Itapendeza zaidi SIMBA SC nae akitinga robo fainali, itakua kivutio kwa wachezaji wa kimataifa kutaka kuja kukipiga NBC PL

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,646
9,227
Endapo simba atatinga robo fainali TANZANIA ndio itakua nchi pekee yenye timu mbili kwenye michuano ya CAFCL, Hii itatengeneza atention ktk michuano watataka kujua kunanini huko NBC PL? itatoa tafsiri kwamba ligi ya bongo ni ngumu na ni bora zaidi, lakini ukweli tunaujua sisi na viwanja vyetu vya CCM liti na gen isamulyo. south africa timu moja, Ghana no team, IVORY COAST timu moja, MOROCCO no team, ALGERIA no team, EGYPT 1 team, Tunisia 1 team , TANZANIA 2 team hapo mbona itakua poa sana yaani tuta raise maswali ya why? Kwenye vichwa vya waafrika wote wapenda soka. Hata akina PACOME na AZIZ KI hawatataka kuondoka BONGO.
 
Makolo wafungwe tu...tena wafungwe hasaa na galaxy...UZALENDO WAACHIENI WANAJESHI
 
Kwa mdomo huu wafungwe tu
IMG_20240226_174713.jpg
 
Hakuna kuombeana mema hapa, wapigwe tu uzalendo ni kwa timu ya taifa tu.
 
Utopolo majuha wengi sana... hivi Simba kuingia robo fainali ni suala la mijadala? mjadala wa kuingia robo fainali uliwahusu utopolo na sio simba
 
Back
Top Bottom