Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,820
- 8,886
Waungwana, mi naomba niunge mkono hii Kauli ya mheshimiwa rais, UNPOPULAR AS IT MAY SEEM, I might disagree with his policies sometimes, but here I have to commend him. why?
1. Millions of Africans have died in conflicts since independence period and the only reason we could advance was non intervention in internal matters. Those who tried hard were rebeled as western proxies and agents. Now we always argue that we should take charge of our own problems, but when and how can Africa do it? Believe it or not, swala la Zimbabwe linatufanya waafrika wote tuonekane mahayawani wa kutupwa! so is Darfur and the rest. The best we can do is to use "COLONIAL CARD" TO ESCAPE OUR RESPONSIBILITY.
Yes, we might say lets use diplomacy for Zimbawe, but let us all here in this forum, THINK ni diplomacy gani ambayo Mugabe anaweza kuisikiliza au kuikubali? Reasonably what can AU/SADC or UN do? Mugabe ameashaamua kwamba has nothing to lose and all he wants is to remain in power, because the alternative will be worse for him.
JK is a continental Chairman of AU, to me ana mzigo mzito sana na usifikiri kwamba yeye ni mjinga, hiyo kauli ya kuingia Zimbabwe kijeshi (kama kweli aliitoa) it was calculated and thought of. It will be certainly a multilateral project as Africa union.
Colleagues ilipofika Zimbabwe, haisaidiki tena. Hakuna anayependa vita, lakini when need be, its the only language dictators can listen to. And in this I salute JK, maana hii idea ingetolewa na western countries sijui kama hapa JF na majanvi mengine ya kiafrika kama kungetosha..watu tungepiga kelele tuu kwamba ni mbinu ya regime change ya Western countries.
Folks, lazima tufike point tukubali, kama waafrika, we need to be responsible. SOVEREIGNITY GOES WITH RESPONSIBILITY. Huwezi kuua watu, simply because wewe ni raisi! No way! Hatuwezi kuwavumilia watu kama wakina Mugabe simply because ni weusi wenzetu. athari za utawala wa Mugabe ndo matokeo yake kila nchi sasa inazifeel..kama xenophobic huko South....almost nguvu kazi yote ya nchi imekuwa wakimbizi because of one person, na huko wakimbizio walipo ndo matatizo yanazidi... Hivi unafikiri wazimbabwe, watu wa Darfur nk wanajisikiaje..wanaposoma kuhusu AU, UN nk..wakati wanakufa na hawawezi kusaidiwa?
Its time haya mashirika yaside na wananchi na wala si madiktator akina Mugabe.
Kwamba TANZANIA TUNA MAFISADI, EPA, RICHMOND NK, HAITUONDOLEI WAJIBU WA KUCHANGIA JUHUDI ZA KUWAPA NAFASI WAAFRIKA WENZETU NAO WAPIGANE NA EPA NA RICHMOND ZAO (MAANA NA WAO WANA ZA KWAO)..ILA WANAWEZA KUFANYA HIVYO WAKIWA NA AMANI. Jiulize tungekuwa kama Zimbabwe au Darfur..tungeweza kujadili akina EPA NA KAKA ZAKE RICHMOND NA KIWIRA? WE CANT DELEGATE OUR RESPONSIBILITY JUST BY MERE AND ENDLESS EXCUSES ZA UBEPARI.
UN SECURITY COUNCIL HATUTEGEMEI KITU..KUNA CHINA NA RUSSIA..ANOTHER DESPOTS INTERESTED IN AFRICAN RESOURCES AND NOT ITS PEOPLE. SWALA LA ZIMABWE NI LETU WAAFRIKA, TUACHE VISINGIZIO KAMA VYA BRAZA MUSHI..KWAMBA TUMEINGILIWA NA WAZUNGU NOO..
I would propose JK aitishe mkutano wa AU..wa-map njia muafaka. Perhaps waanze na sanctions za silaha na mengine yatafuata as time goes by!
JK, you are the only hope remaining, maana Mbeki has proved hopeless and useless for our continent1 Kifupi jamaa kadissapoint kabisa. Surely Africa tulipofika hatuhitaji kuambiwa madhara ya watu kama akina Mugabe. And I say its totally wrong..kuendeleza hii game ya "colonial card" kukwepa wajibu wetu...