenya.
Lakini vile vile different policies za nchi mbili.
Lakini sio kweli kwamba Kenya wana maisha mazuri kuliko Tanzania. Tembea uone.
 
Inabidi pia ueleze watu Kenya anapatia kwenye nini.

Kenya inaongoza kwa tatizo la ajira ukanda huu
Kenya inaongoza kwa rushwa mbaya ukanda huu
Kenya ina raia wenye maisha duni zaidi ukanda huu
Kenya gharama za maisha ziko juu zaidi, mbali ya kwamba wana uchumi mkubwa wakiwa wachache zaidi yetu
Kenya ina siasa chafu, sisi zina kasoro moja ndogo tu
Ukabila na ukosefu wa umoja wa kitaifa ni tatizo sugu Kenya

Kwa kukutaarifu tu, wana mabaya mengi zaidi kuliko mazuri machache waliyotuzidi, ambayo hata hivyo yanakwenda yakibadirishwa kuwazidi siku si nyingi.

Msiishi kwa stori za mitandaoni, tembeeni.

Hapo sasa ndio utatambua maarifa ya elimu kilichojibiwa ni tafauti na kilichoandikwa kasoro hizo zipo dunia nzima tumezidiwa wapi kiuchumi? Tatizo ni nini?
 
The grass is always greener on the other side!
 
Hapo sasa ndio utatambua maarifa ya elimu kilichojibiwa ni tafauti na kilichoandikwa kasoro hizo zipo dunia nzima tumezidiwa wapi kiuchumi? Tatizo ni nini?

elimu ipi unayoizungumzia!!

hii ya wakoroni inayotambua maendeleo ya nchi kwa kuangalia GDP,isiyokupa nafasi hata kufikiri nje ya hapo!!!
 
Mkuu wewe ni mzaliwa au mkazi wa Mkoa wa Kilimanjaro? Nataka mtu ambaye anayaishi mahaba ya chama chao au kuyaona kwa macho.

Sihitaji mchango wa mawazo wa mwenye kuhadithiwa au kufikiria.

Nina sababu kwa kuwa uchaguzi huu mimi nilikuwa Hai na niliishi kijijini kwa Bi Mkubwa, Lyamungo Sinde.
Ya sabaya ndio yaliyofanyika nchi nzima
 
Tanzania na Kenya zilipata uhuru mapema miaka ya 1960s. Leo zinakaribia miaka 60 tangu zipate uhuru.

Nchi hizi mbili ni kama makaka wawili waliozaliwa tumbo moja ila kila mmoja kachukuwa njia tafauti katika kutafuta maisha. Na kwa mtazamo wa haraka Tanzania imefeli vibaya sana katika miaka yote 60 wakati Kenya angarau anapigia hatuwa kwenda mbele japo kuwa kwa mwendo wa ponda.

Tanzania imeshindwa hata kuinuka bado inapiga usigizi wa mtoto mchanga. sasa swali la kujiuliza Tanzania tumekosea wapi na kenya wamepatia wapi? Swali hili nitalijibu simple sana kenya pamoja na makosa mengi lakini kwenye upande wa elimu walipatia kwa kiwango kikubwa.

Mkenya wa darasa la saba anaweza kumzidi marifa mtanzania wa form six. Tanzania elimu yetu ni zero tangu enzi za Nyerere. Yaani elimu yetu sio ya kuelimisha bali ni ya kufaulu mitihani. Ndio maana tuna watu wenye PHD lakini matendo yao na fikira zao ni kama mtu ambaye hajaenda shule kabisa.

Kwa mfano ukiangalia PHD holders wa Tanzania wengi wanafanya kazi za kuteuliwa na watawala kama wa kuu wa mikowa au mawaziri. na ukiangalia performances zao ni ziro. Kwanini? Kwasababu wao kitu mhimu kwao ni cheo sio matokeo. Kwasababu tangu wakiwa mashuleni walifundishwa kufaulu mtihani mwisho wa muhula ndio mhim kuliko kuelewa.
Na ndiyo maana kwa elimu yao nzuri hiyo ugonjwa wa COVID-19 unawakandamiza vibaya sana kwa sasa.
 
Tatizo ni hiyo akili yako kuweka imani kama hiyo bila ushahidi. Kama wewe ni m-TZ na ulienda shuleni, mawazo kama hayo unayatoa wapi? Uliyefeli ni wewe siyo wa-TZ!
 
Uvivu wa kujielimisha nini kinatokea mataifa mengine yanatunuyima uwepo wa kuchambua yanatokea kwetu, Fuatisha yanayotokea Russia, Greece, Italy,USA, Argentina, Brazil, and host of other countries utagundua siasa ni mchezo mchafu, muhimu kama mshindani umejipanga vipi.

Mshindani hutumia kila mbinu na taratibu za kupata ushindi hata bao la mkono ili matokeo yawe na manufaa kwa mshindani aliye jipanga.

Tutalalamika sana, suali jee tunafanya nini baada ya matokeo. Tunaenda kwa Armterdam atusaidie kupata majawabu ya matatizo yetu?

Na bila uchambuzi wa kina kuhusu nini kimefanyika ushindi kuwa hivi, tutalia lia kama mbwa aliye popolewa mawe bila kuwa na majawabu. CCM ni chama cha siasa kinangia kwenye ushindani ili kipate dola na kufaidi mamlaka.

Tumepewa makombo ya viti 19 ambavyo vitatupa nafasi ya kulipia ofisi Ufipa na kundesha chama bila kukua.
Hata tukikataa million 65 kwa mwezi kwa kutopeleka wabunge, tumejipanga kivipi kukabiliana na ukata ambao kwa sasa hatuna jibu nao?.

Wapiga kelele kwenye mitandao wangeanza kampeni ya kuchangisha pesa kuwalipa makatibu wa kanda na ni shs 18 million tuu kwa mwezi.

We must be forward looking members to forestall more damage to our party which shall come into open just before March next year.

UKILALAMIKA KUUMWA KICHWA UNATAKIWA UWE UNAKIMBILIA HOSPITALI ILI KUEPUKA KIFO KWA KUWAHI MATIBABU.
 
Hakuna sehemu walipoukumbatia ujamaa na mambo yake wakafanikiwa haipo, hata uwezo wa kufikiri na kuhoji kwa watu ambao wanafikra za kijamaa uko chini sana waliostuka mapema walibakiza ujamaa kwenye makaratasi lakini kwenye vitendo waliondoka na ubepari, hua nikimsikiliza profesa wa Tanzania au daktari wa falsafa wa Tanzania anavolilia kuajiriwa na anatoa hoja mfu nabaki nasema ndio maana hata uwezo wa kuhoji kwa watanzania uko chini sana
 
Leo hii wewe mtanzania ukilia umaskini na rasilimali zote tulizonazo kama mkenya akiwa karibu yako anaweza kukurarua vibao
 
Back
Top Bottom