Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,957
Tanzania tumebarikiwa Mungu ametupa ila kitu isipokuwa akili tu ya kutumia vitu hivyo vizuri tuna madini ya kila aina dhahabu, almasi, makaa ya mawe ,graphite, ruby ,tanzanite n.k
Mbuga za wanyama nzuri yenye kuvutia milima mizuri kma kilimanjaro maziwa na bahari nzuri lkn hivo vitu vyote bado tanzania ni nchi masikini how??
Viongozi wachumia tumbo wapigaji wanaiharibu nchi yetu
Ufisadi wakufa mtu anamiliki madola ndani inatia kichefuchefu