Tanzania said nothing about Trump election!

Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?

This is stupidity of all time.!!!
Kwa kuwa hatujaongelea mapungufu yao. Jetuachwe tuendelee kunyanyasana?! Tukivurugagana kwa namna Jiwe linavyotamani tutawatafuta na kuwakimbilia kutaka msaada wao wa kutuliza hali ya hewa . Akili kama za Jiwe zinatakiwa kudhibitiwa hata kidiplomasia , si Wazima nguvu itumike .

Pili hizi chaguzi zetu ikiwemo ule mkuu wafadhili hutoa pesa zao kugharimia ikiwemo USA .
Sisi budget yetu ni tegemezi lazima wakuweke sawa.
 
Mngekuwa na uwezo siku ile ambayo Obama alivyo kuja mngeweka ulinzi nyinyi pale ikulu otherwise funga domo lako
 
Kwa kuwa hatujaongelea mapungufu yao. Jetuachwe tuendelee kunyanyasana?! Tukivurugagana kwa namna Jiwe linavyotamani tutawatafuta na kuwakimbilia kutaka msaada wao wa kutuliza hali ya hewa . Akili kama za Jiwe zinatakiwa kudhibitiwa hata kidiplomasia , si Wazima nguvu itumike .

Pili hizi chaguzi zetu ikiwemo ule mkuu wafadhili hutoa pesa zao kugharimia ikiwemo USA .
Sisi budget yetu ni tegemezi lazima wakuweke sawa.
Pia amani ikitoweka wao (kupitia UN) ndio watakuwa watoaji wa pesa kusaidia IDPs
 
Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?

This is stupidity of all time.!!!
Angalao uonekane umeongea na siku iingie.
 
Wanashangaza zaidi wananchi wanaowashabikia wakijua fika hakuna nchi hawa wamarekani wameivamia ikafanikiwa
Haifanikiwi Leo lakini miaka 50 ijayo watakua sio wenzetu wakati huo sisi ndio tutavurugana.
Mana Watu watakavyozidi kupata elimu na maarifa hawatakubali kutawaliwa kimaajabu badala ya sheria.

Hivi palikua na sababu gani ya kuwabeba na kuwavumilia Wakurugenzi na wasimamizi wa uchaguzi waliolalamikiwa tangu mwanzo kuwa wanakiuka sheria wazi za uchaguzi?
Tangu lini vyombo vya dola vikaingia kwenye chumba cha kupiga kura?

Wamarekani na wazungu wanatuona kuwa sisi wa Afrika ni watu waajabu sana kwa uovu ,ukatili ,ushenzi na hujuma tunazofanyiana kwa kugombania madaraka kwa sababu tu ya ubinafsia wa kugombania raisilimali zetu wenyewe.

Uchaguzi wa Marekani uko wazi dunia nzima na Lile ni Taifa kubwa sana lililoundwa na nchi 52 lakini limeendelea kuwa Taifa moja kwa sababu ya Uhuru na demokrasia.
Hata kama uchaguzi wao unakua na kasoro lakini hawakataniapanga ili kulazimisha MTU wa chama fulani ashinde.
Inajulikana wazi kuwa kuna ngome za Chama Fulani sehemu Fulani na hakuna siku serikali wanapeleka Majeshi huko ili chama kingine kishinde kwa nguvu.
Wanaacha upepo ubadilishwe na wapiga kura wenyewe. Hutasikia wakitisha watu kuwa msipomchagua Huyu tutawakatia umeme ,hatutawapa madawa hospitalini, hatutatoa fedha za kodi zenu kwa maendeleo yenu.
Huwezi kusikia mambo ya ajabu kama hayo yanayokiuka haki na Uhuru wa watu.

Sasa kwetu uchaguzi Mkuu wa Wilaya ambaye ni mwenyekiti wa Ulinzi na usalama wa Walaya anasimama hadharani na kusema Mimi sio Neutral ni lazima Chama changu kishinde.

Wasimamizi wa uchaguzi wanafanya mambo ya ajabu wazi kabisa ili auonekani kuwa anapigania CCM halafu Tume yenye watu weledi kabisa inaibuka na kuukaripia ubalozi wa Marekani.
Mambo mengine tuyafanye tukijua kuwa tunawafanyia binadamu wenzetu ambao hata wao wanataka kutendewa haki.

Watu wote wanalipa Kodi zao lakini wanapotaka kumchagua mwakilishi wao wa kwenda kutumikia kodi zao kwa ujira wa Ubunge au udiwani wanajitokeza watu wachache wanalazimisha kundi la chama chao na marafiki zao ndio pekee wafaidi kodi za wananchi.

Tume Tendeni haki hamutaiona Marekani ikiwasema.
Mmeapa kutenda Haki lakini mnakiuka kiapo chenu. Kumbukeni mnalipwa kwa jasho la wote sio la CCM pekee.Tena hao CCM mnao watetea ndio wenye uwezo wa hata kusamee kodi na kuwakosesha pesa za mishahara.
Watendeeni wengine haki.

Dunia haijawahi kuwaenzi watu wasiotenda haki
 
Kumbuka Net aliyojifunikia mamako akiwa na mimba yako ili usife ilitoka huko kwa msaada wa watu wa marekani, leo unapata wapi kiburi cha kurusha kaliwo pindi akikukosoa tena kwa kitu cha kweli?

Hata mimba yako ya Kwanza miezi yote tisa ulilalia net za msaada
 
Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?

This is stupidity of all time.!!!
Tanzania hatukukatazwa ku-comment US election kama unavyodai....Si unaona anachofanya Bob Mueller vuta subira kidogo angalau wenzetu wanafanya uchunguzi, akimaliza utafahamishwa nini kimejiri au utasoma kwenye magazeti..Lakini kwetu haturuhusiwi japo kuhoji, ukifanya hivyo unakamatwa au kuuawa/Kupotezwa. Tunaulizwa kwa vile wanatupa pesa zao nyingi kutusaidia na moja ya masharti yao ya misaada ni nchi kuwa na demokrasia hivyo wana haki ya kutuuliza. Muulize huyo rais Magufuli mbona ameshinda kwa kura nyingi na wabunge wengi na madiwani wengi kwanini anahangaika na hao wa kuokoteza?
 
Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?

This is
Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?

This is stupidity of all time.!!!

Panic ya nini kaka!? Ni hivi hao US tutawapa ushirikiano wowote wautakao ili kutusaidi kuwatoa waroho wa madaraka. Kama huwa tunapokea hela zao kupambana na umasikini, tutashindwaje kuwapa ushirikiano wa kuhakikisha haki inatendeka ili kudumisha amani yetu? Na hawa wenye mamlaka wanaoshiriki na kukalia kimya uovu tutahakikisha wanachukuliwa hatua kali za kisheria.
 
Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?

This is stupidity of all time.!!![/QUOT
..."never commented "...
 
Ila we jingalao jinga sana, yani kwa sababu sisi hatukukosoa kuhusu uchuguzi wao basi wenyewe hawaruhusiwi kuongelea uchaguzi wetu hata kama wana la kuongea.

huenda sisi tulishindwa kuwakosoa kutokana na uoga wetu au uchaguzi wao haukuwa na tatizo. wao wameona tatizo ni lazima waseme, ukizingatia hata hiyo buku 7 unayoliowa pale lumumba kuna mkono wao.
 
Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?

This is stupidity of all time.!!!

Ndio mana unaitwa jingalao ? vitu vingine muwe mnafikiria, wewe na marekani nan mwene anamtegemea mwenzie ? utamsema boss wako kwamba kachelewa kuja kazini ? jinga wewe
 
Siku zote mwenye mbwa ndio anaongea.

Usisahau USA ndio wanatulisha, kutupatia hela za misaada na mikopo. Ufadhili wa madawa, na mambo kama hayo.

Tanzania haijawahi kuisaidia USA msaada wowote hata wa unga wa muhogo debe moja.
Daah! kumbe huyu mbwa anayeitwa tanzania anamilikiwa na marekani?
 
Kwa kuwa hatujaongelea mapungufu yao. Jetuachwe tuendelee kunyanyasana?! Tukivurugagana kwa namna Jiwe linavyotamani tutawatafuta na kuwakimbilia kutaka msaada wao wa kutuliza hali ya hewa . Akili kama za Jiwe zinatakiwa kudhibitiwa hata kidiplomasia , si Wazima nguvu itumike .

Pili hizi chaguzi zetu ikiwemo ule mkuu wafadhili hutoa pesa zao kugharimia ikiwemo USA .
Sisi budget yetu ni tegemezi lazima wakuweke sawa.
Waweke sawa hali ya mambo huko libya walipopavuruga kwa kidingizio cha demokrasia uchwara
 
Ila we jingalao jinga sana, yani kwa sababu sisi hatukukosoa kuhusu uchuguzi wao basi wenyewe hawaruhusiwi kuongelea uchaguzi wetu hata kama wana la kuongea.

huenda sisi tulishindwa kuwakosoa kutokana na uoga wetu au uchaguzi wao haukuwa na tatizo. wao wameona tatizo ni lazima waseme, ukizingatia hata hiyo buku 7 unayoliowa pale lumumba kuna mkono wao.
Uchaguzi ni suala la ndani waache kiherehere
 
Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?

This is stupidity of all time.!!!
Tatizo ni jina lako mkuu. Hata mtoto wa primary angeandika kiingereza kizuri zaidi ya hiki. Btw, hivi hujishitukii?
 
Jingalao, siku zote huwa nakuchukulia kama sio mzalendo sio mtanzania. Yafaa mjishushe ili watanzania wapone. Huu ni mtihani kwenu tutajua Nia yenu juu ya mama Tanzania.
 
Siku zote mwenye mbwa ndio anaongea.

Usisahau USA ndio wanatulisha, kutupatia hela za misaada na mikopo. Ufadhili wa madawa, na mambo kama hayo.

Tanzania haijawahi kuisaidia USA msaada wowote hata wa unga wa muhogo debe moja.
Hakika
 
Back
Top Bottom