Tanzania ready to send Army to Zimbabwe-Kikwete

Status
Not open for further replies.
JK may have said that he would be willing to send troops to Zimbabwe if it were necessary. By definition, if it is necessary to do something then it must certainly be done. What seems to have irked a lot of folks here is that they do not think it will be necessary. Well, I have news for you; JK does not think it will be necessary either!

Jmushi’s signature reads: “We Study More About Less and Less Until we learn something about NOTHING”. I will paraphrase this and say that on this particular thread, we can continue to argue more and more about less and less until we realize that we are arguing about nothing. JK will not send JWTZ to Zimbabwe because he does not think it necessary. Neither do we!

PS: Jmushi, hiyo picha haiwezi kuwa ya Obama na Mama yake kwani mama yake ni Mzungu. Au ameacha kuwa Mzungu? Na watu wenyewe wanaonekana kama wa umri mmoja vile!
 
Mugabe nimemuona hapa bbc..Anadai watu wamind business zao!Halafu mataifa ya magharibi yamedai hayataruhusu Mugabe atangaze ushindi.

Wakati ni wazi TSIVANGIRAI keshajitoa...Ni wazi Mugabe atatangazwa mshindi.

Na west kusema watazuia yeye kutangazwa mshindi..Means vita ishatangazwa na sasa ni muda tu!
Watanzania gomeni kwenda kwenye hivyo vita!

NB:Kusema hawataruhusu Mugabe kutangaza ushindi ni mbaya zaidi kuliko kusema hawatautambua!

VITA IMETANGAZWA NA MUGABE AMESEMA WACHA IWE MBAYA!
 
JK may have said that he would be willing to send troops to Zimbabwe if it were necessary. By definition, if it is necessary to do something then it must certainly be done. What seems to have irked a lot of folks here is that they do not think it will be necessary. Well, I have news for you; JK does not think it will be necessary either!

Jmushi’s signature reads: “We Study More About Less and Less Until we learn something about NOTHING”. I will paraphrase this and say that on this particular thread, we can continue to argue more and more about less and less until we realize that we are arguing about nothing. JK will not send JWTZ to Zimbabwe because he does not think it necessary. Neither do we!

PS: Jmushi, hiyo picha haiwezi kuwa ya Obama na Mama yake kwani mama yake ni Mzungu. Au ameacha kuwa Mzungu? Na watu wenyewe wanaonekana kama wa umri mmoja vile!
Samahani mfupa hauna ulimi!
Mbona unakuwa lunatic?
Si ni wewe ulijifanya hujui ni nani kwenye picha?
ama ni uchokozi?
 
Hold on JMushi,

I too have been watching the BBC. Some countries will not recognize Mugabe's "victory", but no country has sid that it will stop him from announcing victory! Go easy on this thing, man! You seem to be going ahead of yourself.
 
Hold on JMushi,

I too have been watching the BBC. Some countries will not recognize Mugabe’s “victory”, but no country has sid that it will stop him from announcing victory! Go easy on this thing, man! You seem to be going ahead of yourself.
Kuwa makini mwalimu.
Utaumbuka!
Fata mfano wa AGUSTOOS!
Unajiunga na wale ma anti mushi?
Sina muda wa malumbano!
Nakuachia wazalendo wengine waendelee kupiga fimbo!
 
Mimi niko mbele ya TV HAPA NA VAIO YANGU!
Bado na wewe umegangamala kwenye propaganda!
Unataka kujidai unasapoti ili uanze kunibomoa!
Shughuli iliyoshindwa kabla hata ya kuanza!
Kuwa makini.
USHAURI WA BURE?
Kuna waliokuwa wakinitolea lugha za ukali kama vile hapa jf kuna mtu na baba yake ama mama yake!
Hapa tunatandika za migongo vichwani kila pahala!
 
Most people here sound as if we should not be involved at all. Africans should act one way or another, what are we waiting for? USA or EU? Mugabe is killing people and Tanzania should do anything in her power to save them money is not everything !
 
WHO IS GONNA RESCUE OUR LAND?

OUR MINES...?
OUR RESOURCES? OUR SOULS?OUR RIGHTS?OUR DIGNITY?

WHO IS GONNA BRING OUR COUTRY TO THE PEOPLE?

ACHENI UNAFIKI MABARADHULI NYIE!

Wakati hatujui wapi watoto wetu watakula mnataka mkawauwe kwa amri ya mabwana zenu wajinga wakubwa nyie!

PELEKENI UPUMBAVU WENU MBALI KABISA!

