barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,586
Mtu hafuati taratibu, kanuni na sheria unataka aachwe ili iweje?Acha uongo,mbona figisu nyingi kwenye chaguzi
Kama hamjifunzagi kutokana na makosa, 2020 mtazikwa maana hata hao wachache wanaositasita kuwaunga mkono watabadili gia angani.