Tanzania tulikosea wapi na Kenya walipatia wapi?

Tanzania tulikosea wapi na Kenya walipatia wapi?

Sababu ziko nyingi moja wapo Ni ccm kugeuka kutoka kuwa chama cha siasa mpaka kuwa chama cha kigaidi mchana kweupe bila aibu wala soni .
 
Oooh Mungu wetu tuhurumie.

Mada kama hizi, mtu anawasilisha hapa na kujisikia anajua jambo analotaka lijadiliwe kwa kina?

Si kama ungetaka kufundishwa ungesema tu uelekezwe wapi pa kwenda ukajifunze?
 
Ulivyo anza mada yako inaonyesha kwamba huijui Tanzania (Tanganyika) kabla ya uhuru na huijui Kenya kabla ya uhuru! Pia hujui Tanganyika na Kenya zilivyopata uhuru. Ukiyajua hayo, hutalinganisha Tanzania na Kenya mpaka unakufa!
 
Kenya ina siasa chafu, sisi zina kasoro moja ndogo tu
Niliunga mkono mengi uliyoorodhesha.

Mwisho ukavuruga kila kitu na hayo maneno niliyo'quote' hapo juu.

Kama unaamini "...siasa zetu zina kasoro moja 'ndogo' tu? Basi inanibidi niseme haupo makini hata kidogo na unayoandika hapa.
 
Tanzania tuna wapenda madaraka CCM na sio wapenda maendeleo ni kuangalia matumbo yao tu

Wako tayari kuua kwa yeyote anayetaka kuhatarisha kula yao na sio maendeleo ya watanzania.

Ccm watakapoondoka madarakani kwa njia yeyote ndipo Tanzania tutapata mafanikio makubwa kuwahi kutokea.

Tuondoe nidhamu ya woga ccm haitufai pamoja na washirika wake wote.
Kama unategemea CCM wataondoka madarakani ni kujidanganya, CCM kwa mfumo ambao umejikita Tanzania tunachoweza kufanya ni: Au wote tubadilike tuwe CCM, Au upinzani tuwameze ili tupate watu wa kutosha kutoka CCM.

Sisi ama ni wakazi ama wazaliwa wa Kilimanjaro tunao mfano halisi wakuuona na tunauishi. Tume wapiga chini miaka 20 lakini mapenzi ya chama chao bado ni ya kufa mtu.

Ukipita uchaguzi utadhani wamekwisha. Wakiamshwa atadhani wamezaliwa jana, kuna elimu tunapata kuhusu mapenzi kwa chama chao .
Ulivyo anza mada yako inaonyesha kwamba huijui Tanzania (Tanganyika) kabla ya uhuru na huijui Kenya kabla ya uhuru! Pia hujui Tanganyika na Kenya zilivyopata uhuru. Ukiyajua hayo, hutalinganisha Tanzania na Kenya mpaka unakufa!
Asante sana kumbe wapo wenye taarifa muhimu na sahihi. Asante.
 
Niliunga mkono mengi uliyoorodhesha.

Mwisho ukavuruga kila kitu na hayo maneno niliyo'quote' hapo juu.

Kama unaamini "...siasa zetu zina kasoro moja 'ndogo' tu? Basi inanibidi niseme haupo makini hata kidogo na unayoandika hapa.

Wewe msimamo wako ni upi???

Zina kasoro ndogo,kubwa au hazina kabisa??
 
Cooked gdp data put them on top. We are endowed with abundance of natural resources and yet they beat us on gdp!!! Don't think so.
 
Walipopatia Kenya ni kutunza magaidi tu wakina Godbless Lema, sidhani kama wana lingine.
 
Inabidi pia ueleze watu Kenya anapatia kwenye nini.

Kenya inaongoza kwa tatizo la ajira ukanda huu
Kenya inaongoza kwa rushwa mbaya ukanda huu
Kenya ina raia wenye maisha duni zaidi ukanda huu
Kenya gharama za maisha ziko juu zaidi, mbali ya kwamba wana uchumi mkubwa wakiwa wachache zaidi yetu
Kenya ina siasa chafu, sisi zina kasoro moja ndogo tu
Ukabila na ukosefu wa umoja wa kitaifa ni tatizo sugu Kenya

Kwa kukutaarifu tu, wana mabaya mengi zaidi kuliko mazuri machache waliyotuzidi, ambayo hata hivyo yanakwenda yakibadirishwa kuwazidi siku si nyingi.

Msiishi kwa stori za mitandaoni, tembeeni.
Mleta mada anajifanya anaijua kenya kumbe hakuna kokote.
 
We punga kweli unaweza ukawa ni jaluo na kujifanya mtanzania we hujui mkolon alitoa Mali hapa akajenga kenya
 
Kenya Waliiba Vyanzo vya Mapato vya Jumuia ya Afrika Mashariki baada ya kuvunjika.

Nchi zilizokuwa wanachama wakati huo ilikuwa ni Tanzania, Uganda na Kenya ; Lakini Kenya Wakatumia lupooo hiyo kujimilikisha Viwanda, Ndege, Nyumba za Mashirika, Reil n.k. na ndivyo vinavyoongeza thamani ya Uchumi wa Kenya.

Kutokana na ujanjaujanja wao walitaka kujimilikisha mpaka utalii na Madini ya Tanzanite kabla ya kujengwa ukuta.

So nchi ya Kenya iko hivyo kutokana na walivhoifanyia EAC
 
mkubali msikubali Tanaznia tatizo lenu kubwa ng'eng'e
 
Naamini unapozungumzia maarifa unamaanisha lugha ya kingereza
 
Kenya Waliiba Vyanzo vya Mapato vya Jumuia ya Afrika Mashariki baada ya kuvunjika.

Nchi zilizokuwa wanachama wakati huo ilikuwa ni Tanzania, Uganda na Kenya ; Lakini Kenya Wakatumia lupooo hiyo kujimilikisha Viwanda, Ndege, Nyumba za Mashirika, Reil n.k. na ndivyo vinavyoongeza thamani ya Uchumi wa Kenya.

Kutokana na ujanjaujanja wao walitaka kujimilikisha mpaka utalii na Madini ya Tanzanite kabla ya kujengwa ukuta.

So nchi ya Kenya iko hivyo kutokana na walivhoifanyia EAC

Sio kweli,mfumo wa ujamaa ndo umetufikisha hapa
 
Umenena vyema, Nchi zilizopata uhuru kwa njia ya vita nyingi ukizichunguza utagundua kuwa hakuna maujingaujinga
Ulivyo anza mada yako inaonyesha kwamba huijui Tanzania (Tanganyika) kabla ya uhuru na huijui Kenya kabla ya uhuru! Pia hujui Tanganyika na Kenya zilivyopata uhuru. Ukiyajua hayo, hutalinganisha Tanzania na Kenya mpaka unakufa!
 
Kama unategemea CCM wataondoka madarakani ni kujidanganya, CCM kwa mfumo ambao umejikita Tanzania tunachoweza kufanya ni: Au wote tubadilike tuwe CCM, Au upinzani tuwameze ili tupate watu wa kutosha kutoka CCM.

Sisi ama ni wakazi ama wazaliwa wa Kilimanjaro tunao mfano halisi wakuuona na tunauishi. Tume wapiga chini miaka 20 lakini mapenzi ya chama chao bado ni ya kufa mtu.

Ukipita uchaguzi utadhani wamekwisha. Wakiamshwa atadhani wamezaliwa jana, kuna elimu tunapata kuhusu mapenzi kwa chama chao .

Asante sana kumbe wapo wenye taarifa muhimu na sahihi. Asante.

Lakini imekatiliwa na watz we uoni walipiga Hadi magoti kuomba kura bila wasanii hawajazi jukwaa.Ushindi wamepora kwa bunduki.
Chama kinachobebwa na dola badala ya hoja ya ushawishi utasema vipi kinapendwa na watz.Wanachama wa ccm wengi ni wazee Hawa idadi yao upungua, wanawake kula kulala,na wadangaji wa hili kundi alioni ugumu wa maisha sababu wao ni wa kuletewa shibe.
 
Kwa mtazamo wangu gap tulipigwa baada ya Uhuru ndipo uchumi ulipodrop sisi tulifata ujamaa sera za kufukarisha watu na kuwafanya wawe wavivu wao waliendelea na mifumo ya kiuchumi walioachiwa na wakoloni ya kufanya kazi
 
Back
Top Bottom