TANZANIA (taifa stars) vs CAMEROON !!!

yeah umeisha nasikia na mtalii wetu jk alikuwemo uwanjani ila bado haikusadia kituu!!michzui kaweka habari mpira umeisha...nilikua nafuatilia kila kona kama vile nafuatilia euro final game
 
Sasa cha kujiuliza wanawezaje kutoka sare na moja ya timu nzuri za Afrika yenye wachezaji nyota katika dunia na kufungwa na cape verde? ambayo sijasikia mchezaji wao hata mmoja akitamba katika vilabu vikubwa duniani? Je, wanakawaida ya kuzidharau timu zisizo na majina? Ingekuwa raha sana kwa Watanzania kama wangeshinda leo. Sasa kwa matokeo haya wanaendelea kuwa 'Taifa Stars' au watajulikana kwa 'JK Boys'?....:)
 
Nina haki ya kuipongeza Taifa stars, this is an excellent result, ukizingatia tumetoa draw na Maur na kufungwa na Cape Verde. Duu safi sana kuwazuia akina Etoo, Getap et al...
 
asavali, duh ama kweli mak simoo atapumua, bao lingeingia leo kibarua chake kilikuwa hatarini. Wanastahili hongera
... Mama, huchelewi kuta mak'simoo alikuwa amesha pack masanduku yake tayari kutoroka kama mambo yangeenda kushoto leo.... saa hizi nafikiri anaanza kufikiria jinsi ya kupakua nguo kutoka sandukuni tu na vile vinyago alivyonunua Makumbusho kama zawadi ya kuonja Bongo anafikiria refund atapataje.... lol ;) :)

....hebu ngoja miye nikatafute Chibuku hivi sasa...!!
 
kwi kwi kwiiii, watu weweeee
 
Uganda the Cranes wameonyesha vituko kama vile vya Uholanzi kwa kuwachapa Angola 3 - 1. Taifa stars kazi buti, kumbe mnaweza.
 
Taifa Stars Oyeeeeeeeee! huu ni ushindi nilishapungua kilo 2 nikitegemea tutapata kipigo cha paka mwizi.Maki simo juu!
 
Majirani wetu wote wameshinda kwa unono; Kenya 2 - 0 Zimbabwe, Uganda 3 - 1 Angola, Malawi 1 - 0 Misri, Rwanda 2 - 1 Morocco, can you imagine? Huenda soka limeanzakuhamia ukanda wetu.
 
Majirani wetu wote wameshinda kwa unono; Kenya 2 - 0 Zimbabwe, Uganda 3 - 1 Angola, Malawi 1 - 0 Misri, Rwanda 2 - 1 Morocco, can you imagine? Huenda soka limeanzakuhamia ukanda wetu.

afadhali hata tumepata hiyo droo, kuliko kufungwa. Huu waweza kuwa mwanzo mzuri kubadilisha historia ya soka Afrika. God bless.
 
Majirani wetu wote wameshinda kwa unono; Kenya 2 - 0 Zimbabwe, Uganda 3 - 1 Angola, Malawi 1 - 0 Misri, Rwanda 2 - 1 Morocco, can you imagine? Huenda soka limeanzakuhamia ukanda wetu.
Soon utasikia Ivo Mapunda anakwenda majaribio Man U soak limepanda ati!
 
ngoja tukienda Douala?Younde? wakatufanyie bandika bandua!sisi tumeshindwa kuutumia uenyeji!
 
Nina haki ya kuipongeza Taifa stars, this is an excellent result, ukizingatia tumetoa draw na Maur na kufungwa na Cape Verde. Duu safi sana kuwazuia akina Etoo, Getap et al...

UKISHAONA UNAFURAHIA DROO (HASA YA NYUMBANI) UJUE WEWE NI MAAAMUMA WA MPIRA!!!
 
UKISHAONA UNAFURAHIA DROO (HASA YA NYUMBANI) UJUE WEWE NI MAAAMUMA WA MPIRA!!!

Mkuu, ngoja niongee kama Mkuu FMES kwamba tuseme kwa data, katika msimamo wa viwango vya soka vya FIFA sisi tupo 103 wakati Cameroon wapo ya 13. Katika Historia ya kushinda au kutoka draw na vigogo vya soka barani Afrika ni 1 - 1 (Dar) na Liberia, 1 - 1 (Dar) na Senegal na kuifunga Burknafaso mechi zote mbili.

Kwa dataz hizi tunahaki ya kufurahia draw hata kama tumechezea nyumbani.
 
UKISHAONA UNAFURAHIA DROO (HASA YA NYUMBANI) UJUE WEWE NI MAAAMUMA WA MPIRA!!!

aliekwambia sisi maimamu nani na lini hasa sisi tulisema tushakuwa maimamu?

kwa kweli kushindana na maimamu na kutoka draw nifahari sana

hongera JK boys nnaona mkuu leo ametia timu kukupeni uzito na mmeonesha kuwa mnajali vijana ningekuw a zenji ningekualikeni pale kiwengwa beach resort tukala madafu pamoja
 
Ndiyo taifa star wametoka sare ya bila kufungana je haya ni matokeo mazuri?

nop not at ol...ingekua ni mechi moja yatufikisha mbali yah yangekua matokeo mazuri kutoa draw na cameroon who are far away from us interms of ranking za fifa!!but as alivyouliza mmoja wetu iweje tuweze toka draw na timu kama cameroon senegal sijui na kadhaa wa kadhaaa alafu twafungwa na timu kama cape verde???

still we are very butu interms of magoli hatufungi magoli we jus tegemea draw au tubahatike kufunga kamoja tu!!we should change our tactics n kuplay more of attacking football bila kujisahau nyuma!!!

sio mbele wahangaikeee halafu nyuma waachie tuuuu
 
Back
Top Bottom