Tanzania said nothing about Trump election!

Tanzania said nothing about Trump election!

Wakati wa Mkapa CUF na NCCR ililalamika eti hakuna demokrasia...
Wakati wa Kikwete Chadema ikaendelea kulialia eti hamna demokrasia na Rais ni dhaifu...wakati huu mnalalamika eti mnanyimwa haki...
Acheni utoto wa kujificha kwenye kichaka cha neno "demokrasia"
eleweni kuwa hata hao mnawatumia video clips na picha ili watoe matamko hawana hiyo demokrasia mnayoitaka.
Ukiona jamii imekaa kimya haina tena tatizo la kuzungumza ujue hiyo jamii imeshaondoka duniani iko peponi.
Hata Wakina mama wanajua ukiona mtoto amezaliwa akawa kimya bila kulia ujue ameshaondoka duniani anafurahia raha za ahera.

Wapinzani sana haki sana ya kulilia demokrasia kwa maana wapinzani ni watanzania kama walivyo wale wa CCM.
Wanapenda kutendewa haki kama CCM wanavyopenda kutendewa.

Hivi itakuaje akitokea siku Mkurugenzi anabadilisha matokeo ya Mbunge wa Jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM aliyeshinda kwa 80% na kumtangaza wa TLP kuwa ameshinda halafu Polisi waingilie kati kuwasainisha wasimamizi wa CCM wakubaliane na uasi huo kwa jamii?
Je, huyo Mkurugenzi ataendelea kukalia kiti mana ameamua kuwa yaye sio neutral Bali ni TLP kindakindaki?

Fikiri vizuri halafu ujue hasa nini maana ya demokrasia wakati wa uchaguzi na umuhimu wa kufuata sheria kwa wote.

Wapinzani wanalilia kuwa demokrasia ionekane hasa kwenye sanduku la Kura.

Mwaka 2005 Tume ya uchaguzi chini ya Rais Mkapa walisimamia Uchaguzi vizuri pamoja na dosari ndogo ndogo. Nakumbuka wapinzani walimpongeza Kikwete na hata kumkumbatia baada ya kupata ushindi.
...Kwa nini ishindikane sasa. Jibu ni rahisi kuna waroho wa madaraka wamevamia CCM. Na wakati huu wa njaa Kali ya pesa na ukosefu wa ajira kila MTU anapigania madaraka yake kwa namna yoyote.

Hata wapinzani kama Mbowe, anang'ang'ania uenyekiti sio kwa sababu ya kukijenga chama la hasha anaona nje ya Madaraka atapata tabu sana mana wamemfilisi vya kutosha na wakati huo huo ana madeni na biashara zainayumba.
 
Liberia is a country in West Africa which was founded, established, colonized, and controlled by citizens of the United States and ex-Caribbean slaves as a colony for former African American slaves and their free black descendants.
 
Cia imemuua Lumumba,Mondlane,Kwame,Abdelnaser,Machel,Sankara, hawa ni baadhi tu ya wazee wetu.

Hizo data za kupikwa sijui umezitoa wapi.
Hao unaowataja wameuawa na Serikali zao zilizokua na sheria za Kikoloni kama ilivyo leo wapinzani wanavyouawa ,kuteswa na kutekwa kwenye nchi za kaifrika kwa mbinu zile zile na sheria zile zile za Wakoloni na Maadui.

Lakini kuna mambo tunayakwepa kuyataja kwa wazi mana yalishatokea.
....Ni hivi wakoloni wote tangu wale wa zamani wazungu na wakoloni waafrika wa leo ,mbinu yao ni moja , hawawezi kumruhusu mpinzani wa kweli na mpigania demokrasia wa kweli kushika madaraka.

Lumumba alikua mpigania haki wa kweli ,hakuwa kibaraka wa wakoloni na Serikali yao.

Wazungu wangekua wabaya saaaaana wasingetupa Uhuru mezani vinginevyo labda uniambie kuwa walitupa kwa sababu tulikubali kuifanya TANU na hatimaye CCM kuwa kibaraka wao.

Ukiwa kwenye nyumba ya vioo usirushie watu mawe.
 
Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs by-election?


This is stupidity of all time.!!!

"In December 2013, the Pew Research Center reported that their newest poll, "American's Place in the World 2013," had revealed that 52 percent of respondents in the national poll said that the United States "should mind its own business internationally and let other countries get along the best they can on their own."[39] This was the most people to answer that question this way in the history of the question, one which pollsters began asking in 1964.[40] Only about a third of respondents felt this way a decade ago.[40]"

About this content
Georges Nzongola-Ntalaja
Mon 17 Jan 2011 10.39 GMTFirst published on Mon 17 Jan 2011 10.39 GMT
Shares
68,091
Comments
30

patrice-lumumba-007.jpg

Patrice Lumumba became the first prime minister of the Democratic Republic of the Congo in 1960, and was killed in 1961. Photograph:
Patrice Lumumba, the first legally elected prime minister of the Democratic Republic of the Congo (DRC), was assassinated 50 years ago today, on 17 January, 1961. This heinous crime was a culmination of two inter-related assassination plots by American and Belgian governments, which used Congolese accomplices and a Belgian execution squad to carry out the deed.
Ludo De Witte, the Belgian author of the best book on this crime, qualifies it as "the most important assassination of the 20th century". The assassination's historical importance lies in a multitude of factors, the most pertinent being the global context in which it took place, its impact on Congolese politics since then and Lumumba's overall legacy as a nationalist leader.


Wakati Patrice Lumumba anauawa Congo ilikuwa ni koloni la Wabelgiji. Mmarekani alishirikiana na Wabelgiji kwa interest zake za Raslimali kubwa ya madini katika Kongo na siyo kama mkoloni. Hivo waliomuua ni Wakongo wenzake wakitumiwa na Mbelgiji kama ambavyo leo CCM inaweza kuwaua wapinzani kwa interest zao na mabwana zao!!!
 
The report of 2001 by the Belgian Commission mentions that there had been previous U.S. and Belgian plots to kill Lumumba. Among them was a Central Intelligence Agency-sponsored attempt to poison him, which came on orders from U.S. President Dwight D. Eisenhower.[91] CIA chemist Sidney Gottlieb, a key person in this plan, devised a poison resembling toothpaste. In September 1960, Gottlieb brought a vial of the poison to the Congo with plans to place it on Lumumba's toothbrush.[92][93][94] However, the plot was later abandoned; allegedly because the CIA Station Chief for the Congo, Larry Devlin, refused permission.[93][95]

As Kalb points out in her book, Congo Cables,the record shows that many communications by Devlin at the time urged elimination of Lumumba.[96] Also, the CIA station chief helped to direct the search to capture Lumumba for his transfer to his enemies in Katanga; Devlin was involved in arranging Lumumba's transfer to Katanga;[97] and the CIA base chief in Elizabethville was in direct touch with the killers the night Lumumba was killed. John Stockwell wrote in 1978 that a CIA agent had the body in the trunk of his car in order to try to get rid of it.[98][need quotation to verify] Stockwell, who knew Devlin well, felt Devlin knew more than anyone else about the murder.[99]

The inauguration of John F. Kennedy in January 1961 caused fear among Mobutu's faction and within the CIA that the incoming administration would shift its favor to the imprisoned Lumumba.[100] While awaiting his presidential inauguration, Kennedy had come to believe that Lumumba should be released from custody, though not be allowed to return to power.[58] Lumumba was killed three days before Kennedy's inauguration on 20 January, though Kennedy would not learn of the killing until 13 February.[101]
 
Siyo hayo tu yako mengi. Wahega waliposema USITUKANE MAMBA KABLA YA KUVUKA MTO hawakuwa wajinga ....Kuna hili la kuweka order ya kutengenezewa Dreamliner....Mmarekani ndiyo anayetutengezea kuonyesha tu kwamba nyie kama Tanzania tunawategemea Wamerekani kwa kiiiila kitu...!! Hivi Marekani wakiammua waweke intelligence devices za kuwa zinapeleka siri zote za Tanzania mna ubavu wa kudhibiti hiyo hali..?

Halafu Kuna jamaa anasema kuwa kuna watanzania wanaoishi marekani watakija kujenga Chuo kikubwa Cha VETA kusini mwa jangwa la sahara.
Tungeomba nao kupitia balozi za Marekani wafuatiliwe vyanzo vyao vya fedha Kule Marekani mana machale yananicheza kama vile kuna kamchezo hapo .
Manunuzi makubwa ya mabilioni kwa wenzetu wanatoa katenesi pacementi. Sasa huenda watu waliambiwa huo mzigo mpe/wape akina fulani (ambaye/ambao ni Mtanzania wanaoishi huko) .Sasa wanataka wawaletee wenyewe mashiko wao kwa mbinu hiyo ya kuzitakatisha na kutuzuga kuwa watanzania waishio Marekani wamehamasika sana.

Kama tunapenda kusifiwa tuwe tayari pia kukosolewa .Alimradi tunakosoa kwa busara na kwa kuheshimu umri ,madaraka na utu wa MTU.
 
Mmarekani
Naona karibia unaingia kwenye 18 yangu tena.CIA ndio wauaji wetu turudi kwenye hoja, je wamarekani kama wao ndio kazi yao kuua kupindua kwenda kinyume na Popular goverments kwanini walielie kuhusu Buyungu?!.
 
Tanzania said nothing about the US elections because the man at the top can not even construct a grammatical error free english statement
 
Naona karibia unaingia kwenye 18 yangu tena.

Wewe uko kwenye 12 zangu na huchomoki lazima upigwe bao tu. Lazima ujue kuwa unaposoma kitu kuna kuelewa na kukariri, tatizo lako UMEKARIRI!!!Nimeshasema Marekani hajawahi kuwa na koloni Afrika baali anachofanya ni kusaidia kuimarisha nchi za Afrika Kiuchumi, Kisiasa na Kiulinzi. Ndiyo maana amewauzia Bombadier kwa maslahi yake ya Kiuchumi, lakini pia anapoona unaanza kuvuruga Amani ya nchi husika inatishia maslahi yake Kiuchumi na ndiyo maana LAZIMA AKUKOROMEE ILI UKAE sawa asije akapoteza biashara na wewe maana anajua AMANI ya nchi ikipotea atafanya biashara na nani? Yeye haangalii nani anatawala nchi ya Tanzania whether CCM or CHADEMA he don't care, anachotaka ni kuona UTAWALA WA HAKI, SHERIA na KATIBA ukizingatiwa ili Marekani iendelee kunufaika kiuchumi...upo hapo?
 
Hivi umeingia lini JF?Wanaopotosha ukweli wanajulikana ...na walikuwa wakifanya hivyo in past 10 years toka enzi za JK mlifanya upotoshaji kwa manufaa ya kujenga chama chenu.

Hivi ww jingalao unadhani unaongea na watoto au watu walioko nje ya nchi? Huu upuuzi wote unaofanyika tunauona na wanaoufanya tunawafahamu na nafasi zao kiutawala na anayewapa amri anafahamika. Ukiona watu wamenyamaza kwa kuhofia usalama wao haimaanishi hawaujui ukweli. Fanyeni ukatili huku mkitumia vyombo vya dola mkidhani watu hawafahamu au kuuona ukweli. Poteza muda wako kutetea uovu ulio wazi kwa hoja dhaifu za sijui kujenga chama chenu toka enzi za JK.
 
Wewe uko kwenye 12 zangu na huchomoki lazima upigwe bao tu. Lazima ujue kuwa unaposoma kitu kuna kuelewa na kukariri, tatizo lako UMEKARIRI!!!Nimeshasema Marekani hajawahi kuwa na koloni Afrika baali anachofanya ni kusaidia kuimarisha nchi za Afrika Kiuchumi, Kisiasa na Kiulinzi. Ndiyo maana amewauzia Bombadier kwa maslahi yake ya Kiuchumi, lakini pia anapoona unaanza kuvuruga Amani ya nchi husika inatishia maslahi yake Kiuchumi na ndiyo maana LAZIMA AKUKOROMEE ILI UKAE sawa asije akapoteza biashara na wewe maana anajua AMANI ya nchi ikipotea atafanya biashara na nani? Yeye haangalii nani anatawala nchi ya Tanzania whether CCM or CHADEMA he don't care, anachotaka ni kuona UTAWALA WA HAKI, SHERIA na KATIBA ukizingatiwa ili Marekani iendelee kunufaika kiuchumi...upo hapo?
Nimekupa kichapo mpaka umesahau paragraph..hahahaaa!..mayo nene!
 
Wewe uko kwenye 12

Four more ways the CIA has meddled in Africa

17 May 2016

Share this with Facebook Share this with WhatsApp Share this with Messenger Share this with Twitter Share

Image copyrightAFPImage captionNelson Mandela was imprisoned in 1962 and later convicted of trying to violently overthrow the government

The US Central Intelligence Agency (CIA) has a long history of involvement in African affairs, so Sunday's reports that the 1962 arrest of Nelson Mandela came following a CIA tip-off don't come as a huge surprise.

Most incidents came during the Cold War, when the US and the Soviet Union battled for influence across the continent.

CIA covert operations are by their very nature hard to prove definitively. But research into the agency's work, as well as revelations by former CIA employees, has thrown up several cases where the agency tried to influence events.

Here are four examples:

1) 1961 - Patrice Lumumba's assassination in CongoImage copyrightAFP

Patrice Lumumba became the first prime minister of the newly-independent Congo in 1960, but he lasted just a few months in the job before he was overthrown and assassinated in January 1961.

In 2002, former colonial power Belgium admitted responsibility for its part in the killing, however, the US has never explained its role despite long-held suspicions.

US President Dwight D Eisenhower, concerned about communism, was worried about Congo following a similar path to Cuba.

According to a source quoted in Death in the Congo, a book about the assassination, President Eisenhower gave "an order for the assassination of Lumumba. There was no discussion; the [National Security Council] meeting simply moved on".

However, a CIA plan to lace Lumumba's toothpaste with poison was never carried out, Lawrence Devlin, who was a station chief in Congo at the time, told the BBC in 2000.

A survey of declassified US government documents from the era notes that the CIA "initially focussed on removing Lumumba, not only through assassination if necessary but also with an array of non-lethal undertakings".

While there is no doubt the CIA wanted him dead, the survey does not indicate direct US involvement in his eventual killing.

2) 1965 - Overthrow of Kwame Nkrumah in GhanaImage copyrightEVENING STANDARD

Ghana's first President Kwame Nkrumah was overthrown in a military coup in 1966 while he was out of the country.

He later suspected that the US had a role in his downfall and in a 1978 book, former CIA intelligence officer John Stockwell backed this theory up.

In In Search of Enemies he writes that an official sanction for the coup does not appear in CIA documents, but he writes "the Accra station was nevertheless encouraged by headquarters to maintain contact with dissidents.

"It was given a generous budget, and maintained intimate contact with the plotters as a coup was hatched."

He says that the CIA in Ghana got more involved and its operatives were given "unofficial credit for the eventual coup".

A declassified US government document does show awareness of a plot to overthrow the president, but does not indicate any official backing.

Another declassified document written after the coup describes Nkrumah's fall as a "fortuitous windfall. Nkrumah was doing more to undermine our interests than any other black African".

3) 1970s - Opposition to the MPLA in AngolaImage copyrightAFP

In Angola three competing groups fought for control after independence from Portugal in 1975, with the MPLA under Agostinho Neto taking over the capital Luanda.

Mr Stockwell, chief of CIA's covert operations in Angola in 1975, writes that Washington decided to oppose the MPLA, as it was seen as closer to the Soviet Union, and support the FNLA and Unita instead, even though all three had help from communist countries.

The CIA then helped secretly import weapons, including 30,000 rifles, through Kinshasa in neighbouring Zaire, now known as the Democratic Republic of Congo, Mr Stockwell says in a video documentary.

He adds that CIA officers also trained fighters for armed combat.

