Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,714
- 1,269
Wapendwa wana JF,
Asalaam Aleykum/Bwana Yesu apewe sifa.
Natumai wote mu wazima wa afya.
Mimi ni mjasiliamali, katika pita pita zangu nilikutana hii kampuni (TPSF) ikitoa grant kwa wafanya biashara waliosajiriwa kihalali wakubwa kwa wadogo.
Mwaka 2009 nikapewa grant ya millioni 15 ambayo imeniwezesha kufanya mambo makubwa na kujiendeleza ki biashara.
Sasa basi wamerudi na miradi ifuatayo:
wale wenye miradi ya Tours, Food processing na Natural Resources sasa hivi ndiyo wanapewa GRANTS kuendeleza biashara zao. Mimi kama mwanaharakati nimeona ni vizuri tushirikiane ili wale wenye nia nao wakafaidike kama nilivyofaidi mimi.
Ofisi zao ziko Mwaya Road, Masaki. Ukifika pale utapata information na kitu gani ufanye. Nimeona na tangazo lao TBC1 jana.
Kila la kheri.
CD
CD ahsante kwa kutuelimisha ila naomba kidogo nawe tukupe somo, habari nzuri kama uliyoileta huchafuliwa na hukosa raha iandikwapo kwa lugha isiyo sahihi naomba jaribu kujirekebisha, wote sisi si "perfect" lakini kuelimishna kwa kila kidogo tulichonacho ni wajibu wa kila mmoja wetu:
mjasiliamali = mjasiriamali
waliosajiriwa = waliosajiliwa
toa boriti kwenye jicho lako kwanza
Angalizo:TPSF ni taasisi chini ya wizara ya viwanda na biashara si kampuni,tunakushukuru sana kwa mchango wa mawazo ubarikiwe..Ahsante sana ndugu yangu kwa kunikosoa, next time nitaandika kwa ufasaha. Ubarikiwe sana.
Asante na heshima mbele mkuu.. Vipi kuhusu Retail and ICT business..una ufamu wowote wa fursa kama hii ulotaja?Wapendwa wana JF,
Asalaam Aleykum/Bwana Yesu apewe sifa.
Natumai wote mu wazima wa afya.
Mimi ni mjasiliamali, katika pita pita zangu nilikutana hii kampuni (TPSF) ikitoa grant kwa wafanya biashara waliosajiriwa kihalali wakubwa kwa wadogo.
Mwaka 2009 nikapewa grant ya millioni 15 ambayo imeniwezesha kufanya mambo makubwa na kujiendeleza ki biashara.
Sasa basi wamerudi na miradi ifuatayo:
wale wenye miradi ya Tours, Food processing na Natural Resources sasa hivi ndiyo wanapewa GRANTS kuendeleza biashara zao. Mimi kama mwanaharakati nimeona ni vizuri tushirikiane ili wale wenye nia nao wakafaidike kama nilivyofaidi mimi.
Ofisi zao ziko Mwaya Road, Masaki. Ukifika pale utapata information na kitu gani ufanye. Nimeona na tangazo lao TBC1 jana.
Kila la kheri.
CD
Bibie Caroline Danzi labda ungefunguka ni vipi ulifanya mpaka ukafanikiwa kupata Grants toka TPSF, utasaidia members Wajasiriamali wengi hapa. KaribuWapendwa wana JF,
Asalaam Aleykum/Bwana Yesu apewe sifa.
Natumai wote mu wazima wa afya.
Mimi ni mjasiliamali, katika pita pita zangu nilikutana hii kampuni (TPSF) ikitoa grant kwa wafanya biashara waliosajiriwa kihalali wakubwa kwa wadogo.
Mwaka 2009 nikapewa grant ya millioni 15 ambayo imeniwezesha kufanya mambo makubwa na kujiendeleza ki biashara.
Sasa basi wamerudi na miradi ifuatayo:
wale wenye miradi ya Tours, Food processing na Natural Resources sasa hivi ndiyo wanapewa GRANTS kuendeleza biashara zao. Mimi kama mwanaharakati nimeona ni vizuri tushirikiane ili wale wenye nia nao wakafaidike kama nilivyofaidi mimi.
Ofisi zao ziko Mwaya Road, Masaki. Ukifika pale utapata information na kitu gani ufanye. Nimeona na tangazo lao TBC1 jana.
Kila la kheri.
CD
Mkopo unalipa grant haina marejeshoNaombeni tofauti ya the so called Grant na mkopo.
CD ahsante kwa kutuelimisha ila naomba kidogo nawe tukupe somo, habari nzuri kama uliyoileta huchafuliwa na hukosa raha iandikwapo kwa lugha isiyo sahihi naomba jaribu kujirekebisha, wote sisi si "perfect" lakini kuelimishna kwa kila kidogo tulichonacho ni wajibu wa kila mmoja wetu:
mjasiliamali = mjasiriamali
waliosajiriwa = waliosajiliwa
Bibie Caroline Danzi labda ungefunguka ni vipi ulifanya mpaka ukafanikiwa kupata Grants toka TPSF, utasaidia members Wajasiriamali wengi hapa. Karibu
Ahsnte mkuu