TANZANIA (taifa stars) vs CAMEROON !!!

na lao ndilo hilooo

(GK) Idriss KAMENI 1
Thimothee ATOUBA 3
Rigobert SONG 4
Andre BIKEY 5
Alexandre SONG 6
Modeste MBAMI 7
GEREMI 8
Samuel ETOO 9
Jean MAKOUN 11
Achille WEBO 15
Stephane MBIA 17

tutapona kweliiii???
 
ni aibuu naona majirani zetu uganda wanawachapa wa angola mabao mawili kwa bila jus with first 18 minutes,kenya are leading within first 10 minutes!!!yan its a shame kusema kweli na mpira wetu leo tutaendaaaaaa halafu mwisho tutachapwa kijingaaaa sijui nw tutaambiwaje safari ndo imeanza ama??
 
mlioko bongo tupeni habari basi mpira vipi huoooo??!!tunacheza ama twachezewa ama twaliwa timing kama simba akinyemelea kitoweo???
 
asante Jembajemba, endelea kutuhabarisha Mkuu, tunahamu ya kujua kinachoendelea. Mungu ibariki Taifa stars
 
"duuuh, kila ninapoona post mpya kwenye thread hii haja ndogo inanibana zaidi - na kuogopa kufungua thread!!"
 
"duuuh, kila ninapoona post mpya kwenye thread hii haja ndogo inanibana zaidi - na kuogopa kufungua thread!!"

Usiogope kama haja ndogo inakubana wewe nenda kafanye vitu vyako tu....:) Vijana wamejitahidi maana nilidhani kipindi cha kwanza tutakuwa down 2-0 kama siyo zaidi. Lakini huwa wanapunguza speed yao mara nyingi kipindi cha pili sijui ni kwa sababu ya pumzi ndogo au huwa wanadhani mpira unakaribia kwisha na kusahau kwamba mpira ni dakika 90.
 
dah kumbe tungeweza wafungaaa ehhhh??!!!anyways draw ni nzuri we hav got 2points nw n de leaders arent dat far wana point sita tuu mkumbuke we can qualify kwa kuwa among de best 2nd team kwenye kila group we hav to bana zaidi n funga in de next two games
 
Kijasho chembamba cha ahueni kimenitilirika kusikia bolli limemalizika bila bila.... I hope maneno ya Mtaalam yana ukweli.
 
wenzetu uganda wamewachapa mabao matatu wel waliotutoa sie angola kina tico tico sijui...kenya wana win mbili bila yan its only us
 
asavali, duh ama kweli mak simoo atapumua, bao lingeingia leo kibarua chake kilikuwa hatarini. Wanastahili hongera
 
Back
Top Bottom