Tanzania said nothing about Trump election!

Tanzania said nothing about Trump election!

Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?

This is stupidity of all time.!!!
Tbc walimlisha maneno Trump eti kampongeza magu
 
Siku zote mwenye mbwa ndio anaongea.

Usisahau USA ndio wanatulisha, kutupatia hela za misaada na mikopo. Ufadhili wa madawa, na mambo kama hayo.

Tanzania haijawahi kuisaidia USA msaada wowote hata wa unga wa muhogo debe moja.
Huyo bwege anafikiri anaisafisha sirikali kumbe anakoka moto kuichongea
 
Nalo hilo neno.
MAANA mpaka sasa mwaka wa pili bado wanaweweseka na jinamizi la Urusi kuvuruga uchaguzi wao.
Wamewaumbua mnavyo kwiba kura za wananchi ili kulazimisha kutawala
 
Acheni ujinga nyie na kingereza cha ugoko
Marekani wanapigana vita toka vita ya 2 ya Dunia
Wanapindua serikali zinazowazingua
Wanaweka vikwazo vya kiuchumi yeyote wamtakaye
Nyie endeleeni tu
Marekani sio CHADEMA
Msituingize kwenye vita na taifa ambalo huwa linafanya litakavyo kwa ujinga na uroho wa madaraka.
Mwambie huyo kifaranga wa interahamwe
 
We jamaa kila mara unacomment pumba sijui kichwa kimejaza kinyesi?!
Acha kunifuatilia fuatilia, am airing my views, hazikubambi, pita hivi. Usitake nipangia cha kusema cha kukufurahisha.
Kichwa kimejaa kinyesi, nilifyonza kinyesi chako, au ushazoea kufyonzwa. Swine kabisa.
 
Kweli we ni jingalao kwani kinacho fanyika hakionekani sisi bado kujitegemea misaada tunategemea kwao ila ipo siku tutalia pamoja nyie endeleeni kusupport ujinga
Naona huu uzi kaupandisha kwa pupa sasa kashaukimbia maana anauona moto unamuwakia
 
Wanashangaza zaidi wananchi wanaowashabikia wakijua fika hakuna nchi hawa wamarekani wameivamia ikafanikiwa
Mmechokoza nyuki subirini muone cha mtema kuni nyinyi majizi
 
Libya aliivuruga Gaddafi mwenyewe kwa kung'ang'ania hubaki madarakani hata baada 42 yrs. Kama CCM inavyong'ang'ania kubaki madarakani hata baada miaka 60, tena wakiwa failures wa uongozi !!
Failures wa uongozi bongo wanajulikana, wapo ufipa sijui ni bahari beach hotel, wanachama wanakwepa uongozi wa hovyo, wanaunga juhudi uongozi imara.
 
Democracy, Human Rights and Governance | U.S. Agency for International Development

Democratic governance and human rights are critical components of sustainable development and lasting peace. Countries that have ineffective government institutions, rampant corruption and weak rule of law have a 30-to-45 percent higher risk of civil war and higher risk of extreme criminal violence than other developing countries.

To help change this narrative, we are integrating democracy programming throughout our core development work, focusing on strengthening and promoting human rights, accountable and transparent governance, and an independent and politically active civil society across all our work. At the same time, we remain committed to fundamental democratic empowerment activities, including supporting free and fair elections, up-to-date technology for new and traditional media, as well as the rule of law.

By helping societies protect the basic rights of citizens, we prevent conflict, spur economic growth and advance human dignity. Countries with democratic freedoms are more just, peaceful and stable-and their citizens can fulfill their potential. Through its democracy, human rights and governance programs, the United States remains committed to protecting and advancing our most cherished values.

We are focused on:

Democratic Governance - Building open, responsive, and accountable institutions and processes that serve the needs and preferences of the public.

Participation - Ensuring that all have the opportunity to participate and have a voice in how they will be governed.

Fair Competition - Promoting free, transparent and fair political competition so that citizens’ preferences are represented.

Civil Society and Independent Media - Defending citizens’ rights of association and expression, so that they can play a role in their country’s future.

Justice - Holding institutions and people responsible to the rule of law.

To advance these goals, we launched the new Center of Excellence on Democracy, Human Rights and Governance in 2012. The Center provides technical advice and support to USAID missions implementing programs in democracy, human rights and governance; generates and disseminates knowledge to build the evidence base for global advancement in the area; and elevates the role of DRG in key USAID, U.S. Government, and multilateral strategies.

