Tanzania not happy with UK visa being processed in Nairobi

Tanzania not happy with UK visa being processed in Nairobi

Funguka funguka mkuu

Ahmed Hassan Diria alikuwa na passport ya Ujerumani.

Kuna habari kwamba Masha alikuwa na passport ya Marekani, ingawa wengine wanasema si passport ni greencard.

Hao ndio michongo yao tunayoijua tu.
 
msijali tukiitumia gas vizuri ndani ya muda mfupi mambo yatajiset yenyenye watafungua ubaloz mpaka zenj
 
I think Tanzania should do the same (retaliation) by processing VISA (not Even in Sweden or Germany) but should be in Japan so as they also see the hassle we are facing.

This is just cost cutting measure guys! It's being done worldwide. Wacheni kutoa mapovu. Canada has been doing this for a while. Australia is doing the same and I guarantee you the US will soon follow suit. Hao wanaosema Tanzania ipeleke ofisi zake za visa Japan au Sweden watalipa hizo cost za kuendesha hizo ofisi? Some of these things are just what they say they are. Siyo kila kitu ni mbinu za kuiadhibu Tanzania kama wenzetu wengine wanavyofikiria.
 
Mkuu Kiranga hizi 3 zinanitosha. Hii ya US inanipa security ya kuingia any EU country na nchi nyingi dunia hii bila viza wala kero.
Infact nikiionyesha tu basi huwa napata heshima na sibugudhiwi sababu wanajua arrogance za wamarekani.
Hii ya Kenya ndio ninapoishi, na hii ya Tanzania huko ni kwetu
You make the idea of Global citizenship very meaningful....am for that....
 
Hakika huu ni unyanyasaji na dharau hivi kweli Tanzania kama nchi hatuwezi kufanya process zote cha Visa hapahapa kwetu zikakamilika kwel haya Majanga Jaman tujitaidi tufanye mambo yetu kwenye nchi yetu
 
Sasa mkuu
Mtu atasaidia je wakati sio raia?
Mie ninachongelea hapa kimantiki ni hiki, tuseme wewe una uraia wa UK na TZ basi unaweka stores zako Tanzania, mfanyabiashara, anaadika contracts kwa store ya Tanzania na anaweka order bidhaa, kisha wewe unanunua na unaleta bidha kwa store yako ya Tanzania jamaa anapata bidhaa kwa wakati, na anaiuza kwa mlaji kwa bei nafuu maana hakukua na usumbufu na gharama ya maisha kwa mlaji mtanzania yanapungua.

Huyu Mtanzania aliyopo yopo kwa sasa UK, akiwa na uraia wa Tanzania na UK, basi anaweza mua aproach mzungu mwenye hela kidogo lakini ulaya hawezi fanya lolote, ama akakopa bank za uzunguni anakuja kununua viazi na mihogo ama korosho, kahawa kwa mkulima kwa bei nzuri anakuja kuuza ulaya.

Bei ya bidhaa za Tanzania ulaya ni kama ifuatavyo.
1. Viazi (viazi kama viwili)vitamu kilo ni euro 10= = 20,000 Tsh
2. Ka papai kama nusu kilo euro 10== 20,000Tsh
3. Mhogo mtamu kilo euro 10 == 20,000
4. embe dongo, ile mbaya kabisa eur 3, == 6 Tsh
5. Mchicha na mti wake wenye mbegu ambao bongo unaliwa na beberu la mbuzi, ni euro 5
6. limao kilo euro 5 == 10,000 tsh
7. Unga wa udaga(mhogo) mbaya kweli kutoka ghana == euro 5 kwa kilo
nk, nk ,nk

Hiii sasa ishakua hatari
 
Huu ni unyanyasaji wa waziwazi... Na naona ni namna ya kuongeza mpasuko kwenye EAC
 
"most Kenyans are not on good terms with
Tanzanians, so I believe this might also be a
reason behind these visa refusals."

lawmaina78 ,what's the reason behind all this stuff.why you kenyans hate us?.

Hahaha!! Wabongo msituhusishe kwa hili. Wazungu wamewashtukia na kuchukua hatua. Wabongo wa sasa wamekua manyangau kutuliko sisi Wakenya mara zaidi ya kumi. Unga na pembe za tembo ndo habari huko kwenyu. Nyerere akifufuka leo ataomba sana arudishwe kaburini na afie mbali maana kizazi cha sasa cha Tanzania hakiambiliki. Nenda uwanja wa ndege wowote wa kimatafa na pindi unapotambulika kuwa Mtz jinsi wanavyokuwa makini nawe.
 
ndo mana zenj nao wakataka nchi yao wafanye mambo yao kwao ni usumbufu kwenda nchi ya ng'ambo kufuata kitu
 
Hahaha!! Wabongo msituhusishe kwa hili. Wazungu wamewashtukia na kuchukua hatua. Wabongo wa sasa wamekua manyangau kutuliko sisi Wakenya mara zaidi ya kumi. Unga na pembe za tembo ndo habari huko kwenyu. Nyerere akifufuka leo ataomba sana arudishwe kaburini na afie mbali maana kizazi cha sasa cha Tanzania hakiambiliki. Nenda uwanja wa ndege wowote wa kimatafa na pindi unapotambulika kuwa Mtz jinsi wanavyokuwa makini nawe.
Acha uongo wewe sijui unamdanganya nani, hivi unajua baadhi ya viongozi wa Kenya hawaruhusiwi kupewa viza ya Uingereza, Nyerere anahusiana vipi na viza ya Uingereza.
 
Hawa Waingereza wanatudharau sana Watanzania, unafanya taratibu zote za viza unalipia pesa wanakupa tarehe unakwenda ubalozini wanakupa bahasha yako unafungua unakuta viza wamekunyima na pesa wamechua, wanakuambia kama una malalamiko wasiliana online.
 
Wanazifuata kweli?

Mimi nishaona Mmarekani kapiga simu ubalozi wa Tanzania DC, kaulizia visa, ikawa yuko mbali na ana kazi zake.

Mwishowe nikamuuliza visa ulipata? Ilibidi uende DC?

Akaniambia wala sikuenda, nimeongea nao tu nikawatumia passport in the mail. Wamenipigia visa na kunirudishia poa tu.

Nikakumbuka jinsi Watanzania wanavyoteseka kupanga foleni ubalozi wa Marekani kutafuta visa.

Umasikini huu!

Hapa i beg to differ, In Europe, Chinese Visas are also offered in this regard, you send your application online, they asses it, you send them a passport,they mail it back to you with a Visa, i have done this many times in UK, German and France, so i believe it is nbot a big issue for countries without security threats kama Marekani.
Kwa "swaga" za wachina, hawana papara, ukishaingia MainLand wewe ni package yao, wanakupekenyua watakavyo NSA kama mchiriku tu kwa hawa watu.So i can understand their confidence.

Actually i suggest something simila kwa Tanzania, we should setup Visa Applications clusters, like one in West Europe, one in Asia Pacific,One on far East Asia, one in South America,One in North America, One in Central Asia, One in East Europe, One in China, And another one in Middle east save for Africa where costs are relatively lower.
 
Hakika huu ni unyanyasaji na dharau hivi kweli Tanzania kama nchi hatuwezi kufanya process zote cha Visa hapahapa kwetu zikakamilika kwel haya Majanga Jaman tujitaidi tufanye mambo yetu kwenye nchi yetu
Mmmmmh???
 
Tusikubali kupuuzwa ndio maana wanalazimisha tukubali ushoga. Tuachane nao kibiashara twende china kwa watu wenye kujua maana ya heshima.

Mwaka ambao Julius alifunga Ubalozi wa UK hapa Tanganyika nilikuwa sijazaliwa, inakuwa vigumu kujua Waingereza walifanya nini. Kwani Kikwete hawezi kuiga ili heshima irudi?
 
Hawa Waingereza wanatudharau sana Watanzania, unafanya taratibu zote za viza unalipia pesa wanakupa tarehe unakwenda ubalozini wanakupa bahasha yako unafungua unakuta viza wamekunyima na pesa wamechua, wanakuambia kama una malalamiko wasiliana online.

Poleni sana.
 
Back
Top Bottom