Deogratias Mutungi
Senior Member
- Oct 1, 2019
- 137
- 179
Tambo zote zile za kununua jogoo kwa laki moja kumbe ni hela ya kovidiSerikali ina matumizi mengi inayo kuhudumia, tuvute subira wenye mamlaka watajibu, nina imani hizo Euro hazijaibiwa.
Ni neno la kuwapumbaza mazuzu kama mleta mada hii.Hili neno uzalendo hili! Kila kitu kimekuwa uzalendo uzalendo, uzalendo.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Hakuna cha uzalendo wala shangazi yake uzalendo yaan muibe halafu msingizie uzalendo
Kwanza mtuambie hizo hela mmetumiaje yaan zimefanya kazi gani
La sivyo wekeni Euro milioni 27 za watu mmeshazoe kuiba halafu mnakimbilia uzalendo mtazitapika hizo
Wewe kama nani unaandika huo utumbo? Sasa kama unajua hazijaibiwa unabwabwaja nn humu.Serikali ina matumizi mengi inayo kuhudumia, tuvute subira wenye mamlaka watajibu, nina imani hizo Euro hazijaibiwa.
Dawa yenu ipo jikoni inatokota, wewe kama huna mamlaka ya kuelezea zilitumikaje hizo pesa sasa haya mamlaka ya kutuamisha na serikalii hii iliyo jaa ukilitimba umetoa wapi, serikali ya kipuuzi sana haijawahi kutokea.Serikali ina matumizi mengi inayo kuhudumia, tuvute subira wenye mamlaka watajibu, nina imani hizo Euro hazijaibiwa.
Hili neno uzalendo hili! Kila kitu kimekuwa uzalendo uzalendo, uzalendo.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Serikali ina matumizi mengi inayo kuhudumia, tuvute subira wenye mamlaka watajibu, nina imani hizo Euro hazijaibiwa.