NYIE NDIO MLIUZA MABABU WETU UTUMWANI HAMNA HATA HAYA MMEUZA TAIFA NA WATU NDANI YAKE!

MLAANIWE KILA MPITAPO!
 
mbona jirani kenya more than 1000 died na sisi tulifanya nini?
eti muuaji raila naye anasema situation is wes zimbabwe.......!
CHIPO ZINDONGA NDO WA KUWAELEWESHA NINYI...!
 
JK ameshatamka hadhari na huo ni mtego ameshauingia.
uingereza na marekani itawaomba tanzania iingie vitani na wao watatoa fedha na misaada mengine ikihitajika.
watakaokufa ni watanzania na mugebe akitolewa faida itakwenda kwa wazungu.
 
Nkrumah alisema, mkesha wa uhuru wa ghana 6 machi 57, kwamba uhuru wa ghana hauna maana yeyote kama kuna nchi za kiafrika bado zatawaliwa na mkoloni. Mwl. Nyerere naye akapandisha mwenge juu ya mlima kilimanjaro ili umulike, kuleta upendo palipo na chuki, matumaini na heshma. Hiyo ni sera ya mambo ya nje. Hatuwezi kukaa watz na kusema eti tuna matatizo yetu na tuwaache wazim wanauwawa na kugandamizwa na kunyanyaswa na mtu mmoja. Suala la zimbabwe si suala la kikwete au ccm, ni wajibu wetu ktk bara letu. Haiwezekani afrika itafsiriwe kwa zim na mugabe. Ikihitajika, ama kwa kulinda amani au kumtoa dikteta na twende. Hatufuati mafuta zim, hatufuati madini, tunawasaidia wazim kuishi kwa amani. Kama ni chimurenga na iwe. Hatuwezi kufumbia macho yanayoendelea zim eti kuogopa wazungu. Wajibu kwa afrika, ni usalama wa taifa.!
 
Zitto, sikia, sikia, kabla hujaondoka, ngoja nikuulize swali kabla hata ya salamu:

Zile habari za kwamba Harare wamemwita Balozi wao nyumbani umezipata wapi?

Kama Zimbabwe haijasema hivyo rasmi, umewezaje kulisoma hilo tukio kama ni diplomatic conflict na kuliambia Bunge na sisi turudishe wakwetu?

Ahsante. Habari za leo. Pole na kazi za Bunge Mheshimiwa.
 
kumtoa dikteta? kumtoa mugabe kwa sababu hatokubali uchaguzi huru?
hivi watanzania kwa nini tunapenda kujidanganya? zanzibar uchaguzi huru haujafanywa tokea 1995 na kwa nini hatujamtoa dikteta hapo tu ndani ya nchi yetu tunakimbilia nje?

kumtoa mugabe kwa nguvu za tanzania ni unafiki kwa sababu sisi wenyewe tunayo situation kama hiyo na hatujaishughulikia.
 
Nkrumah alisema, mkesha wa uhuru wa ghana 6 machi 57, kwamba uhuru wa ghana hauna maana yeyote kama kuna nchi za kiafrika bado zatawaliwa na mkoloni. Mwl. Nyerere naye akapandisha mwenge juu ya mlima kilimanjaro ili umulike, kuleta upendo palipo na chuki, matumaini na heshma. Hiyo ni sera ya mambo ya nje. Hatuwezi kukaa watz na kusema eti tuna matatizo yetu na tuwaache wazim wanauwawa na kugandamizwa na kunyanyaswa na mtu mmoja. Suala la zimbabwe si suala la kikwete au ccm, ni wajibu wetu ktk bara letu. Haiwezekani afrika itafsiriwe kwa zim na mugabe. Ikihitajika, ama kwa kulinda amani au kumtoa dikteta na twende. Hatufuati mafuta zim, hatufuati madini, tunawasaidia wazim kuishi kwa amani. Kama ni chimurenga na iwe. Hatuwezi kufumbia macho yanayoendelea zim eti kuogopa wazungu. Wajibu kwa afrika, ni usalama wa taifa.!

Hivi Zitto ni mkoloni gani mnayempiga ambaye BUSH NA BLAIR WANAMPINGA?
SINCE WHEN MAWAZO YA KIZALENDO YAKAENDANA NA HAO WATU?
HIVI UMESHAWAHI KUONANA NA MANDELA?
OBASANJO JE?
NINI MISIMAMO YAO?
 
Magharibi wameshapanga vita na muwe makini BARA LITALIPUKA HILI NDUGU YANGU!
Kubadilisha mawazo kwasababu wewe ni Zitto si shida!
Sote sisi ni wanandamu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom