gekaboy
Member
- Nov 27, 2021
- 49
- 103
Toka najitambua kweny soccer bara la ulaya timu za taifa ninazo zisikia ni France, Spain, Italy, Belgium, Portugal, england, Wales, Czech republic, German, Croatia uholanzi , na zingne ila mara nyingi ni hizi hizi aga zinajirudi
Ukienda American kusini, Brazil, Argentina, Colombia, Peru, Ecuador, Chile na zingne
Sawa na mabara mengne mara nyingi nchi zinakuwa zile zile lkn kiuhalisia yapo mataifa mengi lkn why nchi zinakuwa zile zile ndio zinafanya vzr means mpira nje ya kuweka misingi mizuri ya kuwezesha kupata wachezaji Bora
Lkn pia mpira ni nature ya sehemu husika kuna mataifa Yana nature hiyo ndio maan wahindi hata wajenge uwanja kila nyumba ila mpira sio asili Yao wanalazimisha tu Ndio maan hata hapa Tanzania kuna mikoa ni ngumu kukuta mchezaj mkubwa anatoka huko Nahisi kama taifa tungetafuta sisi kwa asili tunaweza nn Ili tujikite uko ila mpira tutaendelea kudanganyana kila siku inshallah tukutane awamu nyngn tutafny vzr
NB: Watanzania tujikite kweny ukocha maan hii nchi kila mtu anajua kuliko hat walimu wenyew wanaokaa na wachezaji nahisi kwny hiyo nyanja tutazalisha akina pep gerdiola na jurgen klopp wakutosha