imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,436
Umepaelewa hapofrom around the world
Umepaelewa hapofrom around the world
Ungeingia kwenye fikra zangu ungeli support hoja zangu maana ni nguvu za hoja siyo hoja za nguvu. Wewe ndo unaonekana ni muflisi, kihiyo na bashite wala hujui nini unatetea au kusimamia. Nyie ni wale makasuku wa CCM mmekaririshwa kuimba na kusifu kila kitu kinachofanywa na maficcm...Pole sana kwa kuleweshwa maji ya bendera ya kijani!!Kwa hii comment nimeweza kuingia kwenye fikra zako nimegundua ni muflisi.
Umepaelewa hapo
Ukiona jamii imekaa kimya haina tena tatizo la kuzungumza ujue hiyo jamii imeshaondoka duniani iko peponi.
Hata Wakina mama wanajua ukiona mtoto amezaliwa akawa kimya bila kulia ujue ameshaondoka duniani anafurahia raha za ahera.
Wapinzani sana haki sana ya kulilia demokrasia kwa maana wapinzani ni watanzania kama walivyo wale wa CCM.
Wanapenda kutendewa haki kama CCM wanavyopenda kutendewa.
Hivi itakuaje akitokea siku Mkurugenzi anabadilisha matokeo ya Mbunge wa Jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM aliyeshinda kwa 80% na kumtangaza wa TLP kuwa ameshinda halafu Polisi waingilie kati kuwasainisha wasimamizi wa CCM wakubaliane na uasi huo kwa jamii?
Je, huyo Mkurugenzi ataendelea kukalia kiti mana ameamua kuwa yaye sio neutral Bali ni TLP kindakindaki?
Fikiri vizuri halafu ujue hasa nini maana ya demokrasia wakati wa uchaguzi na umuhimu wa kufuata sheria kwa wote.
Wapinzani wanalilia kuwa demokrasia ionekane hasa kwenye sanduku la Kura.
Mwaka 2005 Tume ya uchaguzi chini ya Rais Mkapa walisimamia Uchaguzi vizuri pamoja na dosari ndogo ndogo. Nakumbuka wapinzani walimpongeza Kikwete na hata kumkumbatia baada ya kupata ushindi.
...Kwa nini ishindikane sasa. Jibu ni rahisi kuna waroho wa madaraka wamevamia CCM. Na wakati huu wa njaa Kali ya pesa na ukosefu wa ajira kila MTU anapigania madaraka yake kwa namna yoyote.
Hata wapinzani kama Mbowe, anang'ang'ania uenyekiti sio kwa sababu ya kukijenga chama la hasha anaona nje ya Madaraka atapata tabu sana mana wamemfilisi vya kutosha na wakati huo huo ana madeni na biashara zainayumba.
Ndiyo kujikomba kwenyewe. Waachieni wapemba maisha yao!! Mnawang'ang'ania nini?! Mbona wameshaonyesha kila dalili kuwa hawana haja na huo muungano ?!Wapemba na watu pwani tumezaana sana.
CIA haiko kwa ajili ya usalama wa mtu maskini wa marekani,ila imejikita nje ya marekani zaidi ili kulinda maslahi ya mabwanyenye.Nieleweshe ulivyoelewa ili nami nilinganishe na uelewa wako kama tuko pamoja...!!
Elewa hapa.3.The CIA is mainly associated with gathering information internationally that is of relevance to the United States.
Hela wanazotupatia ni sehemu ya rasilimali yetu waliyotuibia kupitia mfumo mbovu wa biashara duniani: mazao yetu , watu wetu kupelekwa kwao watumwa k.m. negros, siasa kandamizi n.k. Hata hivyo, misaada wanayoleta wanafaidi zaidi wao kupitia ajira kwa watu wao na riba ya mikono hiyo. Hivyo hakuna 7bu ya kuwa wanyonge kiasi cha kuruhusu ushenzi wao huo wa kuinglia mambo yetu bila kufuata taratibu zilizopo. Wake up!Wao hawajamzuia yeyote kusema, hata kama tungekua na sababu ya kusema kama ipo.
