Rais Samia usisahau Kutwiti kuwapongeza Mashabiki wa Simba SC kwa Heshima Kubwa walioipa Tanzania yako

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
Baada ya Mashindano mapya na yenye Heshima Kubwa sana Barani Afrika ya African Football League (AFL) Kumalizika leo hatimaye Mashabiki wa Simba SC wametwaa Tuzo ya Kipekee ya kuwa ndiyo Mashabiki Bora na wenye Mvuto Bara zima la Afrika.

Wito wangu GENTAMYCINE kwa Mashabiki Wengine Barani Afrika ni kwamba wasiwe wanaishia tu Kufakamia Supu za Ng'ombe wenye Utapiamlo au Kushangilia Ushindi mnono (na wa Kubahatisha) utokanao na Ushirikina na Kuhonga Wachezaji Waandamizi wa Timu pinzani.

Hongereni mno Mashabiki wa Simba Sports Club (SSC) hakika hii ni Heshima Kubwa Kwenu na kwa Tanzania kama nchi.

Pia soma: Shirikisho la mpira Africa (CAF) limeizawadia Simba sc tuzo ya Mashabiki Bora katika michuano ya African football league
 
Tutakuwa na Rais wa hovyoo Kama ataanza kusifia vitu vya kijinga kwa timu iliyofeli!, Hizo tuzo hutolewa kwa timu zilizofeli katika mashindano!. Umewahi kuona anayeongoza darasani anapata tuzo ya "USAFI".
Nimestaajabu leo kuona wachezaji wa Wydad hawajashangilia kuvaa medali ya mshindi wa pili kama wale jamaa wa pale Mafurikoni.

Wydad walikuwa wanataka kufikisha ujumbe gani:kwamba kuvaa medali ya mshindi wa pili si jambo la kukufanya uvimbe? Kwamba jambo kubwa ni kubeba taji na siyo kuwa mshindi wa pili?
 
We ni juha... Kama mshindi wa pili kawa hivyo nyie madundukwa mnaokomea robo fainali mmefikishiwa ujumbe gani?. Kufika robo mlishakuwa timu kubwa jinga sio?. Au Kenya hakuna timu?, Si ushangilie hata Shabani fc!!
 
Vibudu Fc wanakuja
Bado hawajameza supu....

Ila Genta kueleweka ni kazi sana...uko kama kinyonga..
 
🤣 🤣 🤣 🤣 wydad wanasema bora uishie robo...kuliko kuishia wa pili....ni machungu makubwa kupokea kamba tuu ..
 
Tutakuwa na Rais wa hovyoo Kama ataanza kusifia vitu vya kijinga kwa timu iliyofeli!, Hizo tuzo hutolewa kwa timu zilizofeli katika mashindano!. Umewahi kuona anayeongoza darasani anapata tuzo ya "USAFI".
Aahaaaa

Kweli aiseee

Sijui taaluma,sijui nidhamu
 
Nimestaajabu leo kuona wachezaji wa Wydad hawajashangilia kuvaa medali ya mshindi wa pili kama wale jamaa wa pale Mafurikoni.

Wydad walikuwa wanataka kufikisha ujumbe gani:kwamba kuvaa medali ya mshindi wa pili si jambo la kukufanya uvimbe? Kwamba jambo kubwa ni kubeba taji na siyo kuwa mshindi wa pili?
Tafuteni na nyie

Vipi na wale waliopost na kushangilia tuzo ya ushangiliaji bora tunawaelezaje

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom