Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
Phillemon.. ukiangalia hiyo ishu kwa kuangalia JK na JWTZ you'll miss the whole picture... unapoangalia kauli hiyo ya JK.. add British Army, Airforce, Royal Marine na Royal Navy... plus a lot of money.. the balance would favor TZ...
Btw: Kuna dili za ndege mpya za kijeshi ili kuupgrade our fleet.... huu ndio wakati muafaka wa kutoa na kuchukua....
...jk amnachanganya mambo kwa kukumbatia marekani...makamanda wa ngazi za juu tanzania washamuambia usoni kuwa hawataki ukaribu unaozidi kipimo na marekani......makamnda wengi wana favour kuendelea na mkataba wa kiulinzi tulio nao na china.....wao ndio wana train air force yetu ...kwa muda saa ..hasa baada ya USSSR kuvunjika ...we use to mix there technologies.....hata lilipoibuka suala na AMERICAN BASE....wakati wanasiasa bongo walipokuwa na kigugumizi....CT..aliongea hadharani kuwa suala la kuwa na base ya marekani tanzania ...halina mjadala kuwa hawalitaki na HALIWEZI KUTOKEA!!
broo ushoga na marekani kwenye uchumi sawa lakini kwenye jeshi zaidi ya mafunzo ya kawaida ..IKIWAINGIZA JIKONI...BASI YOU WILL FOREVER EXPERIECE INSTABILITY IN THE COUNTRY ESPECIALLY SIKU WAKIONA KUWA SITTING GORVERNMENT ina dalili za kuwasaliti basi ujue watasababisha MAPINDUZI KWA BUNDUKI au mazingira ya kura...........hata sasa hivi ambako KIKWETE Amekuwa karibu nao ..itakuwa tabu kuja kupata rais ambaye atakuwa tofauti kabisa na INTEREST ZAO labda awe LIBERAL...