Tanzania said nothing about Trump election!

Tanzania said nothing about Trump election!

Hela wanazotupatia ni sehemu ya rasilimali yetu waliyotuibia kupitia mfumo mbovu wa biashara duniani: mazao yetu , watu wetu kupelekwa kwao watumwa k.m. negros, siasa kandamizi n.k. Hata hivyo, misaada wanayoleta wanafaidi zaidi wao kupitia ajira kwa watu wao na riba ya mikono hiyo. Hivyo hakuna 7bu ya kuwa wanyonge kiasi cha kuruhusu ushenzi wao huo wa kuinglia mambo yetu bila kufuata taratibu zilizopo. Wake up!


Hayo yote unayoyasema yanawezakuwa na ukweli. Lakini bado ujinga wetu wa kuwategemea unaendelea.
 
Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs by-election?


This is stupidity of all time.!!!

"In December 2013, the Pew Research Center reported that their newest poll, "American's Place in the World 2013," had revealed that 52 percent of respondents in the national poll said that the United States "should mind its own business internationally and let other countries get along the best they can on their own."[39] This was the most people to answer that question this way in the history of the question, one which pollsters began asking in 1964.[40] Only about a third of respondents felt this way a decade ago.[40]"
VP kama wangesifia Kwa uchaguzi ulikuwa haki na sawa?Mngewaambia hayo?
Nakumbuka Zanzibar uchaguzi wa awali walisema ulikuwa haki na sawa,mkawashambulia kisa tu Maalim seif alishinda
 
Siku zote mwenye mbwa ndio anaongea.

Usisahau USA ndio wanatulisha, kutupatia hela za misaada na mikopo. Ufadhili wa madawa, na mambo kama hayo.

Tanzania haijawahi kuisaidia USA msaada wowote hata wa unga wa muhogo debe moja.
Kwa hiyo sisi ni mbwa sio?
 
VP kama wangesifia Kwa uchaguzi ulikuwa haki na sawa?Mngewaambia hayo?
Nakumbuka Zanzibar uchaguzi wa awali walisema ulikuwa haki na sawa,mkawashambulia kisa tu Maalim seif alishinda

Sikiliza haya maelezo ya CHADEMA kutoka Tarime kuhusu wizi wa kura uliofanywa na CCM huko Turwa. Hakuna NEC hapo ni usanii mtupu.
 
Tunaongelea ukusoaji kwenye uchaguzi ilihali hata tathmini ya ripoti ya uchaguzi mdogo haijatolewa na NEC
tunaongelea kuwepo kwa kasoro za uchaguzi ambazo zinaonekana kwa macho. mwaka 2015 jecha alifuta uchaguzi ule halali kabisa bila kushauriana wala kungoja ripoti ya tume unakumbuka? wewe ulimlaumu jecha au ulimsifia? mwaka 1998 baraza la wazir kapuya alifuta mitihani iliyokuwa ikirndelea mote nchini ile ya form four bila kusubir ripoti ya baraza . kwann kwa sababu ilibainika hata kwa wajinga kama wewe kuwa mitihani ile ilivuja. wewe unataka kila kitu kisubiri tume ndio kiwe halali? mbona kwenye makinikia hukudai tume za wale maprf kwanza kabla ya kukamata mchanga?
 
Kila mtu afuate mambo yake
 
Back
Top Bottom