Lakini uchaguzi wetu unawahusu, wanatoa msaada kupitia mashirika au taasisi zake kufadhili uchaguzi, wanatupatia misaada (Inaitwa misaada) kujazilizia bajeti yetu, wanatupa mikopo. Sasa hapo wakisema wanakosea?
Siku zote akopaye ni mtumwa kwa anaemkopesha (Biblia).
Sasa wewe huwahurumii waarabu wanaouwawa kila siku na wamarekani.Ndiyo kujikomba kwenyewe
Halafu Kuna jamaa anasema kuwa kuna watanzania wanaoishi marekani watakija kujenga Chuo kikubwa Cha VETA kusini mwa jangwa la sahara.
Tungeomba nao kupitia balozi za Marekani wafuatiliwe vyanzo vyao vya fedha Kule Marekani mana machale yananicheza kama vile kuna kamchezo hapo .
Manunuzi makubwa ya mabilioni kwa wenzetu wanatoa katenesi pacementi. Sasa huenda watu waliambiwa huo mzigo mpe/wape akina fulani (ambaye/ambao ni Mtanzania wanaoishi huko) .Sasa wanataka wawaletee wenyewe mashiko wao kwa mbinu hiyo ya kuzitakatisha na kutuzuga kuwa watanzania waishio Marekani wamehamasika sana.
Kama tunapenda kusifiwa tuwe tayari pia kukosolewa .Alimradi tunakosoa kwa busara na kwa kuheshimu umri ,madaraka na utu wa MTU.
Hela wanazotupatia ni sehemu ya rasilimali yetu waliyotuibia kupitia mfumo mbovu wa biashara duniani: mazao yetu , watu wetu kupelekwa kwao watumwa k.m. negros, siasa kandamizi n.k. Hata hivyo, misaada wanayoleta wanafaidi zaidi wao kupitia ajira kwa watu wao na riba ya mikono hiyo. Hivyo hakuna 7bu ya kuwa wanyonge kiasi cha kuruhusu ushenzi wao huo wa kuinglia mambo yetu bila kufuata taratibu zilizopo. Wake up!
Nasikia wanataka kuuzuia ule msaada wa Condom.Wasituchezee kabisa hawa wamarekani tutawachapa wapotee waache viherehere
Wanaiba au viongozi wabovu na hasa wa CCM wamewapa kwa mikataba ya mrahaba wa 3%. Na hata hao ma Niger's walisalitiwa na viongozi kama hawa tulionao leo. Wanaonunua kivuko cha 1978 kwa billions na usihoji!!Hela wanazotupatia ni sehemu ya rasilimali yetu waliyotuibia kupitia mfumo mbovu wa biashara duniani: mazao yetu , watu wetu kupelekwa kwao watumwa k.m. negros, siasa kandamizi n.k. Hata hivyo, misaada wanayoleta wanafaidi zaidi wao kupitia ajira kwa watu wao na riba ya mikono hiyo. Hivyo hakuna 7bu ya kuwa wanyonge kiasi cha kuruhusu ushenzi wao huo wa kuinglia mambo yetu bila kufuata taratibu zilizopo. Wake up!
sasa ulitaka tanzania iseme nini ???Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs by-election?
This is stupidity of all time.!!!
"In December 2013, the Pew Research Center reported that their newest poll, "American's Place in the World 2013," had revealed that 52 percent of respondents in the national poll said that the United States "should mind its own business internationally and let other countries get along the best they can on their own."[39] This was the most people to answer that question this way in the history of the question, one which pollsters began asking in 1964.[40] Only about a third of respondents felt this way a decade ago.[40]"
Kupanga ni kuchagua na waarabu kama viongozi wetu wamechagua hayo maisha .Sasa wewe huwahurumii waarabu wanaouwawa kila siku na wamarekani.
Tunatafuta justification ya kuiongelea Buyungu kwanza.Hii ndiyo justificstion ya serikali ya CCM kubaka demokrasia???
Alafu hichi kisukuma ulichoandika hakieleweki, speak English please.
Chadema mara nyingi huchukia ndugu zetu Waarabu kwa sababu ya Uisilamu wao,hakuna asiejua.Kupanga ni kuchagua na waarabu kama viongozi wetu wamechagua hayo maisha .
Mmarekani hata akiwa mbali anatafutwa