A declassified US government documentdetailing a discussion between the head of the CIA, the secretary of state and others indicates the support the CIA gave to the forces fighting the MPLA.

The US continued to support Unita through much of the civil war as Cuba was backing the MPLA.

4) 1982 - Supporting Hissene Habre in ChadImage copyrightAFP

Hissene Habre failed in his attempt to take power by force in Chad in 1980.

But his efforts led President Goukouni Oueddei to call on help from the Libyan leader Muammar Gaddafi, whose soldiers successfully beat back Habre's challenge and forced him into exile.

A proposed alliance between Libya and Chad began to unsettle the US especially as Gaddafi began to be seen as a supporter of anti-US activities.

In Foreign Policy magazine Michael Bronner writes that the CIA director, with the secretary of state, "coalesced around the idea of launching a covert war in partnership with Habre".

It is alleged that the US then backed Habre's overthrow of the president in 1982 and then supported him throughout his brutal rule.

Share this story About sharingEmailFacebookMessengerTwitterPinterestWhatsAppLinkedIn

More on this story

Nelson Mandela: CIA tip-off led to 1962 Durban arrest

15 May 2016

Lumumba's son hails Belgian apology

6 February 2002

Profile: Chad's Hissene Habre

30 May 2016

Around the BBC

Transcript of 'Who killed Lumumba?'

Africa

LIVE Africa Live: Wanted DR Congo politician scorns arrest warrant

From the sectionAfrica

Full article Africa Live: Wanted DR Congo politician scorns arrest warrant
 
Wewe uko kwenye 12 zangu na huchomoki lazima upigwe bao tu. Lazima ujue kuwa unaposoma kitu kuna kuelewa na kukariri, tatizo lako UMEKARIRI!!!Nimeshasema Marekani hajawahi kuwa na koloni Afrika baali anachofanya ni kusaidia kuimarisha nchi za Afrika Kiuchumi, Kisiasa na Kiulinzi. Ndiyo maana amewauzia Bombadier kwa maslahi yake ya Kiuchumi, lakini pia anapoona unaanza kuvuruga Amani ya nchi husika inatishia maslahi yake Kiuchumi na ndiyo maana LAZIMA AKUKOROMEE ILI UKAE sawa asije akapoteza biashara na wewe maana anajua AMANI ya nchi ikipotea atafanya biashara na nani? Yeye haangalii nani anatawala nchi ya Tanzania whether CCM or CHADEMA he don't care, anachotaka ni kuona UTAWALA WA HAKI, SHERIA na KATIBA ukizingatiwa ili Marekani iendelee kunufaika kiuchumi...upo hapo?
Serikali ya Magufuli haipo na haijawekwa kulinda maslahi ya uchumi wa Marekani
 
Marekani ndio taifa la kwanza kwa kuua ndugu zetu waarabu.
Hivi unajua Morocco, Misri,Somalia ,Sudani,Algeria, Tunisia, n.k hazikuwa nchi za Warabu kabisa .Lakini leo hii zinaongea mpaka akiarabu na hawana Tena hata lugha za asili za makabila ya kiafarika.

Kwanini pamekua na mabadilikoa ya makazi katika nchi hizo?
Jibu linawezekani kiwa watu wa asili ya maeneo hayo waliuawa na hao Waarabu wako na wengine kukimbia maeneo yao .

Sasa Waarabu nao wamepata mbabe ambaye ana waafrika wengi ndani yake wanaojulikana kama Black American. Tena wakiongozwa na mwafrika aliyeitwa Obama na kutandikwa vizuri kuanzia Tunisia mpaka Misri na kubwa lao la Maadui Osama akaiawa chini ya utawala wa Wafrika wenzetu mahiri wapenda demokrasia Kule Marekani.
Acha wapigwe tu ni zamu yao kupata kipigo cha mbwa koko.
Marekani ni Tawi la Afrika kama ilivyo timu yetu ya mpira iliyoko Ufaransa inayofanya makubwa. Uhuru na demokrasia ndio vitakavyotufanya waafrika tuitawale dunia.
 
Back
Top Bottom