As a result of this focus, we have recently:

Since the Elections and Political Processes (EPP) Fund was established in 2006, we have provided critical support to 80 countries or sub-regions, 26 of which were for unanticipated electoral and political processes needs, including snap elections in Molvoda, Serbia, and Yemen.

Since 2011, the Human Rights Grants Program has addressed the most urgent Human Rights challenges in 89 different countries. This includes C-TIP programming in Peru, programming for Indigenous Peoples in Paraguay, Genocide education in Cambodia, migrant rights programming in Macedonia, and women’s empowerment programming in Sudan.

Launched in 2016, the five-year Global Labor Program promotes labor rights and access to justice for workers. The program supports country programs in Cambodia, Bangladesh, Burma, Ukraine, Morocco, South Africa, Colombia, Mexico and regional programs in Asia, Eastern Europe, the Middle East, Southern Africa and Latin America that cover activities in 31 countries. Through its union partners the program directly reaches tens of thousands of workers annually, inclusive of vulnerable populations, including women.

The Disability Rights and Inclusive Development program, which provides financial and technical assistance across the Agency, promotes the inclusion of persons with disabilities in USAID programs and builds the capacity of local disabled people’s organizations. In FY 2015 alone, the DRG Center strengthened the capacity of over 2,000 local organizations that work to support vulnerable populations.

Country Examples:

Sri Lanka - Investing in Civil Society: USAID supported civil society in Sri Lanka through the darkest days of the Rajapaksa era by providing space and funding to over 60 local civil society organizations, including domestic election monitors who were crucial in ensuring the integrity of the historic January 2015 Presidential and August 2015 Parliamentary elections. Since then, we have partnered with civil society, the Parliament and key government institutions to advance long-awaited democratic reforms.

Philippines - Court Reform: USAID's rule of law programming in the Philippines has measurably reduced case processing times amidst growing strains on the justice system. In the country's largest court district (consisting of 58 courts and an estimated 15 percent of all cases pending in the trial courts), the median processing time of cases has been reduced by 60 to 78 percent.
n December 2013, the Pew Research Center reported that their newest poll, "American's Place in the World 2013," had revealed that 52 percent of respondents in the national poll said that the United States "should mind its own business internationally and let other countries get along the best they can on their own."[39] This was the most people to answer that question this way in the history of the question, one which pollsters began asking in 1964.[40] Only about a third of respondents felt this way a decade ago.[40]
 
Siku zote mwenye mbwa ndio anaongea.

Usisahau USA ndio wanatulisha, kutupatia hela za misaada na mikopo. Ufadhili wa madawa, na mambo kama hayo.

Tanzania haijawahi kuisaidia USA msaada wowote hata wa unga wa muhogo debe moja.

an
 
Wewe utasema nn kwa taifa kubwa kama USA?
 
downloadfile-3.jpg
home001+pix.jpg
downloadfile-4.jpg

Kiza Besigye na wafuasi wake wakichezea kichapo huko Uganda,wamarekani kimyaa!!.
 
Tanzania hatukukatazwa ku-comment US election kama unavyodai....Si unaona anachofanya Bob Mueller vuta subira kidogo angalau wenzetu wanafanya uchunguzi, akimaliza utafahamishwa nini kimejiri au utasoma kwenye magazeti..Lakini kwetu haturuhusiwi japo kuhoji, ukifanya hivyo unakamatwa au kuuawa/Kupotezwa. Tunaulizwa kwa vile wanatupa pesa zao nyingi kutusaidia na moja ya masharti yao ya misaada ni nchi kuwa na demokrasia hivyo wana haki ya kutuuliza. Muulize huyo rais Magufuli mbona ameshinda kwa kura nyingi na wabunge wengi na madiwani wengi kwanini anahangaika na hao wa kuokoteza?
Waweke sawa hali ya mambo huko libya walipopavuruga kwa kidingizio cha demokrasia uchwara
Mnadanganya watu!;
Libya walianza kupigwa baada ya kufanya Mambo Mawili :

(1) Serikali ya Ghadhaff kuanza kuua RAIA wake hadharani kama panya kwa kutumia mabomu na Vifaru.

(2) Serikali ya Ghadhaff kuanza kutoa Vitisho vya kuiangamiza Serikali ya Kizayuni ya Israel.

