Tanzania ready to send Army to Zimbabwe-Kikwete

Status
Not open for further replies.
Mugabe is a hero turned sour dictator. He should be shot point blank in the head. I hate him and the Zimbabwean people are stupid for letting one man who is old as phuck pimp them.

if zimbabweans are stupid for lettin mugabe pimp em then what are we (tanzanians) dumb as fcuk? or smart? for lettin our president and the whole govt lie and fcuk our country up the ass. what bout hosni mubarak, omar bongo, nguema who don't even allow oppositional parties in their country to participate fairly in their elections.
 
Kuna zaidi ya kambi tatu;

Kambi 1: Mugabe is a dictator and he has to go - ang'olewe hata kwa njia ya vita
Kambi 2; Mugabe is a saint, wache aendelee kutawala, no to war, in fact Tanzania tumtukuze Mugabe
Kambi 3: Mugabe is a dictator he has to go but NO to war
Kambi 4: Mugabe is a strugling African leader who is under siege from western power, pressuring some African leaders to kick him out. - We ought to support him retire in peace.

I am in Kambi #4.

Just like Pundit, i like that you summarize your stand on zimbabwe, it cuts across the loaded comments that all of us are guilty of! :)
Ngoja tuone kuna kambi ngapi, tusije tukajikuta tu kama Sisiem na factions zake! Kwikwikwi
 
nipo katika kambi ya 3.5!
he is a dictator who is under seage from magharibi who are asking african leaders to kick him out, he has to go but not with war
 
No. Tukamchape Mugabe kwanza halafu tutarudi kwa haya ya kwetu!

Mkuu umenichekesha sana sina mbavu. Vita wenzetu hawapigani hivi hivi, ukimuuliza marekani kwa nini huwa anapigana nchi mbali mbali utakuta anatafuta raslimali.

Kupigana vita ni uchumi, sasa uchummi gani tulionao watanzania kufikiria kuwachapa watu kila siku? Uliona wakenya wakitukejeli wakati JK alipokutana na Bush na kuongelea mambo ya Kenya, wakenya walisema uchumi wetu hautakaa utengamae kwa sababu ya vita ya Kagera.

Nasikia afadhali ya Kagame, ameenda kupigana vita Ethiopia/Eritrea amekwenda na madege akasomba ngombe na kuwaletea wanyarwanda angalau wapate chakula.

Amekwenda DRC amekuja na Madini. Sasa sisi kuchapa tu bila faida nani anatulipa? wakati hata tunaowakomboa hawaelewi umuhimu wetu? Mfano RSA ambao wametulipa kwa kuja na kutumia viongozi wetu na kuchukua hata kidogo tulicho nacho?

Mkuu Upendo wa mshumaa umepitwa na wakati. Lazima pesa hiyo tunayopeleka vitani ikawasomeshe watanzania, hili waweze kuendeleza taifa letu. Au tuwekeze kwenye kilimo tu. Haya ya kuchapa chapa tu mimi siyafagilii kabisa wakati sisi ni masikini.
 
Susu,

Umesahau kambi yangu.

Mugabe is a dictator, he has to go, no war, but peacekeeping forces may be deployed as necessary to ensure the safety of Zimbabweans.

I hardly understand the politics of "peace keeping" hivi hili neno lina maana gani? which peace are they keeping? it seems we have been sucked into these politics of UN...imagine mtu anakwambia eti peace keeping in Darfur? which peace are they keeping there wakati watu wanakufa kila siku? kibaya zaidi hawa so called Peace Keepers hawaruhusiwi kutumia silaha..only in self defence! kwa hiyo hata kama raia wakifa....wako helpless..rest they be accused of taking side....We need to get a right word for the right situation..otherwise naona tunachezewa vichwa vyetu sana na hawa wazungu.....

I really detest this word..kwa sisi waafrika halina maana kabisa! Rwanda thousands died...eti kuna peace keepers...It sucks!
 
wewe usitake kudaganya watu hapa... kwanza misemo yako inaonyesha ni jinsi uwezo wako wa kiakili ulivyo mdogo...unaongea kwamba "kama ni kumtoa dikteta twende" basi tunataka wewe uwe mstari wa mbele pamoja na familia yako vitani, manake unaongea kana kwamba wengine ndio wanastahili kufa....
kama unataka kuikomboa zimbabwe basi chukua familia yako na mkajiunge na changarai ili muwaokoe lkni usitake kukaa na kunyoosha vidole na kutaka watoto wa watu wengine wakafe bila sababu yeyote... Usitake kuleta ubinafsi hapa....hakuna nchi yeyote dunia hii inayoweka maslahi ya nchi nyingine mbele ya nchi yake.... tanzania tumepigana vita uganda mpaka leo bado tunalipa madeni libya na kwingineko kwa ajili tuu ya sababu za kibinafsi kama mnazozioongea hapa...
na kama wewe kweli ndiye zito MBUNGE BASI NINAKWAMBIA KAMA TANZANIA IKIPELEKA MAJESHI ZIMBABWE BASI WEWE UNA DAMU YA WATANZANIA WETU WATAKAO KUFA NA NI KWAMBIA BILA KUKUFICHA NDUGU YANGU AKIFA ZIMBABWE MAMA YANGU MZAZI NAAPA NITAKUPIGA RISASI POPOTE NITAKAPOKUONA NI LAZIMA NITAKUDHURU UKAE UKIJUA HILO NA UANZE KUTAFUTA WALINZI TUMECHOKA KUKAA KUONA WATU WANAKUFA BILA SABABU HALAFU NINYI MNATANUA HAKUNA MTU ANAYEPENDA KUFA, HILO NI ONYO NA WATU WENGI HUMU WANASOMA HILO KWA HIYO UKAE UKIJUA SIKU JESHI LETU TUU LIKIONDOKA NINAANZA KUKUWINDA NA NITAKUPATA TUU NA KUKU RISASI MOJA AU KISU CHA MBAVU ILI NAWE FAMILAI YAKO IONJE MACHUNGU YA KUPOTEZA MTU.....

Kwa wale wote waliosapoti kufungiwa kwangu naomba waniombe radhi ama la nitaanzaisha thread ya kuwataka wafanye hivyo.
Na MODS...Naelewa sheria za hapa jf ni kuwa ukifungiwa mara baada ya mara kadhaa unafungiwa moja kwa moja.
Niliwatumia email ya malalmiko kuhusiana na hili na sijapata majibu.
Sikutaka kufunguwa thread lakini naomba mtumie fursa hii kunijibu.
Ningeomba niombwe radhi na adhabu yangu isihesabike!
Kama si doubla standard hii ni kitu gani?
FMES aliyedai kuwa nilitumia lugha chafu...Kuna mtu mwenye mdomo mchafu hapa zaidi yake yeye anayesema atanifukuzilia mbali?
WEWE FMES KAMA NANI WEWE?
Unapenda UBABE LAKINI HUMTISHI MTU NA HUNITISHI KABISA!
HILO UJUWE!
Nataka niombwe radhi kutokana na hilo na mods waseme kama ni kifungu gani hicho cha sheria za jf nilikivunja wambacho hakikuvunjwa na KIJAKAZI.

Na hapo chini ni sababu iliyotumika kunifungia...Hapo juu Kijakazi alisema wazi kuwa atampiga RISASI ZITTO AMA KISU CHA MBAVU.
Na mimi nilisema huyu mtu ni wa kupigwa risasi na sikusema nitampiga Wangwe risasi.
Kwa kweli chuki ninazoonyeshwa ni za wazi sana na nina wasiwasi na wana jf kwani watu huwa persona sana kama vile kuna madaraka yanagombewa hapa!
Mimi nilidhani hapa ni mijadala na wala si ubabe na vitisho!


Silencer
user_offline.gif

Silencer is silencing chaos!
Moderator
Join Date: Tue Jul 2008
Posts: 2
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Thanks: 10
Thanked 8 Times in 2 Posts
Credits: 356


icon1.gif
Banned For 3 Days
Quote:
Originally Posted by jmushi1
Mods hii ipelekwe kwenye maoni/malalamiko!
Huyu mtu kila mara issue muhimu zikija yeye ni chadema tu!
Huyu ni wa kulimwa risasi huyu.
Kwani wewe mpumbavu huoni nchi imeuzwa hii we hayawani!
Kwanini hafungiwi huyu mtu?
Kwanini unatuletea vurugu hapa?
Nani kasema kuna uchaguzi mwaka huu?
Kwanini manmruhusu huyu mtu aharibu forum na huku mnasema jmushi hivi ama vile?
Kama ni mijadala a chadema iko ya kutosha jamani.
Kama hujuwi uliza uambiwe mijadala hiyo iko!
Ama imefutwa?


The gentleman has been banned for three days. No warning was given. JamiiForums will not tolerate the threat or the suggestion that violence can be used against any member of this forum or anybody for that matter. We can tolerate or excuse some languages but some lines should not be crossed or even seem to have been crossed.
 
Sasa hivi ccm wanafikiria jinsi ya kwenda kujifunza kwa Mugabe jinsi alivyoiba kura.
 
Katika jambo ambalo sitaki ku-intellectualise ni hili la Zimbabwe. Mugabe ametuabisha sana waafrika na nitauunga mkono juhudi zozote zitakazosaidia kumtoa Mugabe kwenye utawala ili nchi na wananchi wa Zimbabwe wapone.

Hivyo basi naunga mkono zaidi ya 200% kauli ya Rais Kikwete. Tena ningemuomba aitishe kikao cha AU wamfukuze kwenye AU kisha waweke mikakati ya kijeshi ya kukomesha unyama unaofanywa na wanajeshi wa Mugabe dhidi ya wananchi wanyonge kabisa wasio na nguvu wala hatia. Kwa hili nampa JK the benefit of doubt kwamba yupo right bila kujali katumwa na wakubwa au ni mawazo yake.

Sasa naona kabisa watakaoikomboa Zimbabwe ni Kikwete na Jacob Zuma pekee na inabidi tuwape moral suport kubwa sana.

Halafu hawa wanajeshi wa Afrika wana matatizo gani? Inakuwa wanakubali kutesa wananchi wenzao kwa sababu tu za kumlinda mtu mmoja? Hii kitu imenishinda kabisa kuielewa!

Bado unamsimamo huu dhidi ya Mugabe mkuu?
 
..askari karibu wote wa ngazi za juu wa Zimbabwe wamepata mafunzo ya awali Tanzania, katika makambi ya Nachingwea, Mgagao, Kongwa etc etc.

..Zimbabwe pia wana uzoefu mkubwa wa kivita, labda wapo nyuma kidogo ya Angola. Wazimbabwe wamepigana kwa muda mrefu Mozambique, Angola, na DRC.

..mara zote ZDF imekuwa deployed outside their territory. mara zote wamepigana kwa nidhamu na umahiri mkubwa. i would not be too enthusiatic about engaging them in their own backyard.

..wale wanaodai tutashinda vita dhidi ya Mugabe nawaomba wachunguze pia gharama za ushindi huo. kama tutasaidiwa gharama za kushiriki operation hiyo, kwanini hao wanaotusaidia gharama wasishiriki wenyewe tu?

..SULUHISHO LA ZIMBABWE NI UTAWALA WA KIJESHI WA MPITO. ZOEZI LA KUFUFUA UCHUMI NA KUPOOZA MPASUKO NA HAMASA ZA KISIASA LITANGULIE MASUALA YA UCHAGUZI NA DEMOKRASIA.

..nadhani ni bora kulichochea na kuliwezesha Jeshi la Zimbabwe limuondoe Mugabe kuliko watu wa nje kumvamia na kupambana na jeshi lake.

This time itabidi mumuache Mugabe apumuwe!!!
 
Mugabe is a hero turned sour dictator. He should be shot point blank in the head. I hate him and the Zimbabwean people are stupid for letting one man who is old as phuck pimp them.

Sijui leo utawatukanaje Wazimbabwe lol!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom