jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
FMES,
Fallacy ya argument inayoanza kwa Waafrika ... ni kwamba, Waafrika ni wengi sana kuwa lump pamoja hivyo. Huwezi hata kusema Waafrika ni weusi kwa maana kuna Waafrika wa Morocco Libya na Egypt si weusi, achilia mbali waafrika wa kuwa naturalized kina Makengeza type na makaburu.
Kama huwezi kusema kitu kidogo hicho blatantly kwamba waafrika tuko hivi au vile, utakosa legitimacy ya kusema "ndivyo tulivyo".
Kwa hiyo mnaposema "Waafrika Ndivyo tulivyo" mnapotosha, inabidi mui-qualify hiyo statement kwa kusema "Miafrika ya CCM inayoendeleza ufisadi" ndiyo ilivyo, au "Miafrika inayowachagua viongozi wabovu ndivyo ilivyo" inaweza kuwa ni sehemu kubwa ya waafrika lakini hii haimaanishi kuwa ndiyo waafrika wote walivyo.
Ukiangalia sana haya mambo tunayoyapigia kelele sana wala hayana mizizi katika uafrika, mizizi yake imekuja kuletwa na wageni. Na kwa vile katika kila jamii hatukosi bongolala watakaoji second guess, tunapata watu wanaoingia katika mtego wa kusema "Waafrika Ndivyo Tulivyo" bila uchambuzi.
I have never been one to be seduced and succumb to the lure of simplicity where complexity is clearly the challenge.
And you can take that as an original.
Na ndio maana nikasema relevance ni muhimu.