Hayo ndiyo mambo mawili tu yaliyompelekea nduli Muamar Ghadhaff kupigwa kama Mbwa Koko na kuangamizwa kabisa.
......Huo ndio Ukweli ambao viongozi wababe wa Kiafrika hawataki kuwaambia wananchi wao badala yake wanasema Demokrasia ndio iliyosababisha wakati wakijua wazi kabisa kuwa Libya haijawahi kuwa na Demokrasia.
....Ukiua watu wako kama Panya Mbele ya nchi za Magharibi Utapigwa tu.
......Ukitishia Israel Taifa Teule la Mungu utapigwa tu.
Hayo ya Vigisi za Uchaguzi au wizi wa Kura nchi za Magharibi hawana hasira nayo zaidi ya kuonya tu ili Serikali isifikie huko kwa kuua watu wake kama alivyofanya Kanali Muamar Ghadhaffi wa Libya.

Wenzetu wanaiona dunia kwa miaka 200 ijayo Mbele wakati sisi tunaangalia Uchaguzi tu tena mdogo kabisa wa Serikali za mitaa na udiwani na akili zetu zinaishia hapo.

Dunia kuingilia Mambo ya watu ili kusaidia wale wasio na hatia kuuawa ni jambo la kawaida . Ndio maana tuna majeshi Kule Kongo japo Kongo ina Serikali yake na sheria zake. Tungeweza basi kusema tuwaache wauane mana ile ni nchi huru.
Kukaa kimya wakati binadamu mwenzako anateswa na kunyimwa haki yake ni dhambi kubwa.


Acheni tu waafrika tudharaulike mana hata kupambanua mambo madogo kama yale ya Libya hatuwezi.
Afrika Wale wenye uwezo wa kujenga hoja na kupambanua mambo wanaonekana waasi na wachochezi. Badala ya kuwatumia kuleta fikra mpya .Hili ni Tatizo ambalo hata Chadema kupitia Mwenyekiti wake Mbowe wanalo.Wanawashughulikia kwa nguvu kubwa wale wenye mawazo tofauti na ya kwao.
 
n December 2013, the Pew Research Center reported that their newest poll, "American's Place in the World 2013," had revealed that 52 percent of respondents in the national poll said that the United States "should mind its own business internationally and let other countries get along the best they can on their own."[39] This was the most people to answer that question this way in the history of the question, one which pollsters began asking in 1964.[40] Only about a third of respondents felt this way a decade ago.[40]
The United States IS minding it's own business.

The business of making sure its aid is used in the way it was intended by democratic regimes.

Tanzania made its business the United States business when it accepted aid from the United States, aid that came with the understanding that Tanzania will be led by good governance and democratic ideals.

Msilete habari za "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
 
The United States IS minding it's own business.

The business of making sure its aid is used in the way it was intended by democratic regimes.

Tanzania made its business the United States business when it accepted aid from the United States, aid that came with the understanding that Tanzania will be led by good governance and democratic ideals.

Msilete habari za "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Ndio maana tunataka tuondokane na huo mtego maana wanabwata kwa kutusaidia pedi za wake zetu!
 
Ndio maana tunataka tuondokane na huo mtego maana wanabwata kwa kutusaidia pedi za wake zetu!
Muondoe na bunge na mahakama mumfanye Magufuli mfalme wa maisha kabisa, maana hata mkikataa misaada na kubaki na mifumo yao, mifumo itawahukumu, Marekani ina misimamo ya kusimamia demokrasia kwa sababu demokrasia ni mfumo bora, sio tu kwa sababu inatoa misada.
 
Kuna kipengele cha mkataba wa msaada kinachoongelea kuhusu kuingilia mambo ya ndani ya nchi?
Wameingilia Mambo ya ndani vipi?
Kuna mahali FBI wamemkamata kada wa CCM / Msimamizi wa Uchaguzi aliyevuruga Uchaguzi ?
Kuna mahali wameleta askari wa marekani kusimamia Uchaguzi wetu?
Nyie vipi?
Tuwapende na kuwatetea watanzania wenzetu wanaodhulumiwa kwa sababu ya baadhi ya wenzetu wenye uroho wa kupata sifa na madaraka?

Huo ndio ujinga unaofanyika Kongo. Wanashindwa kukaa pamoja na kuaminiana kwa ajili ya kuijenga Kongo nchi yenye rasilimali nyingi duniani badala yake kila siku ni kuvuruga Uchaguzi na kuuana kwa ubinafsi na uroho wa Madaraka.
 
Back
Top Bottom