Tanzania said nothing about Trump election!

Tanzania said nothing about Trump election!

Besides attempts on Fidel Castro, the CIA has been accused of involvements in the assassination of such foreign leaders as Rafael Trujillo, Patrice Lumumba.

imhotep,
Besides of attempts on Tundu Lissu the TISS has been accused of involvement in the assassination of such opposition leaders like Ben Saanane, Alphonce Mawazo, etc.
 
CIA sio usalama wa taifa ni Majasusi hatari kabisa.
 
Hivi jirani yako akifanya ujinga ukakaa kimya je hiyo inahalalisha yeye kukunyamazia siku na wewe ukifanya ujinga??!!
Nauliza tu.
 
Point yangu iko palepale kama wao ni wauwaji kwanini watuingilie kwenye BUYUNGU yetu.

Point yako ni dhaifu sana kuliko supu iliyopikwa kutokana na kuku aliyekufa kwa kideri!!!, Mbona Mmarekani akiwaletea misaada na kuwatengenezea Dreamliner munashangilia? CCM mtakuwa na matatizo makubwa kichwani!! Kumbuka misaada ya kifedha anayotoa Mmarekani mingine inakwenda kusaidia kuimarisha DEMOKRASIA hapa Tanzania......Kwa hiyo mmarekani lazima ahoji kwanini fedha yake inatumika kunyanyasa na kudhalilisha wapinzani??Hiyo ndiyo hoja zingine ni porojo tu!!
 
Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs by-election?


This is stupidity of all time.!!!

"In December 2013, the Pew Research Center reported that their newest poll, "American's Place in the World 2013," had revealed that 52 percent of respondents in the national poll said that the United States "should mind its own business internationally and let other countries get along the best they can on their own."[39] This was the most people to answer that question this way in the history of the question, one which pollsters began asking in 1964.[40] Only about a third of respondents felt this way a decade ago.[40]"
Hii ndiyo justificstion ya serikali ya CCM kubaka demokrasia???

Alafu hichi kisukuma ulichoandika hakieleweki, speak English please.
 
Hata baada ya Comredi Guavara "che"kuja kusaidia mapambano baada ya mauaji ya Lumumba nae wakamuwinda na kumuua.
downloadfile-9.jpg
 
Kuna bomu lilipigwa Kanisani Arusha sikusikia ubalozi wa Marekani ukitoa tamko

Unaongea nini kaka? Maana hoja yako haieleweki. Acha kupoteza muda wako kwa kutetea uovu kisa unafaidika na utawala uliopo.
 
CIA sio usalama wa taifa ni Majasusi hatari kabisa.

Kwa hiyo unataka kusema na TISS ni majasusi hatari kabisa Tanzania na siyo Usalama wa Taifa?
Soma majukumu ya CIA ndipo ujue nini wanachofanya kwa ajli ya Usalama wa Taifa la Marekani.
Kwa faida yako na wenzako wenye akili kama zako chukueni hii:
:
1534499999205.png



The Central Intelligence Agency (CIA) is a civilian foreign intelligence service of the United States federal government, tasked with gathering, processing, and analyzing national security information from around the world, primarily through the use of human intelligence (HUMINT).
 
Siku zote mwenye mbwa ndio anaongea.

Usisahau USA ndio wanatulisha, kutupatia hela za misaada na mikopo. Ufadhili wa madawa, na mambo kama hayo.

Tanzania haijawahi kuisaidia USA msaada wowote hata wa unga wa muhogo debe moja.
Na wewe una matatizo
 
Acheni ujinga nyie na kingereza cha ugoko
Marekani wanapigana vita toka vita ya 2 ya Dunia
Wanapindua serikali zinazowazingua
Wanaweka vikwazo vya kiuchumi yeyote wamtakaye
Nyie endeleeni tu
Marekani sio CHADEMA
Msituingize kwenye vita na taifa ambalo huwa linafanya litakavyo kwa ujinga na uroho wa madaraka.

Hii nini sasa
 
Jingalao, ukitaka kuwa huru jitegemee vinginevyo utasimamiwa tu na anayekusaidia shida sisi tunawategemea Haya Mataifa makubwa ndo maana unaona tulipofika
 
Back
Top Bottom