Kaka Watanzania walio wengi hapo UK wapo wapo tu kwa hiyo hawana chochote cha kusaidia,kwani ukitaka kusaidia sio lazimauwe na uraia wa nchi mbili,siokusema kuwa sababu upo Ulaya au kwingineko ndio umeula au una maisha mazuri kuliko wala vumbi
Tusikubali kupuuzwa ndio maana wanalazimisha tukubali ushoga. Tuachane nao kibiashara twende china kwa watu wenye kujua maana ya heshima.
Sasa mkuu
Mtu atasaidia je wakati sio raia?
Mie ninachongelea hapa kimantiki ni hiki, tuseme wewe una uraia wa UK na TZ basi unaweka stores zako Tanzania, mfanyabiashara, anaadika contracts kwa store ya Tanzania na anaweka order bidhaa, kisha wewe unanunua na unaleta bidha kwa store yako ya Tanzania jamaa anapata bidhaa kwa wakati, na anaiuza kwa mlaji kwa bei nafuu maana hakukua na usumbufu na gharama ya maisha kwa mlaji mtanzania yanapungua.
Huyu Mtanzania aliyopo yopo kwa sasa UK, akiwa na uraia wa Tanzania na UK, basi anaweza mua aproach mzungu mwenye hela kidogo lakini ulaya hawezi fanya lolote, ama akakopa bank za uzunguni anakuja kununua viazi na mihogo ama korosho, kahawa kwa mkulima kwa bei nzuri anakuja kuuza ulaya.
Bei ya bidhaa za Tanzania ulaya ni kama ifuatavyo.
1. Viazi (viazi kama viwili)vitamu kilo ni euro 10= = 20,000 Tsh
2. Ka papai kama nusu kilo euro 10== 20,000Tsh
3. Mhogo mtamu kilo euro 10 == 20,000
4. embe dongo, ile mbaya kabisa eur 3, == 6 Tsh
5. Mchicha na mti wake wenye mbegu ambao bongo unaliwa na beberu la mbuzi, ni euro 5
6. limao kilo euro 5 == 10,000 tsh
7. Unga wa udaga(mhogo) mbaya kweli kutoka ghana == euro 5 kwa kilo
nk, nk ,nk
Je unajua hao wawekezaji wanapewa mikopo na bank za Tz hapo hapo? sasa na wewe katafute mkopo kwenye bank za hapo Tanzania ili uwekeze. Na ambao hawachukui mkopo basi, ni makampuni ya akina Bush, Daudi Cameroon.Hauna Jipya huo ni uvivu tu tulionao Waafrika na kutafuta visingizio visivyo na maana, wawekezaji wakubwa TZ ni watu wasio na Uraia wa TZ, sasa wao wamewezaje, ili hali ushindwe eti mpaka upate Uraia pacha?
Watuachie US Embassy inatutosha.
Hivi hii haitakuwa na negative impact katka utalii? Anaejua pls.
Kwani ni visa tuu?? BA sasa hivi hawatui JKN.....kiufupi waingereza hawaithaminishi Tz ukilinganisha na kenya na hii ni sababu ya historia tu...Waingereza hawakuitawala Tz ni walipewa na UNO after WW2...hili la Daud kumuita JK ni kwamba waingereza ni wajanja wanaitaka hio gesi na mafuta yapewe makampuni yao BP na Shell.
INAKERA SANA HASWA KUPUUZWA NA KUTOTHAMINIWA KWA TANZANIA,kuna haja ya kuwafanyia "kiburi" kidogo atleast ka mgomo baridi ili washituke waone walifanyalo sio sawa,"nguvu huna pesa huna basi hata mkwara ukushinde"
Embassies nyingi zitafuata nyayo za UK. Mkitaka viza lazima iwe processed Nairobi. All visa application processing in EAC will be consolidated to Nairobi regional office.
tena tuibadilishe policy yetu ya kuwapa visa Wamarekani....tuwape miaka mitano ili na wao wawape watu wetu miaka mitano....itapunguza sana gharama kwa wafanyabiashara wetu wanaokwenda US na pia tuta-attract Watalii kutoka US kuja Tanzania.....tourists kutoka US huwa wana-spend sana.....sio kama tourists kutoka UK.........tuachane na hii miingereza........kwanza ilishaacha kuleta ndege zao hapo Dar.....BA landing ni Kenya na Uganda.....